Tunataka serikali yenyewe ijenge viwanda kama ilivyoahidi kwenye ilani yake
Kuendelea kuforce uwekezaji kwenye nchi yenye sheria zenye matundu ni kufaidisha wachache
Au ni kwa nini wawekezaji wasiwe wazawa wenye uchungu na nchi yetu?
Au badala ya kujenga viwanda vipya, kwa nini visifufuliwe kwanza vile vya muhimu tulivyoviua?
Tanzania tuna uwezo wa kutengeneza matairi ya gari na tukashindana na nchi kubwa kibiashara
Viwanda vya sukari sio kiviiiiiile kama biashara kubwa za matairi, nguo na hata viwanda vidogo vya pembejeo na zana zingine za kilimo ambacho ni uti wa mgongo wa third world countries
Japo serikali ya sasa haioni kilimo kama ni cha muhimu tena