Quality Group imeanza kujenga kiwanda

Quality Group imeanza kujenga kiwanda

Kazi yake serikali ya kuweka soko huria imefanywa?

Uchumi huria wa mikataba kama ile ya ESCROW na EPA?

Kuna sheria imerekebishwa ya kutuzuia kutoibiwa tena kama ZAMA zile?

Hao wawekezaji unaowaita watanzania wa asia, walianza lini kujaribu wanachokiendeleza? wametufikisha wapi?

IQ yako ilishuka pindi ulipofikiria kwa ushabiki,

Mimi sina mlengo wa chama chochote, ni mtanzania wa chini nayejua hali halisi tuliyonayo na ndio maana nikapendekeza maboresho ya kilimo (ambazo ndio malighafi za viwanda vyetu zinakotengeneza ajira), baada ya kuwekeza kwenye kilimo ndipo tuanze kuzalisha.

Yaani Sukari haitokei bila miwa ya kutosha.

Ndio maana Watanzania wengi hatuelewi. Hii thread inahusu Quality Group kujenga kiwanda. Issue ya Escrow, EPA, sijui masuala ya kuzuia wizi. Kwanini usifungue uzi mwingine. Hapa tunajadili Qulity Group kujenga viwanda. Hizo sympathy zingine mnazotafuta hapa si mahala pake.

Na kabla ya kutaka kubisha kitu kajifunze kwanza ili ukije uje na data zilizokamilika. Unajua maana ya soko huria? Yaani sentensi ya kwanza tu kwenye post yako inaonyesha dhahiri udadisi kwako uko katika kiwango kidogo sana.

Na kuhusu kuwa huna mlengo wa chama chochote danganya watu wengine. Wenye akili tushajua wapi unaposimamia au unataka tuweke na ushahidi?

Miaka 36 ya Utumwa, Unyonyaji na Ukandamizaji, Mauaji Ya Kinyama

Nape kauli yako hii siyo kweli!

Ukibisha kuwa huna chama sema tupost zingine
 
Kazi yake serikali ya kuweka soko huria imefanywa?

Uchumi huria wa mikataba kama ile ya ESCROW na EPA?

Kuna sheria imerekebishwa ya kutuzuia kutoibiwa tena kama ZAMA zile?

Hao wawekezaji unaowaita watanzania wa asia, walianza lini kujaribu wanachokiendeleza? wametufikisha wapi?

IQ yako ilishuka pindi ulipofikiria kwa ushabiki,

Mimi sina mlengo wa chama chochote, ni mtanzania wa chini nayejua hali halisi tuliyonayo na ndio maana nikapendekeza maboresho ya kilimo (ambazo ndio malighafi za viwanda vyetu zinakotengeneza ajira), baada ya kuwekeza kwenye kilimo ndipo tuanze kuzalisha.

Yaani Sukari haitokei bila miwa ya kutosha.

Uko sahihi kwa kiasi ila tatizo hutaki kufikiri nje ya box....husomi unachoelezwa ili uelewe bali unasoma ili ujibu!
 
Kazi yake serikali ya kuweka soko huria imefanywa?

Uchumi huria wa mikataba kama ile ya ESCROW na EPA?

Kuna sheria imerekebishwa ya kutuzuia kutoibiwa tena kama ZAMA zile?

Hao wawekezaji unaowaita watanzania wa asia, walianza lini kujaribu wanachokiendeleza? wametufikisha wapi?

IQ yako ilishuka pindi ulipofikiria kwa ushabiki,

Mimi sina mlengo wa chama chochote, ni mtanzania wa chini nayejua hali halisi tuliyonayo na ndio maana nikapendekeza maboresho ya kilimo (ambazo ndio malighafi za viwanda vyetu zinakotengeneza ajira), baada ya kuwekeza kwenye kilimo ndipo tuanze kuzalisha.

Yaani Sukari haitokei bila miwa ya kutosha.

Ulimwengu wa Kijamaa ndio serikali inamiliki viwanda tulishatoka huko tuko kwenye ubepari ambapo wawekezaji wamepewa nafasi ya kujenga viwanda inawezekana hukuelewa wakati wanasema wanataka Tanzania iwe na uchumi wa viwanda
 
ILE HOSPITALI YA MZEE REGNALD MENGI ILIISHIA WAPIII???? ILE YA KUTIBU MAGONJWA YA MOYO
 
Awamu ya Nyerere, viwanda vingapi vilijengwa? Awamu ya Mwinyi, viwanda vingapi vilijengwa? Awamu ya Mkapa, viwanda vingapi vilijengwa? Awamu ya Kikwete, viwanda vingapi vilijengwa? Kwenye awamu hizo, kila kiwanda kilichojengwa kilikuwa publicized kwa kiwango cha awamu hii ya tano? Naona awamu hii, mfanyabiashara hata akitoa kusudio tu la kujenga kiwanda inakuwa ni habari kuuuuubwa wiki nzima tena kwenye media outlets zote? Nahisi, wahusika washapata hofu kwamba "Tanzania ya Viwanda" ni nadharia tu sasa wanapiga yowe kila mvumo wenye harufu ya kiwanda unapotokea. Yaani kwa mwendo huu, mtawakutanisha matapeli wengi na PM/Rais maana naona kila mwenye business idea ya kiwanda anapelekwa kwa wakuu. Ebu, wenye kujenga wajenge kimyakimya kisha tuonyeshwe siku vinapofunguliwa kuanza uzalishaji. Nakumbushia ile issue ya treni ya umeme ya yule tapeli wa kimarekani kama ilivyokuwa publicized kwa mbwembwe na Mwakyembe.
 
