Song il gok
JF-Expert Member
- Feb 23, 2015
- 878
- 936
Wadau habari za uhakika nilizozipata kutoka ndani ya Quality Group asubuhi hii ni kwamba jamaa wamepewa sapoti kubwa sana na serikali kwenye ule mpango wao wa kujenga viwanda vya kuzalisha sukari Pemba na Morogoro.
CEO wa QG anaitwa Arif Sheikh akiwa na wasaidizi wake alikutana na PM na juzi asubuhi kumpa mpango mzima.
Inasemekana wataonana na Magufuli December hii au January 2017 ili waanze utaratibu wa kuwekeza by April 2017.