Melkiard Junior
Senior Member
- Aug 12, 2018
- 150
- 77
Wanabodi, baada ya kuona changamoto za udahili wa wanafunzi wa Taasisi za Elimu ya Juu mwaka huu na mwaka jana nnashauri sasa Serikali ione umuhimu wa kurudisha ule mfumo wa kufanya mombi ya kusoma Vyuo Vikuu kwa kupitia Central Admission system (CAS) ya TCU. CAS ilionekana kuwa na mapungufu kwa Mujibu wa Mheshimiwa Rais kuwa TCU inapangia wanafunzi vyuo wasivyoomba (japo possibility ni ndogo sana) na kuwa kuna Vyuo vinafanya ujanja ili vipate wanafunzi; pamoja na hayo yote kuna haja ya kurudfia huo mfumo na tuuboreshe kidogo kuondoa kasoro za hapo awali.
Faida za CAS:
1. Mwanafunzi anakuwa na account moja tu, hivyo ni rahisi kufanya maombi ya chuo na kufuatilia selectio status.
2. Mwanafunzi akikosa selection ktk round one ni rahisi kwake kupitia account yake moja kufanya application ya second round
3. Itakuwa rahisi kutoa majina kwa wakati mmoja kuliko sasa (mfano second round vyuo vingi vmechelewa sana kutoa majina)
Na faida nyinginezo nyingi.
Katika kurudisha huko kwa CAS TCU itahakikisha kuwa:-
1. wakati wa selection Vyuo Vikuu vyote vinashirikishwa ktk zoezi hilo ili kuondoa malalamiko ya kuwa kuna Vyuo vinapendelewa kupangiwa wanafunzi.
2. System kuwa rafiki zaidi kuwa inatoa status wkt wa kuchagua program ili mtu aombe only programs ambazo yuko qualified (mfano system ya MoCU)
3. System iwe inatoa status ya kuwa program imejaa ili watu waache kuichagua, mfano kama BSc. Computer Science ya UDSM inauwezo wa kuchukua wanafunzi let say 100, kukiwa na applicant like 200 system isipokee maombi mengini zaidi hivyo kuwapa wanafunzi fursa sahihi ya kuomba programs zilizo empty.
Haya ni kwa uchache, najua zipo faida nyingi za kuirudisha CAS.
Nawasilisha