Qualification status katika CAS.

NingaR

JF-Expert Member
Apr 15, 2012
2,759
588
Habari wana Jf, katika kufuatilia mchakato wa udaili wa wanafunzi katika CAS(Central Admission System) ya TCU nimekutana na category moja imeongezwa ambayo ni Qualification Status, ambapo kila faculty utakayo omba unawekewa kama uko Qualified au Not Qualified. Nawapongeza TCU kwa kuweka hichi kipengele ili tuweze kujua kabisa kama mtu ana vigezo vya kuomba hiyo faculty au la. Kwa wahusika nawashauri mtembelee accounts zenu za CAS ili kuweza kujua zaidi kama uko sahihi na uchaguzi wako ama la. ili kuweza kuona hiyo qualification stutus
ingia cas.tcu.go.tz then weka user ID yako na password then login
baada ya hapo click on My Profile, then click on View My selection Status. Hapo utaona your Qualification Status.

Nawasilisha kwenu.
 
duh!!nimeangalia ya ndugu yangu mmoja niliemsaidia kufanya application,eti amequlify bcom-accounting,bcom-finance na ba-economics za udsm na agro-economics ya sua ila mzumbe na udom wamempiga chini na wkt ana dvision 1.8.
 
duh!!nimeangalia ya ndugu yangu mmoja niliemsaidia kufanya application,eti amequlify bcom-accounting,bcom-finance na ba-economics za udsm na agro-economics ya sua ila mzumbe na udom wamempiga chini na wkt ana dvision 1.8.

Mkuu hata hiyo ki2 imetokea kwangu et programs za UDSM nime qualify lakini Architecture ya Ardhi cheche. sijui problem ni nini
 
daah mbna wamenibania architecture pande za ardhi? Wakati na vigezo vyote..nyingine zote zimekubali
 
IMPORTANT NOTES All Applicants who had already selected programs are advised to Login and View their application status. Login and click "My Profile" then click "View My Selection Status". Make necessary changes if any of your selected program is marked "NOT QUALIFIED".


source Weclome to TCU Central Admission Sytem, please Login

kwan ni lazima uchange,wat if akiziacha hzo hzo ambazo amequalify hata ka ni nne?
 
bado ni pouwa hata mm hyo architectr nitaiacha hvyo hvyn no need 2 change
 
Jaman,hata mimi nilichagua udsm,sua,ardhi,mzumbe na udom.nimekuta za udom,ardhi na mzumbe nimeandikiwa not qualified,ila udsm na sua ambazo jumla yake ni facults 4 wameniandikia qualified.sasa nauliza,naweza nikaziacha kama zilivyo ili wakati wa kuchaguliwa nijue nachaguliwa kati ya udsm au sua?naombeni mawazo yenu.
 
daah mbna wamenibania architecture pande za ardhi? Wakati na vigezo vyote..nyingine zote zimekubali

mim mwenyewe wameniandikia bcom ya udom not qualified but bcom ya udsm nimequalify.sasa sijui ni tueleweje.
 
mi niliomba ardhi koz 3 wamekubal mbili na kuacha 1 udzm and sua wamekubal kozi zote
 
mi niliomba ardhi koz 3 wamekubal mbili na kuacha 1 udzm and sua wamekubal kozi zote

hivi kama umequalify kwenye faculty ulizokua unazitaka na vyuo ambavyo ulikua unavipenda,kuna haja kufanya changes?
 
1 Reactions
Reply
Back
Top Bottom