Pwani kuna viwanda 371... How!??

Pwani kuna viwanda 371... How!??

acheni kujifariji ati karibu na maji yap hayo hata Bandari hamuna ya maana... alafu hizo ni siasa kwa ukweli baada ya dar ni tanga then mwanza kwa viwanda.. hizo ndoto zako bado hazijawa... jua kwamba wawekezaji wa nyumbani wanaobinafxishwa kamwe hawadumu kutunza viwanda.. tanga kule yalixhatokea.. viwanda vilivyobaki ni vya private tena wazungu na wahindi..... xaxa nashangaa mnaposema viwanda mia tatu ikiwa.. mkoa wenye viwanda vingi Tz idadi hyo haijafika.... pwani ikiwa hata tano pia haimo kuwa serious na facts zako....
 
Nenda katembelee mkuu kuanzia mbagala kwenda mbele huko mkuranga utastaajab,ni viwanda kweli,kuna wachina huko balaa,nenda visiga madafu pale mkono wa kushoto kutokea dar ingia huko ndan,kuna had kiwanda cha cement.chuma,tiles,etc.ni viwanda vikubwa,mi nilikua na supply material huko
Mmmmh ila vinafika hiyo namba mkuu?? Au vikubwa ni kma mia tu afu hivyo vingine vinakuwa vya kawaida ila exaggerated??? Nakubali viwanda vipo vingi ila sio heavy/medium kma unavyoongelea wwe!!! Unless mpaka vya wakata mbao vinahesabika
 
Project Details | Coast Region

Mleta mada weka update kwenye Swali lako...nimekuwekea jibu.

Usichoke kuhoji utekelezaji wa ahadi za JPM.
Hahhhhahahhh viwanda vikubwa vipo 13 tu kuendana na pdf yako hiyo na ukiweka na vya kati havifizidi 100 vilivyobaki ni vya waranda mbao ndio maana unashangaa kiwanda cha wachina hicho kinaajiri watu 200 pekee na kinahesabiwa ni heavy industry!

Acheni masihara kwenye mambo serious mnatuangusha sana
 
Unafahamu definition ya kiwanda?
 
Tutawaletea na picha maana hampendi kuona mazuri
 
Nenda katembelee mkuu kuanzia mbagala kwenda mbele huko mkuranga utastaajab,ni viwanda kweli,kuna wachina huko balaa,nenda visiga madafu pale mkono wa kushoto kutokea dar ingia huko ndan,kuna had kiwanda cha cement.chuma,tiles,etc.ni viwanda vikubwa,mi nilikua na supply material huko
Mkuu hapo Visiga panafaa kwa makazi kwa mtu mwenye shughuli zake Dar?
 
Hivyo siyo viwanda ni viwonder,kungekuwa na viwanda hata viwili vingeajiri watu wote wasiyo na kazi.Acheni ubashiri na kujilisha upepo.
 
Hiki ni kiwanda cha nini!??
koro.JPG

_FKB7301.JPG

Una swali lingine?

IMG_0112.JPG

Kingine hiki
 
Unafahamu definition ya kiwanda?
Mkuu tukienda definition za kimakaratasi utagundua hata muuza vitumbua anahesabika ana kiwanda!!! Zipo theory za wachumi wengi kuprove small scale traders kupewa hadhi ya kiwanda!!!!

Ila hoja hapa ni kwamba serikali iliaminisha watanzania kuwa watajenga HEAVY INDUSTRIES watu wakapata picha za viwanda kma vilivyopo kule industrial area au kma cha cocacola kwanza n.k na walidai vitatoa ajira nyingi kwa mkupuo hivyo hizo definition za viwanda zilizotolewa ndio zilitumaliza wengu tukaamini Tanzania mpya inakuja ssa mnapokuja na ooh mnajua maana ya viwanda?? Yaani mnataka tuanze kuamini kiwanda cha kuranda mbao chenye watu watatu ndicho mlichoahidi kwenye kampeni???? Hivi kweli bajeti ya bilion 10 ndio mnasema itatupeleka kwenye Tanzania ya viwanda???

Mbona hayo ya mbao na kukamua alizeti hamkusema wakati wa kampeni nyie mkatuaminisha viwanda vitamaliza tatizo la ajira ssa nikuulize mkuu hivi viwanda 371 vimesaidia kiasi gani kupunguza tatizo la ajira pwani???

Tuanzie hapo
 
Viwanda vya nini!??

Ifike mahala watu wansoma taarifa za maendeleo ya Mkoa wawe makini..