Uko sawa mkuu, ila kuna tofauti za kimazingira, kimaisha na kiteknolojia juu ya mfumo wa kupashana habari. Habari hii imenifikia mimi nikiwa safarini kupitia simu yangu tu ya mkononi bila kuongea na mtu, bila kumwuliza mtu na bila kufahamiana na mtoa taarifa, na sasa mimi na wewe tunabadilishana mawazo bila hata kujuana wala kujua mahali tulipo katika sayari hii ya dunia. Kwa enzi za Nyerere, Mwinyi na Mkapa unajua ni namna gani tulikuwa tunapashana habari.
 
is there significant difference ya teknolojia ya upashanaji habari kati ya awamu ya tatu na ya nne? awamu ya nne na ya tano? I beg to squarely differ with you. key issue hapa ni kwamba; unapokosa makubwa ya kujivunia, unahamia kushadadia madogomadogo
 
Nakubali sana kazi za Waziri Mkuu wa Tanzania pamoja na Makamu wa Rais.
 
is there significant difference ya teknolojia ya upashanaji habari kati ya awamu ya tatu na ya nne? awamu ya nne na ya tano? I beg to squarely differ with you. key issue hapa ni kwamba; unapokosa makubwa ya kujivunia, unahamia kushadadia madogomadogo
Hata hii JF unayotoa maoni yako imeanza awamu ya 4,Social network mbalimbali Facebook,Twiter ,Instagram,Whatsapp zimeanza hii awamu ya 4
 
Kujenga kiwanda sio makalio boss. huamki ukaanza viwanda 2. Kwanini uko negative sana?!
Awamu ya Nyerere, viwanda vingapi vilijengwa? Awamu ya Mwinyi, viwanda vingapi vilijengwa? Awamu ya Mkapa, viwanda vingapi vilijengwa? Awamu ya Kikwete, viwanda vingapi vilijengwa? Kwenye awamu hizo, kila kiwanda kilichojengwa kilikuwa publicized kwa kiwango cha awamu hii ya tano? Naona awamu hii, mfanyabiashara hata akitoa kusudio tu la kujenga kiwanda inakuwa ni habari kuuuuubwa wiki nzima tena kwenye media outlets zote? Nahisi, wahusika washapata hofu kwamba "Tanzania ya Viwanda" ni nadharia tu sasa wanapiga yowe kila mvumo wenye harufu ya kiwanda unapotokea. Yaani kwa mwendo huu, mtawakutanisha matapeli wengi na PM/Rais maana naona kila mwenye business idea ya kiwanda anapelekwa kwa wakuu. Ebu, wenye kujenga wajenge kimyakimya kisha tuonyeshwe siku vinapofunguliwa kuanza uzalishaji. Nakumbushia ile issue ya treni ya umeme ya yule tapeli wa kimarekani kama ilivyokuwa publicized kwa mbwembwe na Mwakyembe.
 
Kuna watu wenye pesa wengi tu wamekuwa wakitamani kuwekeza katika vitu SERIOUS lakini hawakuwahi kupewa nafasi

Sitaki kuamini kama kuna mtu atasema kwamba serikari imewahi kusupport uwekezaji wa ndani BILA MKONO wa siri

Kinachotakiwa ni wawekezaji wa ndani wote kupewa haki ya kufanya wanachoweza na sio matajiri wachache kushirikiana na PM kufanya vitu kwa suprise ambavyo nina hakika vitatucost mbeleni
Hao unaosema wana mitaji, unao ushahidi kuwa wamewahi kuomba msaada wa serikali wakakataliwa?
 
Tunataka serikali yenyewe ijenge viwanda kama ilivyoahidi kwenye ilani yake

Kuendelea kuforce uwekezaji kwenye nchi yenye sheria zenye matundu ni kufaidisha wachache

Au ni kwa nini wawekezaji wasiwe wazawa wenye uchungu na nchi yetu?

Au badala ya kujenga viwanda vipya, kwa nini visifufuliwe kwanza vile vya muhimu tulivyoviua?

Tanzania tuna uwezo wa kutengeneza matairi ya gari na tukashindana na nchi kubwa kibiashara

Viwanda vya sukari sio kiviiiiiile kama biashara kubwa za matairi, nguo na hata viwanda vidogo vya pembejeo na zana zingine za kilimo ambacho ni uti wa mgongo wa third world countries

Japo serikali ya sasa haioni kilimo kama ni cha muhimu tena
Serikali ya kujenga viwanda kwa dunia ya sasa hakuna kwani siyo kazi ya serikali kufanya biashara. kazi yake kubwa ni kuweka mazingira[maeneo, nishati rahisi,kodi rafiki, kutokuwepo na urasimu, n.k] mazuri ili kuwezesha uwekezaji.
 
Mkuu nasikia mnauza pikipiki za kijapan hapo Quality Group, nahitaji Honda 110 trail, ni bei gani? Au nipatie mhusika namba yake nwasiliane naye moja kwa moja.
 
Unakerwa sana na asili yake?! Nchi hii utapata shida sana kufanikiwa. Pengine pamoja na asili yake kutokua hapa huyo ni raia wa KUZALIWA hapa Tanzania na kwa muonekano wako unaumizwa sana na mafanikio yoyote ya mtu unaeamini si anaefanana na wewe?!
Tangu lini Muhindi akawa mZAWA?
 
Back
Top Bottom