Pwani kuna viwanda 371... How!??

Pwani kuna viwanda 371... How!??

Naona vijana wale wapingaji wa kila jambo wanaumia, wao kichwani mwao wameweka msamiati wa Kuwa haiwezekani
 
mkuu kule kweli kuna viwanda vingi hata kwa kupita barabarani hali halisi inaonyesha.
na inaonekana ni kwa sababu pwani imeizunguka dar es salaam, hivyo kutoa maeneo makubwa ya kutosha kuwekeza kuliko hapo jijini

Sio kweli mwenzio katoa na ushahidi wewe unaleta habari za kufikirika akili zenu sijui mmerithi kwanani
 
Muanzisha uzi swali lako ni haiwezekani kwa mkoa wa pwani kuwa na viwanda au idadi ya viwanda hivyo? Nilikwenda Mkuranga mwaka 2014, viwanda nilivyoviona njiani sikuwahi kufikiria
 
Hongera sana, naamini Pwani kwa sasa hakuna vilio tena vya ajira. Sisi tulioko Dar na sehemu zingine tunakuja kuomba kazi Pwani. Viwanda 371 sio mchezo.
 
Hapo pamejumuishwa watengeneza mitambo ya gongo Ooops samahani, namaanisha vyerehani vinne, wapasua mbao, wafyatua tofali, yale ma godown ya kuhifadhia bidhaa toka china yaliyojaa Mkuranga ni viwanda na....
 
mkuu umesahau kuorodhesha mobile ki-wonder cha Kibiti. kinazalisha damu kutokana na askari na kuirutubisha ardhi!
 
Bila vyerehani vinne au mashine yoyote ile. Hata ukiweza kuzalisha chochote kwa kutumia kiwiliwili chako basi ni kiwanda.

Kuna viwanda vya korosho ambavyo toka a mpaka z ya process yote hutegemea mikono ya binaadam.

Kuwa na vyerehani vinne ukajuwa cha kuzalisha, ni kiwanda kidogo cha kujivunia sana. Kwa mwenye kuelewa.
Kumbe hata K ni kiwanda
 
Back
Top Bottom