Song il gok
JF-Expert Member
- Feb 23, 2015
- 878
- 938
- Thread starter
- #61
Raia wa Tanzania kwa KUZALIWA
Neno MZAWA kwako lina maana gani tuanzie hapo kwanza
Neno MZAWA kwako lina maana gani tuanzie hapo kwanza
Hata mimi nimejenga/fungua kiwanda cha kufyatua matofali Goba!
Bei sifamu mkuu but ukienda pale Quality Centre au posta nadhani itakuepo. Au mcheki huyu 0717765090 nadhani atakusaidiaMkuu nasikia mnauza pikipiki za kijapan hapo Quality Group, nahitaji Honda 110 trail, ni bei gani? Au nipatie mhusika namba yake nwasiliane naye moja kwa moja.
Ahsante kwa namba mkuuBei sifamu mkuu but ukienda pale Quality Centre au posta nadhani itakuepo. Au mcheki huyu 0717765090 nadhani atakusaidia
Karibu sana. Ntafurahi sana ukinipa mrejesho kama utafanikiwaAhsante kwa namba mkuu
Hon. Kassim Majaliwa, Prime MinisterBei sifamu mkuu but ukienda pale Quality Centre au posta nadhani itakuepo. Au mcheki huyu 0717765090 nadhani atakusaidia
Mbona zinanunua ndege? Kutetea hii serikali lazma ujitoe ufahamuSerikali za siku hizi hazijengi viwanda. Serikali inawawezesha wananchi wajenge viwanda, enzi za serikali kujenga viwanda halafu vimewashinda kuendesha ziliisha wakati wa Nyerere.
Arusha kuna mweusi alinyimwa kuwekeza hoteli ya 77.Nalikumbuka bifu kati ya machache (mengi?) na waziri fulani enzi hizo
Ukiwa mgumu kuelewa jifunze kukumbuka
Style hii ya kusahau mabo mapema ndio huwa inatucost siku zote
Mwekezaji mzawa huyo mmoja aliwakilisha hisia za wengi Tanzania
Japo wengi hawajawahi kujitokeza hadharani kwa kuhofia ...
Tulio katika line tunayaona hayo, japo kwa wengi yanafichwa kwa faida za nani sijui
Hebu tazama tu mahusiano kati ya serikali na Wafanyabiashara
Kuna vingi vya kuviona
Hasa ukufungua macho vyema
mkuu Quality Group ni kampuni ya mzawa.
...
...
ktk uchumi wa kisasa wa kibepari serikali sio jukumu lake kujenga viwanda ila kuweka mazingira ya kuvutia wawekezaji wa nje na ndani
...
Waliwahi fursa pia pale ubungo maghalaniNyie endeleeni kuponda mitandaoni,wenzenu wanawahi fursa baadaye wakitajirika oooh uyu freemason mara ooh aliibia serikali.
Inahitajika Affirmative actionHuwezi kuweka ushindani sawa kati ya mtoto wako wa nyumbani na toto la mbali usilolijua
Serikali haikutakiwa kutoa nafasi tu, Bali ilitakiwa kuwa-encourage wawekezaji wa ndani kwa sheria zenye standards ili wengi wavutiwe kuwekeza nchini mwao huwezi kuforce mwekezaji wa ndani aendelee kutengeneza juisi wakati tuna mafuta
I
Sku hz naona anaweka hapo soda kama ghala. Kazee haka nako kahuni kahuniILE HOSPITALI YA MZEE REGNALD MENGI ILIISHIA WAPIII???? ILE YA KUTIBU MAGONJWA YA MOYO
Nakuelewa sana. Hao Quality ndo kina manji. Kuna maghala ya pale ubungo, power tiller n.k. jamaa wajanjawajanja tu. Useme tu ndo hivyo wana hela na wameshaikamata CCMScrow kunako. Hakuna cha magu wala majaliwa CCMScrow ni ileileAwamu ya Nyerere, viwanda vingapi vilijengwa? Awamu ya Mwinyi, viwanda vingapi vilijengwa? Awamu ya Mkapa, viwanda vingapi vilijengwa? Awamu ya Kikwete, viwanda vingapi vilijengwa? Kwenye awamu hizo, kila kiwanda kilichojengwa kilikuwa publicized kwa kiwango cha awamu hii ya tano? Naona awamu hii, mfanyabiashara hata akitoa kusudio tu la kujenga kiwanda inakuwa ni habari kuuuuubwa wiki nzima tena kwenye media outlets zote? Nahisi, wahusika washapata hofu kwamba "Tanzania ya Viwanda" ni nadharia tu sasa wanapiga yowe kila mvumo wenye harufu ya kiwanda unapotokea. Yaani kwa mwendo huu, mtawakutanisha matapeli wengi na PM/Rais maana naona kila mwenye business idea ya kiwanda anapelekwa kwa wakuu. Ebu, wenye kujenga wajenge kimyakimya kisha tuonyeshwe siku vinapofunguliwa kuanza uzalishaji. Nakumbushia ile issue ya treni ya umeme ya yule tapeli wa kimarekani kama ilivyokuwa publicized kwa mbwembwe na Mwakyembe.
Unaijua hiyo kampuni vzr au umekurupka...napita tuTunataka serikali yenyewe ijenge viwanda kama ilivyoahidi kwenye ilani yake
Kuendelea kuforce uwekezaji kwenye nchi yenye sheria zenye matundu ni kufaidisha wachache
Au ni kwa nini wawekezaji wasiwe wazawa wenye uchungu na nchi yetu?
Au badala ya kujenga viwanda vipya, kwa nini visifufuliwe kwanza vile vya muhimu tulivyoviua?
Tanzania tuna uwezo wa kutengeneza matairi ya gari na tukashindana na nchi kubwa kibiashara
Viwanda vya sukari sio kiviiiiiile kama biashara kubwa za matairi, nguo na hata viwanda vidogo vya pembejeo na zana zingine za kilimo ambacho ni uti wa mgongo wa third world countries
Japo serikali ya sasa haioni kilimo kama ni cha muhimu tena