Q Chief ana uhusiano gani na wezi wa magari?

Kwahiyo nchi yote niwezi na watuake niwezi?/Kazi hipo JF ukiingia bila kucheka basi wewe ni mtu wa aina yake!
 
Kiranja Mkuu hayo madai yako yanaweza kuwa na ukweli fulani ndani yake maana kuna sehemu moja inaitwa kontena maarufu kwa kitimoto iko mikocheni barabara ambayo ndipo ilipo hosptali ya AAR . Hiyo sehemu wateja waliokuwa wanaenda kuburudika pale walipokuwa wanapaki magari yao ikifika muda wa kuondoka wanakuta power window na vitu vingine havipo na baada ya uchunguzi ilikuja kugundulika ni huyo Q-Chief na kundi lake.

Baada ya kupigwa mkwara nafikiri alihamisha makazi na wizi haupo eneo hilo, hata wahudumu wa pale ukiwauliza watakwambia ni Q-Chief na kundi lake sasa sielewi dili hili wanacheza na mapolisi au vipi

The Finest...my young brother run that place upande wa maakuli, am regular there, Q Chief haji tena pale siku hizi kwani siku hiyo 'live' yeye na kundi lake walibambwa pale wakiwa wanavunja GX 100 ya mshkaji likatokea tafrani si dogo wakakimbia na gari nyeupe Toyota Corolla sijui Corona ile. Watu wanamsubiria pale wamtoe roho...yule jamaa mwizi sana, tena sana!
 
The Finest...my young brother run that place upande wa maakuli, am regular there, Q Chief haji tena pale siku hizi kwani siku hiyo 'live' yeye na kundi lake walibambwa pale wakiwa wanavunja GX 100 ya mshkaji likatokea tafrani si dogo wakakimbia na gari nyeupe Toyota Corolla sijui Corona ile. Watu wanamsubiria pale wamtoe roho...yule jamaa mwizi sana, tena sana!
The same story unayoniambia Riwa it's the same story niliyoikuta hapo kontena and i believe kama nimesikia this same story kwa watu zaidi ya watano it means huyu jamaa anahusika sana na huu mchezo
 
Mbona MC walidai wameshafunga CCTV cameras? Au walikuwa wanajikosha tu? Thubutu uingie usichukue kadi getini 5,000 inakutoka hivihivi! Nakuomba uliyepata mkasa huu piga simu ya polisi waliyoiweka hewani halafu uendeleze uchunguzi kama polisi watafanya nini utujuze.

Afu pia kwanini hukufanya kama PCCB wanavyofanyaga unaenda kuwakamatisha? Kwanza ulienda bila kuwa makini ungeweza hata kupata matatizo huko gerezani utakuwa ulikuwa unauliza uliza sana wangeweza hata kukudhuru!
 
Kwa kweli pale mlimani city ni pachafu sana kuna wezi kama sio majambazi tulikua na semina pale ya wahandisi, wakadiriaj, wasanifu na wakandarasi watu wengi ilibidi tuache magari yetu tupande daladala.

Hapafai wezi wote wa nchi hii wanajulikana na polisi na hata namba zao za simu wanazo, mm nina imani polisi wenyewe ndio wezi kama sio kwa nn wasiwakamate kama wamediriki kumpa huyo jamaa taarifa yote na Q chief anapopatikana? Nchi hii kwishnei
 
mbona MC walidai wameshafunga CCTV cameras?au walikuwa wanajikosha tu?thubutu uingie usichukue kadi getini 5,000 inakutoka hivihivi!nakuomba uliyepata mkasa huu piga simu ya polisi waliyoiweka hewani halafu uendeleze uchunguzi kama polisi watafanya nini utujuze.Afu pia kwanini hukufanya kama PCCB wanavyofanyaga unaenda kuwakamatisha?kwanza ulienda bila kuwa makini ungeweza hata kupata matatizo huko gerezani utakuwa ulikuwa unauliza uliza sana wangeweza hata kukudhuru!
Mlimani City CCCTV zimefungwa vyooni ili kuwachungulia wanawake vyooni.
Madukani zimefungwa kuangalia usalama wa bidhaa zinazouzwa.
Parking yard hamna kameras ili ngono za magarini ziendelee. Pia q chilla na kundi lake nao waendelee kuiba
 
Huwezi amini hadi yakukute.

