Wewe unameza kila unachoambiwa bila kujiongeza, umeshaambiwa mapato yanayotokana na hivyo viwanda kama yana reflect idadi ya viwanda, na kama kweli Pwani ina viwanda hivyo wananchi wa mkoa huo wananufaikaje, shule zao zikoje, zahanati zao zikoje nk. ndio maana nasema hizo ni namba tu kama zilivyo namba zingine kwa lengo la kumdanganya rais.wewe useme vingapi. Wizara ndio inakueleza ambayo ndio inajua.
unapinga bila kuwa na mbadala ya unachokipinga...
Wewe upo huko tarime sijui kahama unaanza kubeza......njoo uzunguke mkoa wa pwani ujionee.....mkuranga tu pekee ina lundo la viwanda
Usisahau na ugaidi Pwani inaweza kuongoza.Umeshatembelea wapi na wapi mkoa wa Pwani?
Nnadiriki kusema, kwa viwanda vikubwa na vidogo, kuviweka pwani ni super choice kwa sasa kwani vigezo vya kuanzisha kiwanda vinakidhi.
Karibu na bandari, maji mengi, hakuna msongamano, train na barabara zipo.
Usishangae kuwa hivi karibuni pwani ikawa ya kwanza kwa viwanda Tanzania.
Toa basi taarifa yako mbadala badala ya kupinga.Viwanda vya nini!??
Ifike mahala watu wansoma taarifa za maendeleo ya Mkoa wawe makini..
Hivi neno 'kiwanda' watu wanajua maana yake!??
Taarifa hii mimi siiamini kabisa. Labda kama wamewajumlisha na washona cherehani.
Tuwe wakweli.
Vipo vingi sana kwenye iyo link mkuuHahahaaaa,mbona vimetajwa vichache vingine vimewekwa kama idadi tu
mbona umeshindwa kuhoji impact ya madini kwa wana kanda ya ziwa?Sijakataa uwepo wa hivyo viwanda, swali langu la msingi ni impact ya hivyo viwanda kiuchumi kwa Taifa na wananchi wa mkoa wa Pwani, tunaongelea ile physical impact ya kiuchumi kwa hao watu na maeneo yao..
Inawezekana naijua Pwani kuliko unavyoijua, kuishi Tarime hakunifanyi kutoijua Pwani..
Umenunua cherehani nne nini?Viwanda vipo vingi sana je nikitaka kuweka changu pwani kidogo natakiwa nianzie TIC au MKUU WA MKOA WA PWANI?
Viwanda vya nini!??
Ifike mahala watu wansoma taarifa za maendeleo ya Mkoa wawe makini..
Hivi neno 'kiwanda' watu wanajua maana yake!??
Taarifa hii mimi siiamini kabisa. Labda kama wamewajumlisha na washona cherehani.
Tuwe wakweli.
Viwanda vya nini!??
Ifike mahala watu wansoma taarifa za maendeleo ya Mkoa wawe makini..
Hivi neno 'kiwanda' watu wanajua maana yake!??
Taarifa hii mimi siiamini kabisa. Labda kama wamewajumlisha na washona cherehani.
Tuwe wakweli.
sasa hapo naona unapoteza mwelekeo wa kujadili.Wewe unameza kila unachoambiwa bila kujiongeza, umeshaambiwa mapato yanayotokana na hivyo viwanda kama yana reflect idadi ya viwanda, na kama kweli Pwani ina viwanda hivyo wananchi wa mkoa huo wananufaikaje, shule zao zikoje, zahanati zao zikoje nk. ndio maana nasema hizo ni namba tu kama zilivyo namba zingine kwa lengo la kumdanganya rais.
Kuna watu hamuamini hadi kwa pichaViwanda vya nini!??
Ifike mahala watu wansoma taarifa za maendeleo ya Mkoa wawe makini..
Hivi neno 'kiwanda' watu wanajua maana yake!??
Taarifa hii mimi siiamini kabisa. Labda kama wamewajumlisha na washona cherehani.
Tuwe wakweli.
Viwanda vya unyago na vyerehaniViwanda vya nini!??
Ifike mahala watu wansoma taarifa za maendeleo ya Mkoa wawe makini..
Hivi neno 'kiwanda' watu wanajua maana yake!??
Taarifa hii mimi siiamini kabisa. Labda kama wamewajumlisha na washona cherehani.
Tuwe wakweli.
hahahaha labda mafundi viatu na vyerehaniViwanda vya nini!??
Ifike mahala watu wansoma taarifa za maendeleo ya Mkoa wawe makini..
Hivi neno 'kiwanda' watu wanajua maana yake!??
Taarifa hii mimi siiamini kabisa. Labda kama wamewajumlisha na washona cherehani.
Tuwe wakweli.
View attachment 528783