Quality Group yamaliza utata kuhusu sukari nchini

Heko kwako ndugu Manji , wewe ni tofaulti sana na wengine, ume invest Tanzania na unarudisha fadhila kwa watanzania kwa namna nzuri badala ya kwenda kuficha fedha Canada. Pongezi sana na Mungu akujalie kiwanda kifanikiwe
 
Heri zaidi iko kwa watanzania watakaofaidika kutokana na huu uwekezaji
Heko kwako ndugu Manji , wewe ni tofaulti sana na wengine, ume invest Tanzania na unarudisha fadhila kwa watanzania kwa namna nzuri badala ya kwenda kuficha fedha Canada. Pongezi sana na Mungu akujalie kiwanda kifanikiwe
 
Binafsi jamaa huyu uwa simchukulii seriously, mara ngapi anatagazaga kuanzisha miradi kabambe inaishia kwenye makratasi tu!!!

Kamsikia Rais anazungumzia kuwa bega kwa bega na muwekezaji wa uhakika Mzee Bakheresa alafu yeye anataka kutuletea matumaini ya kufikirika tu, hivi anawezaje kujenga viwanda vitatu vya uzalishaji Sukari kwa mpigo - hata Rockerfelker, Donald Trump au William(Bill) Gate hawezi kufanya kitu kama hicho Manji anayo yasema are too good to be true which is TRUE - angeyasema haya kwa watu ambao hawako well versed kwenye masuala ya Sugar Industry ni rahisi kuhadaika.

Manji bwana! Mbona sijawahi kumsikia akizungumzia masuala ya kilimo na ufugaji yeye anajikita kwenye real Estates anafanya ujaja janja kwa kushirikiana na mifuko ya hifadhi ya jamii alafu anawauzia jengo hilo hilo na kupata hyper profit anachukua ofisi humo humo mpaka wanafikishana mahakamani!! Wala asiende kwenye hifadhi ya mifuko ya jamii na kuwambia wawekeze kwenye Sugar Industry wai-run kama joint venture - hifadhi za jamii ziwe makini sana katika kuwekeza kwenye viwanda.

Manji kama anataka kwenda kuwekeza Pemba na Zanzibar sawa, lakini hili la kutaka apewe aridhi kubwa Morogoro nashauri Serikali hilo ilifikirie mara mbili, simsemi vibaya ila tuangalie track record zake za siku za nyuma zikoje? Mambo ya Coco Beach ya kutaka kutuniana musuli na Serikali yasije yakajirudia tena, hayo ni maoni yangu nayasema kwa nia njema tu sina bifu nae.
 
Bukyanagandi
1. mara ngapi anatagazaga kuanzisha miradi kabambe inaishia kwenye makratasi tu!!! - taja hata mmoja
2. yeye anataka kutuletea matumaini ya kufikirika tu - kufikirika ni nini
3.hivi anawezaje kujenga viwanda vitatu vya uzalishaji Sukari kwa mpigo - hata Rockerfelker, Donald Trump au William(Bill) Gate hawezi kufanya kitu kama hicho Manji anayo yasema are too good to be true which is TRUE - "wrongly-irrelevant!"
4.angeyasema haya kwa watu ambao hawako well versed kwenye masuala ya Sugar Industry ni rahisi kuhadaika - are you well versed?! Tuambie.
5.Manji bwana! Mbona sijawahi kumsikia akizungumzia masuala ya kilimo na ufugaji yeye anajikita kwenye real Estates anafanya ujaja janja kwa kushirikiana na mifuko ya hifadhi ya jamii alafu anawauzia jengo hilo hilo na kupata hyper profit anachukua ofisi humo humo mpaka wanafikishana mahakamani!! - Ill informed. Manji hahusiki na QGL www.qualitygroup.com/news/open-letter-of-retirement-from-business-by-mr-yusuf-manji . But QGL inajihusisha na kilimo tena kwenye big scale www.qualitygroup.com/portfolio_page/farm-equipment-tanzania-limited na hapa http://qualitygroup.com/portfolio_page/tanrice-limited

Binafsi jamaa huyu uwa simchukulii seriously, mara ngapi anatagazaga kuanzisha miradi kabambe inaishia kwenye makratasi tu!!!

Kamsikia Rais anazungumzia kuwa bega kwa bega na muwekezaji wa uhakika Mzee Bakheresa alafu yeye anataka kutuletea matumaini ya kufikirika tu, hivi anawezaje kujenga viwanda vitatu vya uzalishaji Sukari kwa mpigo - hata Rockerfelker, Donald Trump au William(Bill) Gate hawezi kufanya kitu kama hicho Manji anayo yasema are too good to be true which is TRUE - angeyasema haya kwa watu ambao hawako well versed kwenye masuala ya Sugar Industry ni rahisi kuhadaika.

Manji bwana! Mbona sijawahi kumsikia akizungumzia masuala ya kilimo na ufugaji yeye anajikita kwenye real Estates anafanya ujaja janja kwa kushirikiana na mifuko ya hifadhi ya jamii alafu anawauzia jengo hilo hilo na kupata hyper profit anachukua ofisi humo humo mpaka wanafikishana mahakamani!! Wala asiende kwenye hifadhi ya mifuko ya jamii na kuwambia wawekeze kwenye Sugar Industry wai-run kama joint venture - hifadhi za jamii ziwe makini sana katika kuwekeza kwenye viwanda.