Januari mwaka huu nilienda mida ya saa 10 jioni kununua vitu nikaingia ndani baada ya nusu saa kutoka nakuta wamevunja kioo cha nyuma na kuiba laptop na simu na begi lina nyaraka muhimu

Nikaenda kwa walinzi nikapiga biti wakanambia hawahusiki na ulinzi baadae mlinzi akanivuta pembeni akanielekeza niende mahali fulani mwenge nimuulize dula ntapata vitu vyangu kwa bei poa, na akanipa tahadhali nikienda na polisi sipati kitu.

Nikaenda polisi wakanambia bro kama unataka vitu vyako bora umalize juu kwa juu tukienda na sisi hupati kitu, nikakomaa twendeni.
Tulipofika nikaambiwa hakuna mtu kama huyo kwanza ndio mara ya kwanza kusikia jina hilo, nikawaambia turudi tukambane yule mlinzi polisi wakakubali shingo upande.

Tulipofika yule mlinzi akaniruka futi bilioni moja kuwa hajaongea na mimi kitu kama hicho, polisi wakaondoka eti nawapotezea muda,
Baada ya polisi kuondoka mlinzi mwingine tena akanambia braza hapa ndio daslamu bana ukileta ujuaji hupati vitu vyako, nikaondoka kwa hasira.

Mtaani nikashauriwa niwe mpole nimrudie mlinzi wa pili ntapata vitu vyangu na nikubali masharti, kesho yake nikarudi kweli na nikapata kwa kuuziwa laptop yangu na begi lenye documents muhimu kibao ingawa simu ilikua imeshauzwa hivyo sikuipata.

Baada ya hapo wakati nampooza mlizi kwa "kazi nzuri" aliyofanya akaniambia bro hiyo ni channel ulipoenda polisi waliwapigia simu akina dula kuwa tunaenda ingawa wao walinzi walijifanya hawapo kwenye channel kumbe nao wamo.

Hii ndio Tanzania nchi yetu yenye amani unaibiwa kitu, kisha unaenda polisi wanakuzengua il urudi kwa mwizi wako kisha mnaanza kubageni bai ya vitu vyako na mwizi wako na unavinunua tena na mnaagana as if ni marafiki.

Kisha mwizi, polisi na walinzi wanagawana.
 
Najaribu kufuatilia mada naona napotea potea mwenyewe, Q Chief anayesemwa ni huyu huyu mwimbaji au majina yamefanana na kuna jambazi sugu linaenda kwa jina hilo?
 
Jana nimeibiwa laptop, power window, head rest, redio na mkoba uliokuwa na makabrasha na nyaraka mbalimbali nilipokuwa Mlimani City mida ya usiku. Walinzi wa Mlimani City wanasema kuwa wao hawahusiki na ulinzi wa magari. Basi kwenye kudadisi kwangu mlinzi mmoja akaniambia wanaovunja vioo na kuiba vitu kwenye magari hapo Mlimani City ni kundi la Q Chief.

Nikaenda kutoa taarifa kituo cha Polisi Mwenge ambako nilipewa Rb. Polisi nao wakaniambia kuwa hilo kundi ni la Q Chief.
Polisi wakanielekeza niende mitaa ya gerezani huko ntaweza kupata vifaa vya gari yangu.

Sasa natokea gerezani, nimepata vitu vyangu na kuhusu laptop wameniambia niende Azam kuna bwana anaitwa Salehe nimuone.
Cha kushangaza ni hiki, Polisi wanajua kuwa Q Chief ni mwizi na anamtandao wake, kwa nini hawamkamati na kumfungulia mashtaka?

Kweli jeshi letu la Polisi linanuka rushwa.
Q Chief ni mwizi wa power window hilo liko wazi kwa watu wa viwanja tunamjua sana
 
Najaribu kufuatilia mada naona napotea potea mwenyewe, Q Chief anayesemwa ni huyu huyu mwimbaji au majina yamefanana na kuna jambazi sugu linaenda kwa jina hilo?
yes ni huyu mwimbaji, mimi naweza kuprove hili nikiitajika
 
  • Thanks
Reactions: Aza
mhh sasa na yeye anajivunjia heshima... ni laana ya kumsingizia uongo mdingi wake au nini jamani
 
Back
Top Bottom