NingaR
JF-Expert Member
- Apr 15, 2012
- 2,759
- 590
Habari wana Jf, katika kufuatilia mchakato wa udaili wa wanafunzi katika CAS(Central Admission System) ya TCU nimekutana na category moja imeongezwa ambayo ni Qualification Status, ambapo kila faculty utakayo omba unawekewa kama uko Qualified au Not Qualified. Nawapongeza TCU kwa kuweka hichi kipengele ili tuweze kujua kabisa kama mtu ana vigezo vya kuomba hiyo faculty au la. Kwa wahusika nawashauri mtembelee accounts zenu za CAS ili kuweza kujua zaidi kama uko sahihi na uchaguzi wako ama la. ili kuweza kuona hiyo qualification stutus
ingia cas.tcu.go.tz then weka user ID yako na password then login
baada ya hapo click on My Profile, then click on View My selection Status. Hapo utaona your Qualification Status.
Nawasilisha kwenu.
ingia cas.tcu.go.tz then weka user ID yako na password then login
baada ya hapo click on My Profile, then click on View My selection Status. Hapo utaona your Qualification Status.
Nawasilisha kwenu.