Hivi neno 'kiwanda' watu wanajua maana yake!??

Taarifa hii mimi siiamini kabisa. Labda kama wamewajumlisha na washona cherehani.

Tuwe wakweli.
View attachment 528783
Ukiwa na vyerehani vinne hicho tayari ni kiwanda kidogo - Mwijage
 
Tutawaletea na picha maana hampendi kuona mazuri
Hapana mkuu kuna mambo namkubali sana Rais akifanya mfano la ESCROW nmemkubali sana ila pia sipendi upotoshaji kwa data hizi yaani wanasema tu viwanda 370 huku hawaelezi impact ya viwanda ivo ili tujue vimeajiri watu wangapi?? sio propaganda kuaminisha watu kuwa viwanda tayari vimejengwa!!! Kaz kwelikweli
 
Mkuu tukienda definition za kimakaratasi utagundua hata muuza vitumbua anahesabika ana kiwanda!!! Zipo theory za wachumi wengi kuprove small scale traders kupewa hadhi ya kiwanda!!!!

Ila hoja hapa ni kwamba serikali iliaminisha watanzania kuwa watajenga HEAVY INDUSTRIES watu wakapata picha za viwanda kma vilivyopo kule industrial area au kma cha cocacola kwanza n.k na walidai vitatoa ajira nyingi kwa mkupuo hivyo hizo definition za viwanda zilizotolewa ndio zilitumaliza wengu tukaamini Tanzania mpya inakuja ssa mnapokuja na ooh mnajua maana ya viwanda?? Yaani mnataka tuanze kuamini kiwanda cha kuranda mbao chenye watu watatu ndicho mlichoahidi kwenye kampeni???? Hivi kweli bajeti ya bilion 10 ndio mnasema itatupeleka kwenye Tanzania ya viwanda???

Mbona hayo ya mbao na kukamua alizeti hamkusema wakati wa kampeni nyie mkatuaminisha viwanda vitamaliza tatizo la ajira ssa nikuulize mkuu hivi viwanda 371 vimesaidia kiasi gani kupunguza tatizo la ajira pwani???

Tuanzie hapo
Nimekuuliza definition ya kiwanda naona unababaika tu.

Leo hii Mh Rais anzindua ujenzi wa kiwanda kitakachoajiri watu 800+
hicho nacho sio kiwanda?
 
Nimekuuliza definition ya kiwanda naona unababaika tu.

Leo hii Mh Rais anzindua ujenzi wa kiwanda kitakachoajiri watu 800+
hicho nacho sio kiwanda?
Ni shughuli yoyote ya kiuchumi inayolenga kubadilisha mali ghafi kuwa bidhaa kamili hyo ndio definition ya kiwanda kwa uchumi wa form 1 sasa mkuu tuliambiwa litamaliza tatizo la ajira na kma unavyojua kila mwaka watu laki 6 wanaingia kwenye soko la ajira je kiwanda cha kuajiri watu mia 6 na bajeti ya bilion 10 itamaliza hilo suala???

Kiwanda kimoja kimoja sisi tuliaminishwa vitajengwa nchi nzima kwa spidi kma mliyotumia kununua bombardier na kujenhmga airport chato ssa umeme shida maji shida elimu shida na bajeti ndogo ambayo pia haitekelezeki afu mnahadaa kwa kuzindua kiwanda kimoja kimoja kwenye live TV??? sasa hao laki 6 wa mwaka huu wote wataajiriwa kwenye hichi kiwanda kinachozinduliwa leo

Next tym muache uongo mnatukera sana kma ambavyo mlituhadaa maisha bora kwa kila mtanzania
 
Nchi imeoza kabisa hii. Yaani tuna viwanda kuliko ujerumani..hii nchi akili zetu ziko hivi
IMG_20170622_123535.jpg
 
Mmeshaambiwa kuwa ukiwa na vyerehani vyako vitatu inahesabika ni kiwanda kidogo
Definition of industry
plural
industries
  1. 1 : diligence in an employment or pursuit; especially : steady or habitual effort
  2. 2a : systematic labor especially for some useful purpose or the creation of something of value b : a department or branch of a craft, art, business, or manufacture; especially : one that employs a large personnel and capital especially in manufacturing c : a distinct group of productive or profit-making enterprises the banking industry d : manufacturing activity as a whole the nation's industry

  3. 3 : work devoted to the study of a particular subject or author the Shakespeare industry
 
Back
Top Bottom