Mkuu naona upeo wako wa kufikili ni mdogo au ujuhi unachokisema, " kwa nini wawekezaji wasiwe wazawa una maana gani" siyo kila mtu aandike utumbo kama huna mada kaa kimya.Tunataka serikali yenyewe ijenge viwanda kama ilivyoahidi kwenye ilani yake
Kuendelea kuforce uwekezaji kwenye nchi yenye sheria zenye matundu ni kufaidisha wachache
Au ni kwa nini wawekezaji wasiwe wazawa wenye uchungu na nchi yetu?
Au badala ya kujenga viwanda vipya, kwa nini visifufuliwe kwanza vile vya muhimu tulivyoviua?
Tanzania tuna uwezo wa kutengeneza matairi ya gari na tukashindana na nchi kubwa kibiashara
Viwanda vya sukari sio kiviiiiiile kama biashara kubwa za matairi, nguo na hata viwanda vidogo vya pembejeo na zana zingine za kilimo ambacho ni uti wa mgongo wa third world countries
Japo serikali ya sasa haioni kilimo kama ni cha muhimu tena
We jamaa hizo ni stori zilikua wazi kila mtu kujisomea. Ama hukua nchini au ulikua mdogo. Aielazmisha halmashauri ni wazir mkuu wa enzi hizo. Just fuatilia program ya kilimo kwanza na uagizaji wa power tiller n trekta za kihindi.Siyo shida kutokufahamu kitu.Una uhakika na baadhi ya hizi habari rafiki.Unaweza nithibitishia.Alafu mbona maelezo yako hayaeleweki.
Basi ni shida km hata ishu wazi km hiyo hufahamu. Hao (kina manji) waliwauzia mifuko ya hifadhi hayo maghala kwa bei ya kutupa juu sn ya thamani yake.
Na kuna namna hao mifuko waliyauza kwa bei ndogo sana. In the process billions were made na kina Manji shoddily. Kuna kesi ilifunguliwaga sijui (sio shida) imeishia wapi hata.
Kwa ujumla kina manji ni wapigaji tu. Bado kuna deal la power tillers nalo alikuwamo (una uhakika?). Ilifkia sehemu hiyo mipower tiller haiuziki hadi halmashauri zinalazmishwa kununua (halmashauri ip kwa mfano. una uhakika manji alilazimisha chochote?).
Hili la kiwanda is just another one. Tusubiri.
Hii thread inahitaji statistics nyingi kuprove haya ambayo ni ya kuhisi tu.Wadau habari za uhakika nilizozipata kutoka ndani ya Quality Group asubuhi hii ni kwamba jamaa wamepewa sapoti kubwa sana na serikali kwenye ule mpango wao wa kujenga viwanda vya kuzalisha sukari Pemba na Morogoro.
CEO wa QG anaitwa Arif Sheikh akiwa na wasaidizi wake alikutana na PM na juzi asubuhi kumpa mpango mzima.
Inasemekana wataonana na Magufuli December hii au January 2017 ili waanze utaratibu wa kuwekeza by April 2017.
![]()
Kivip mkuu.fungukaHii thread inahitaji statistics nyingi kuprove haya ambayo ni ya kuhisi tu.
Mfano kusema." Wamepewa sapoti kubwa sana na serikali"Kivip mkuu.funguka
Ninavyoijua quality group ina nyenzo na wako makini! Support watakayohitaji sanasana ni ya kisera. Otherwise utoe data kamili hiyo support ni ya nini. Jua siko biased ila nataka factsKididimo unafeli. "Sapoti kubwa sana na serikali" ni vitu vingi. Pamoja na kusema tunakuruhusu. Acha kuwa biased
Kwa ninavyofahamu. Serikali inaweza kussuport QGL kwa njia nyingi sana. Ikiwemo kuwatengenezea sera. Kuwa referees when these conglomerates ask for any financial support from financial institution.Kuwabail against its own agencies mfano TRA TPA na agencies nyingine.Ninavyoijua quality group ina nyenzo na wako makini! Support watakayohitaji sanasana ni ya kisera. Otherwise utoe data kamili hiyo support ni ya nini. Jua siko biased ila nataka facts
Kwahiyo unapendekeza nini mkuu?Najaribu kuwajibu watu kulingana na muono wao
Wengi ni wasahaulifu na hawakumbuki
Ni kweli serikali iliahidi viwanda, Ingawa hawawezi kuvijenga kwa wingi kama walivyoaminisha wapiga kura
Lakini kama mpenda maendeleo siwezi kubaki kwenye hoja hiyo ya kuikosoa serikali bila kutoa tiba mbadala
Hapo ndipo wanapokuja wawekezaji wazawa wa ndani
Sijui umeiona pattern yangu?