Pwani kuna viwanda 371... How!??

Pwani kuna viwanda 371... How!??

wewe useme vingapi. Wizara ndio inakueleza ambayo ndio inajua.
unapinga bila kuwa na mbadala ya unachokipinga...
Wewe unameza kila unachoambiwa bila kujiongeza, umeshaambiwa mapato yanayotokana na hivyo viwanda kama yana reflect idadi ya viwanda, na kama kweli Pwani ina viwanda hivyo wananchi wa mkoa huo wananufaikaje, shule zao zikoje, zahanati zao zikoje nk. ndio maana nasema hizo ni namba tu kama zilivyo namba zingine kwa lengo la kumdanganya rais.
 
Wewe upo huko tarime sijui kahama unaanza kubeza......njoo uzunguke mkoa wa pwani ujionee.....mkuranga tu pekee ina lundo la viwanda

Sijakataa uwepo wa hivyo viwanda, swali langu la msingi ni impact ya hivyo viwanda kiuchumi kwa Taifa na wananchi wa mkoa wa Pwani, tunaongelea ile physical impact ya kiuchumi kwa hao watu na maeneo yao..

Inawezekana naijua Pwani kuliko unavyoijua, kuishi Tarime hakunifanyi kutoijua Pwani..
 
unashangaa nini wakati ukiwa na cherehani nne ni kiwanda kuku 500 ni kiwanda otherwise hakuna viwanda vya maana Zaidi ya kumi ili mradi wameamuwa kupigia propaganda na kujifurahisha nafsi zao achana nao
 
Umeshatembelea wapi na wapi mkoa wa Pwani?

Nnadiriki kusema, kwa viwanda vikubwa na vidogo, kuviweka pwani ni super choice kwa sasa kwani vigezo vya kuanzisha kiwanda vinakidhi.

Karibu na bandari, maji mengi, hakuna msongamano, train na barabara zipo.

Usishangae kuwa hivi karibuni pwani ikawa ya kwanza kwa viwanda Tanzania.
Usisahau na ugaidi Pwani inaweza kuongoza.

Ugaidi Tanzania Unafanikiwa
 
Viwanda vya nini!??

Ifike mahala watu wansoma taarifa za maendeleo ya Mkoa wawe makini..

Hivi neno 'kiwanda' watu wanajua maana yake!??

Taarifa hii mimi siiamini kabisa. Labda kama wamewajumlisha na washona cherehani.

Tuwe wakweli.
Toa basi taarifa yako mbadala badala ya kupinga.
Pwani unaiona wakati unapita kwenda Moshi,unadhani pwani ni kibaha tu,?
Nenda mkuranga,nenda bagamoyo kafanye research kama utawaona washona cherehani
 
Viwanda vipo vingi sana je nikitaka kuweka changu pwani kidogo natakiwa nianzie TIC au MKUU WA MKOA WA PWANI?
 
Sijakataa uwepo wa hivyo viwanda, swali langu la msingi ni impact ya hivyo viwanda kiuchumi kwa Taifa na wananchi wa mkoa wa Pwani, tunaongelea ile physical impact ya kiuchumi kwa hao watu na maeneo yao..

Inawezekana naijua Pwani kuliko unavyoijua, kuishi Tarime hakunifanyi kutoijua Pwani..
mbona umeshindwa kuhoji impact ya madini kwa wana kanda ya ziwa?
 
Viwanda vya nini!??

Ifike mahala watu wansoma taarifa za maendeleo ya Mkoa wawe makini..

Hivi neno 'kiwanda' watu wanajua maana yake!??

Taarifa hii mimi siiamini kabisa. Labda kama wamewajumlisha na washona cherehani.

Tuwe wakweli.

unafanya kazi posta unaishi masaki, ya mkuranga,kisarawe bagamoyo unayajua??
 
Viwanda vya nini!??

Ifike mahala watu wansoma taarifa za maendeleo ya Mkoa wawe makini..

Hivi neno 'kiwanda' watu wanajua maana yake!??

Taarifa hii mimi siiamini kabisa. Labda kama wamewajumlisha na washona cherehani.

Tuwe wakweli.

Yap! Cherehani nne, kiwanda
 
Wewe unameza kila unachoambiwa bila kujiongeza, umeshaambiwa mapato yanayotokana na hivyo viwanda kama yana reflect idadi ya viwanda, na kama kweli Pwani ina viwanda hivyo wananchi wa mkoa huo wananufaikaje, shule zao zikoje, zahanati zao zikoje nk. ndio maana nasema hizo ni namba tu kama zilivyo namba zingine kwa lengo la kumdanganya rais.
sasa hapo naona unapoteza mwelekeo wa kujadili.
Hoja vipo au havipo katika idadi hiyo?
mapato ya hivyo viwanda, kunufaika kwa wananchi pwani, shule zahanati, ni vitu vingine.
 
Mara ya kwanza ulikuwa hakuna viwanda sasa vinafunguliwa. Ushauri wangu nenda kwa mkuu mkoa kaulize ndio utajua ni kweli au si kweli kuliko kuchangia kwa kuhisi tu
 
IMG-20170622-WA0050.jpg
 
Viwanda vya nini!??

Ifike mahala watu wansoma taarifa za maendeleo ya Mkoa wawe makini..

Hivi neno 'kiwanda' watu wanajua maana yake!??

Taarifa hii mimi siiamini kabisa. Labda kama wamewajumlisha na washona cherehani.

Tuwe wakweli.
Kuna watu hamuamini hadi kwa picha

IMG_2087.JPG

IMG_4129.jpg
 
Viwanda vya nini!??

Ifike mahala watu wansoma taarifa za maendeleo ya Mkoa wawe makini..

Hivi neno 'kiwanda' watu wanajua maana yake!??

Taarifa hii mimi siiamini kabisa. Labda kama wamewajumlisha na washona cherehani.

Tuwe wakweli.
Viwanda vya unyago na vyerehani
 
Viwanda vya nini!??

Ifike mahala watu wansoma taarifa za maendeleo ya Mkoa wawe makini..

Hivi neno 'kiwanda' watu wanajua maana yake!??

Taarifa hii mimi siiamini kabisa. Labda kama wamewajumlisha na washona cherehani.

Tuwe wakweli.
View attachment 528783
hahahaha labda mafundi viatu na vyerehani
 
Back
Top Bottom