Qualification status katika CAS.

Sasa mbona mimi hawajanibadilishia hapohapo? Hata nimesikia wengine waliobadilisha,hazijabadilika?

Mkuu TCU programmers wamechemsha!! programme haiwezi kuduwaa kwa wiki nzima eti iko in progress kubaini kama mtu yuko eligible / qualified kwa selection aliyoifanya. Hiyo itakuwa sio programme bali kuna mtu wa old age yuko pale kubaini kakaa na hajui afanye nini.
 
checking in progress...... inaboa kwelikweli :eyeroll1:
 
mimi nimeshafanya change kwa coz ambazo not qualify but bado wananambia vile vile na hata wengine ivo ivo. Pana tatizo gani hapo
 
Labda niwaambie tu kwamba,kazi ya tcu ni kuchuja majina ili kupata wale wenye sifa za kusoma vyuo vikuu,then majina yanayokua na sifa hupelekwa kwenye vyuo husika ambako muombaji aliomba,hvyo vyuo vitachagua wanao wataka kulingana na uwezo wa chuo husika pamoja na qualifications miongon mwa waliochujwa toka tcu,so wewe unaesema umequalify bt umeandkiwa hujaqualify,me naona ni kwa sababu mayb chuo ulicho omba kudahiliwa na kozi uliyo omba zimejaa ndo maana wameamua kuwaambia hvo.over
 
Jamani Checking in Progress..... Ina chukua muda gani ku complete?????
 
Wadau nijisajili kila nikijaribu wananiambaia nimekosea login nimejaribu mara nyingi kwa usahihi mkubwa tatizo lipo vili vili na kitufe cha kusahau passward hakifanyi kazi msaada tafadhali
 
Wadau nijisajili kila nikijaribu wananiambaia nimekosea login nimejaribu mara nyingi kwa usahihi mkubwa tatizo lipo vili vili na kitufe cha kusahau passward hakifanyi kazi msaada tafadhali

Angalia labda wakati unajisajiri uliweka CAPITAL LETTERS na sasa unatumia SMALL LETTERS au Uliweka SMALL LETTERS na sasa unatumia CAPITAL LETTERS, test kureverse hizo options mbili uone kama utafanikiwa.
 
Jamani jinsi ya kufanya changes au kuongeza ndio tatizo, tunafanyeje ili kuongeza kozi au kubadilisha manaake mi sion option ya kufanyia changes
 
Jamani jinsi ya kufanya changes au kuongeza ndio tatizo, tunafanyeje ili kuongeza kozi au kubadilisha manaake mi sion option ya kufanyia changes

Click sehemu ya SELECTED PROGRAMS hapo ynaweza kuona option ya ku add na ku remove PROGRAMS
 
Dah juzi niliwekewa not qualifued course 2 leo 3 haha ha ha ha ha ila mzumbe aminiaaaaaaaaaaaa
 
Jamani mbona na wiki mbili check in progress? Inaisha lini hii kitu? Hebu nijuzeni nyie mliojibiwa.
 
Jamani mbona na wiki mbili check in progress? Inaisha lini hii kitu? Hebu nijuzeni nyie mliojibiwa.

Mimi nilibadirisha Ijumaa "CHECKING IN PROGRESS....." ikaisha Leo J3
 
Wadau nijisajili kila nikijaribu wananiambaia nimekosea login nimejaribu mara nyingi kwa usahihi mkubwa tatizo lipo vili vili na kitufe cha kusahau passward hakifanyi kazi msaada tafadhali

chek caps lock may b,uli2mia capital letter au small letter kwenye password hapo........
 
Back
Top Bottom