Song il gok
JF-Expert Member
- Feb 23, 2015
- 878
- 939
- Thread starter
- #41
Anapenda sana ubora
Uzuri wa Manji anapenda ubora
Uzuri wa Manji anapenda ubora
Ila hiyo gharama ya USD 10m kwa kiwanda cha kuzalisha tani 50,000 za sukari ni ndogo. Labda kama ni tani 50,000 za miwa.
Mkuu anaingilika tu bro. Mradi ucheze gitaa lake.Naona Vita ya kumuingia mkuu wa kaya bado IPO.na ni kubwa tu.yeye ni nani asiingilike!
Yanga inahusikaje hapa bossSasa YANGA itabadili jina na kuwa YANGA SUGAR
Kabisa yaniIla hawa jamaa siwaamini sana wamekaa kidilibdili..angeeema hivyo Bakhresa ningeshangilia sana
KivipiKabisa yani
Umbumbumbu kivp bossKaeni tayar kuwapokea wahindi mambumbumbu ila wakiitwa wataalam kama wale wa American supermarket
Na ajira za kufa mtuTutarajie wagonjwa zaidi wa kisukari
Mimi najua kampuni inayoongoza kwa biashara hapa kwetu ni Bakhresa akichuana kwa ukaribu na Mo Dewji wengine hawa kelele nyiiiiiiiiiingi! Labda QGL angesema kwa ma-deal ndo yuko vizuri kuna jengo alinunua kwa bil.7 akaliuza tena kwa bil.32 na akamwuzia yule yule aliyemwuzia yeye! Mimi siwaamini mpaka nione hicho kiwanda cha Mkundi kimeanza kujengwa! Na hivi nitakuwa sijahama Kihonda Magorofani nitakuwa nafanya monitoring kwa ukaribu! Ha ha ha haaaa Thomaso de'Jesus mimi!!
$10 m ni kianzio. Itapanda mpaka $50m kwa taarifa nlizosoma gazeti la juzi$10m sina uhakika kama zinatosha....kwa kiwanda cha uwezo huu.... uwekezaji wa kiwanda cha sukari ni ghali sana.... aende Kagera sugar pale aone....
Manji Maneno mengi hamna kitu,,,kasikia mzee Barekhsa anataka kupewa eneo bagamoyo,na yeye ndio ivyo
SSB anawanyima usingizi mahasimu wake wa kibiasha.