Pwani kuna viwanda 371... How!??

Pwani kuna viwanda 371... How!??

hayo mambo ya siasa ni mabaya sana, eti viwanda 300+, viwanda 300+ maana yake huo mkoa unatakiwa uwe tajiri kupita kiasi na watu wake wawe na kipato cha 1mil+ kwa mwezi, sasa nenda pale TRA ukaone serikali inakusanya mapato kiasi gani kwa hivyo viwanda 300+, au nenda kafanye uchunguzi wa impact za kiuchumi kwenye hivyo viwanda 300++
Wewe upo huko tarime sijui kahama unaanza kubeza......njoo uzunguke mkoa wa pwani ujionee.....mkuranga tu pekee ina lundo la viwanda
 
Kama utasafiri kati ya Dar na Ikwiriri, utapata jibu.

Lakini ni vurugu tu hakuna proper industrial area. Wanaonunua kwa wenyeji popote na kujenga.

We need to be more organised!
 
mkuu kule kweli kuna viwanda vingi hata kwa kupita barabarani hali halisi inaonyesha.
na inaonekana ni kwa sababu pwani imeizunguka dar es salaam, hivyo kutoa maeneo makubwa ya kutosha kuwekeza kuliko hapo jijini
Unahesabu viwanda ukiwa ndani ya basi,,,,, kama ndivyo hivyo basi idadi inaweza kuwa kubwa zaidi ya iliyotajwa.
 
Viwanda vya nini!??

Ifike mahala watu wansoma taarifa za maendeleo ya Mkoa wawe makini..

Hivi neno 'kiwanda' watu wanajua maana yake!??

Taarifa hii mimi siiamini kabisa. Labda kama wamewajumlisha na washona cherehani.

Tuwe wakweli.
Uko sawa kabisa, nchi hii ya maoka, Hakuna msomi wa maana Tanzania, kama wapo wanatetea matumbo yao, ukweli wanaujua. Naomba unieleze kiwanda kwa kiingereza kinaitwaje. Nitakusaidia kuungana na wewe kuwa wanachomaanisha.
 
Viwanda vya nini!??

Ifike mahala watu wansoma taarifa za maendeleo ya Mkoa wawe makini..

Hivi neno 'kiwanda' watu wanajua maana yake!??

Taarifa hii mimi siiamini kabisa. Labda kama wamewajumlisha na washona cherehani.

Tuwe wakweli.
MI SIONI UGUMU NA HUJAELEWA WAPI MKUU,hata ukiwa na cherehani 4 tayari una kiwanda,ukiwa na uwezo wa kushona viatu au sandoz zaidi ya 4 kwa siku kiwanda,ukiwa na uwezo wa ku assembly simu kiwanda,ukiwa na uwezo wa kuwa na akina mama nitile 4 wanaotengeneza chakula na kinaliwa kiwanda sasa tatizo liko wapi,kuna watu wana vichwa vigumu sana kuelewa jamani cjui ni sbb ya haya makinikia
 
Unahesabu viwanda ukiwa ndani ya basi,,,,, kama ndivyo hivyo basi idadi inaweza kuwa kubwa zaidi ya iliyotajwa.
wewe useme vingapi. Wizara ndio inakueleza ambayo ndio inajua.
unapinga bila kuwa na mbadala ya unachokipinga...
 
Hujadownload attachment?Hebu muwe mnatulia mnapojadili mada.
95% vidogo,4% kati 1% vikubwa!

Kwenye vidogo hapo ndio kituko,ukisoma mpaka unacheka tu!
Acheni usanii tunataka kuona viwanda!

Eti kuna kiwanda cha kuunda Sun LG,halafu eti ni kiwanda kidogo!Naomba mnieleweshe hapo sijaelewa
 
Viwanda vya nini!??

Ifike mahala watu wansoma taarifa za maendeleo ya Mkoa wawe makini..

Hivi neno 'kiwanda' watu wanajua maana yake!??

Taarifa hii mimi siiamini kabisa. Labda kama wamewajumlisha na washona cherehani.

Tuwe wakweli.
Viwanda vyote hivyo lakini ukienda sokoni kununua bidhaa hukuti "made in tanzania"

Miuongo mingine inakera sana!!
Kwani sisi tulimtuma viwanda?
 
hawajui maana ya viwanda.. frem za duka nahic wamehesabu pia

Umeshatembelea wapi na wapi mkoa wa Pwani?

Nnadiriki kusema, kwa viwanda vikubwa na vidogo, kuviweka pwani ni super choice kwa sasa kwani vigezo vya kuanzisha kiwanda vinakidhi.

Karibu na bandari, maji mengi, hakuna msongamano, train na barabara zipo.

Usishangae kuwa hivi karibuni pwani ikawa ya kwanza kwa viwanda Tanzania.
 
Hakuna kiwanda chochote mangi, serikali hii mpaka sasa haitafanikiwa kwa kuweka kiwanda chochote labda angekuwa mamvi, bodaboda na mama ntilie wangekuwa na benki zao kwa sasa. popooooz
Wazee wa Takwimu zisizo na uhalisia!Hebu tuambiwe na kodi serikali inayokusanya kutoka kwenye hivyo viwanda
 
Wanawajumuisha washona vyerahani, wafyatua matofali, wapika gongo, na mafundi seremala.
Mkuuu,tuna washona nguo na si washona cherehani.hata huku mitani kwetu ni makosa kuwaita mafundi cherehani usahihi ni fundi nguo.shukrani
 
Back
Top Bottom