Qualification status katika CAS.

asante kwa maelezo yako senetor,kwa hiyo nisipate presha ya kufanya changes sio?

depending na matokeo yako mkuu,kama una dv 1 au 2 uhakika wa kupata udsm na sua upo,afu bado cjaelewa,inakuaje chuo ka udom ambayo ni kimbilio la wengi wakupige chini lakini vyuo vyenye competition kama udsm na sua ndo wakuambie umequalify,jaribuni kuwasiliana na hao Tcu wenyewe ili wawape maelezo yenye kueleweka.over
 
nadhani mpaka wamekuandikia qualified,that means umetimiza vigezo vyao wanavovitaka ikiwemo cut off points,so umeingia moja kwa moja kwenye list ya wanafunzi wao watakao waweka kwenye selection process,hvo basi hauna haja ya kufanya changes zozote coz tayari una uhakika wa kuchaguliwa kati ya udsm au sua.hayo ndo mawazo yangu mdau.

Kuna suala la probability na confidence interval pia.
 
Mimi nina tatizo nilikua nimewekewa notqualified kwenye bachelor ya business administration in marketing at Mzumbe lakini nime qualify the same Course at University of Arusha ..now nimeziinterchange ya university of Arusha nimeweka ya pili ya mzumbe ya tatu kwenye choices sasa inaandika nimequalify mzumbe sija qualify university of Arusha
 
hapo kuna usanii hao tcu wanawafanyia.
 
Du heli yenu mi mwenzenu tangu jana inaniambia checking in progress........ sijui mwisho ni lini
 
Jana nilijaribu kufanya changes,lakin kila faculty niliyokua naiweka,wananiambia not qualified,nikaona isiwe tabu,nikaziacha zile nne za ud na sua nilizo qualify,wakinichagua poa,wasipo nichagua mzuka tu vile vile.
 
Mimi nina tatizo nilikua nimewekewa notqualified kwenye bachelor ya business administration in marketing at Mzumbe lakini nime qualify the same Course at University of Arusha ..now nimeziinterchange ya university of Arusha nimeweka ya pili ya mzumbe ya tatu kwenye choices sasa inaandika nimequalify mzumbe sija qualify university of Arusha

duuh!kazi kweli kwel,kuna jamaa yeye kaandikiwa not qualified facults zote.
 
Saivi wana andika ELIGIBILITY STATUS yaani "ELIGIBLE" au "NOT ELIGIBLE" sasa sijui wanamaana gani???
 
Ts the same to qualified kijana. F ur eligible means ur qualified in the respective coarse vice versa z also true(
 
Ivi c muende huko kwenye ofis zao mkawaface direct ili wawape ufafanuzi unao eleweka kuliko kukaa mnaguec tu humu!
 
Wadau naomba kuuliza je ni lazima uwe qualified kwenye vyuo vyote ulivyoandika? Wat if utakua umequalify vyuo ka viwili ambavyo we ndo unavipenda zaid, je lazma ubadili hvyo ambavyo haujaqualify?
 
mkuu utoke mtwara au karagwe na hata kibaha ukaulize au kuomba msaada - nini maana ya online registration jamani
 
Wadau naomba kuuliza je ni lazima uwe qualified kwenye vyuo vyote ulivyoandika? Wat if utakua umequalify vyuo ka viwili ambavyo we ndo unavipenda zaid, je lazma ubadili hvyo ambavyo haujaqualify?

kama matokeo yako ni mazuri hauna haja,ila kama una matokeo yenye utata,badilisha tu.
 
1 Reactions
Reply
Back
Top Bottom