Manji kama anataka kwenda kuwekeza Pemba na Zanzibar sawa, lakini hili la kutaka apewe aridhi kubwa Morogoro nashauri Serikali hilo ilifikirie mara mbili, simsemi vibaya ila tuangalie track record zake za siku za nyuma zikoje? Mambo ya Coco Beach ya kutaka kutuniana musuli na Serikali yasije yakajirudia tena, hayo ni maoni yangu nayasema kwa nia njema tu sina bifu nae.
 
Mimi najua kampuni inayoongoza kwa biashara hapa kwetu ni Bakhresa akichuana kwa ukaribu na Mo Dewji wengine hawa kelele nyiiiiiiiiiingi! Labda QGL angesema kwa ma-deal ndo yuko vizuri kuna jengo alinunua kwa bil.7 akaliuza tena kwa bil.32 na akamwuzia yule yule aliyemwuzia yeye! Mimi siwaamini mpaka nione hicho kiwanda cha Mkundi kimeanza kujengwa! Na hivi nitakuwa sijahama Kihonda Magorofani nitakuwa nafanya monitoring kwa ukaribu! Ha ha ha haaaa Thomaso de'Jesus mimi!!
 
Kama ni mtu wa ma deal basi tumwache ajenge ila afwatiliwe kwa karibu maswala ya kodi.
 
Kampuni bora inayoongoza kwa biashara Tanzania, Quality Group Limited (QGL) inatangaza kuwa imekusudia kuanzisha viwanda viwili vikubwa na vya kipekee vya sukari nchini.

Ujenzi wa viwanda hivyo ni hatua ya kampuni kuunga mkono juhudi za Rais wa Tanzania, Dk John P. Magufuli za kusisitiza ujenzi wa viwanda ambavyo vitatoa ajira kwa Watanzania na kufikia ndoto ya kujitegemea pamoja na kuwa nchi yenye uchumi wa kati ifikapo 2025.

Viwanda hivyo viwili vitajengwa katika maeneo tofauti ambayo ni Pemba kwa Zanzibar na Mkundi mkoani Morogoro, na tayari kampuni imeshapata eneo lenye ukubwa wa ekari 20,000 kwa ajili ya ujenzi wa viwanda hivyo.

Mara vitakapoanza uzalishaji, viwanda hivyo vitakuwa vikizalisha tani za ujazo 100,000 kwa mwaka, ambazo zitasaidia kumaliza tatizo la uhaba wa sukari nchini na ziada itauzwa katika mataifa yote wanachama wa Jumuiya ya Afrika Mashariki.

Sanjari na uzalishaji wa sukari, kampuni itakuwa ikizalisha ethanol na umeme ambao utaunganishwa kwenye gridi ya umeme wa taifa katika mikoa husika na kupunguza tatizo la umeme.

Katika kuanzisha mradi huu, QGL imeingia ubia na kampuni kubwa za kimataifa ambazo zina ujuzi na uzoefu katika medani za uzalishaji wa sukari, ethanol na umeme.

Wataalam hao kwa muda mrefu wamekuwa wakitumika kushauri na kusimamia miradi kama hiyo, kwenye mataifa waliyopo kuboresha kilimo cha miwa na hadi sasa wameweza kuanzisha miradi zaidi ya 300 ya uzalishaji sukari duniani kote.

Wakati miradi mingine ikichukua zaidi ya miaka mitano (5) kukamilika na kuanza uzalishaji, mradi huu utaanza Desemba 2016 na utakamilika na kuanza kazi mwaka 2018 kwa ushirikiano baina ya Quality Group Limited na taasisi za Serikali kama Wizara ya Kilimo, Bodi ya Sukari Tanzania (SBT), Kituo cha Uwekezaji Tanzania (TIC) na wadau wengine wa ndani ya nchi.

Mradi huo utagharimu dola za Marekani milioni 10 (sh bilioni 21.5) kwa kila kiwanda unatarajiwa kuzalisha nafasi za ajira 5000 za moja kwa moja na zisizo za moja kwa moja. Ajira hizo zitahusisha wakulima wa miwa wadogo, ambao watanufaika kwa kuuza miwa kwenye viwanda hivyo.

QGL ni kampuni ambayo imekuwa ikijihusisha na biashara mbalimbali na kuajiri watu kutoka mataifa zaidi ya 12. Kupitia miradi hiyo, QGL inatarajiwa kuwa mwajiri mkubwa nchini na Afrika kwa mwaka 2017.
Naona kujikombajomba kwingi, hasa baada ya bakhresa kupewa eneo la kuanzisha kiwanda cha sukari ekari 10000

naona sarkasi za coco beach zitaanza tena!
 
Haijamaliza utata bado.Mpaka hapo vitapojengwa ndipo hiyo statement itakuwa na maana.
 
Back
Top Bottom