Hii kazi haina malipo achana nayo Lucas.Sijateuliwa bado. Na kama ningekuwa nimeteuliwa ungepewa taarifa na mdogo wako ephen_ ili mshone kabisa sare kwa ajili ya kunisindikiza katika kura kiapo. Kwa hakika mpaka muda huu ephen na wewe mngekuwa mnabubujikwa na machozi ya furaha tu.
🤣Ndugu zangu Watanzania,
Nimeona andiko la Mwana jukwaa Mwenzetu afahamikae kama Johnthebaptist akitoa pongezi na kusema kuwa nimepata Uteuzi.
Ningependa kusema ya kuwa habari hiyo ni ya uongo na uzushi tu na haina ukweli wa aina yoyote ile.View attachment 3381166
Kazi iendelee, Mama Ametufikia na kuwafikia watanzania kwa utumishi wake uliotukuka wa kugusa Maisha ya watanzania wanyonge wasio na Sauti.
Lucas Hebel Mwashambwa, Mama ANATOSHA kuendelea kuliongoza Taifa letu kwa muhula wa pili.
Fake ID is not a Pen Name. Mwashambwa is a pen name and in journalism Pen Names are allowed.mwashambwa is not fake ID
We chomwa na jua huko mashambani wakati unaowaandikia magazeti marefu ya kusifu wanafisadi nchi huku wakiwa ndani ya viyoyozi...umesahau huyo mamako aliwaambia mawaziri wake wanakula sana hadi wanavimbiwa?!.Nipo shambani ambako hata ukibubujikwa na machozi yanakauka yenyewe tu kwa sababu jua ni kali sana.
Kungekuwa na nafasi za MACHOKO ungeteuliwaNdugu zangu Watanzania,
Nimeona andiko la Mwana jukwaa Mwenzetu afahamikae kama Johnthebaptist akitoa pongezi na kusema kuwa nimepata Uteuzi.
Ningependa kusema ya kuwa habari hiyo ni ya uongo na uzushi tu na haina ukweli wa aina yoyote ile.View attachment 3381166
Kazi iendelee, Mama Ametufikia na kuwafikia watanzania kwa utumishi wake uliotukuka wa kugusa Maisha ya watanzania wanyonge wasio na Sauti.
Lucas Hebel Mwashambwa, Mama ANATOSHA kuendelea kuliongoza Taifa letu kwa muhula wa pili.
😹😹😹 Ila sis basi msameheni kaka Luca ni maisha yanamchanganya..!!Honestly wewe huwezi kuteuliwa coz unajikomba to the extent ya kuandika kama huna kichwa na hiyo inakuharibia kwa sbb
1)Wakuteue wakupachike wapi na wewe unajipotray kama li jinga?
2)Unatumia nguvu kubwa kupata attention yao na hiyo inaweza kuwaogopesha kuwa wewe ni adui anayetafuta namna ya kumkaribia mama yetu
Anywayz,endelea kupiga domo who knowz🙏
Hivi kweli kabisa Lucas uliamini kwamba watu watamwamini Jo? 😂😂😂Ndugu zangu Watanzania,
Nimeona andiko la Mwana jukwaa Mwenzetu afahamikae kama Johnthebaptist akitoa pongezi na kusema kuwa nimepata Uteuzi.
Ningependa kusema ya kuwa habari hiyo ni ya uongo na uzushi tu na haina ukweli wa aina yoyote ile.View attachment 3381166
Kazi iendelee, Mama Ametufikia na kuwafikia watanzania kwa utumishi wake uliotukuka wa kugusa Maisha ya watanzania wanyonge wasio na Sauti.
Lucas Hebel Mwashambwa, Mama ANATOSHA kuendelea kuliongoza Taifa letu kwa muhula wa pili.
Mitano tenaNipo shambani ambako hata ukibubujikwa na machozi yanakauka yenyewe tu kwa sababu jua ni kali sana.
Ni Rais gani huyo Mwendawazimu akuteue Failure na Nut kama Wewe Tanzania hii? Acha kujipa UMUHIMU ambao hauna.Ndugu zangu Watanzania,
Nimeona andiko la Mwana jukwaa Mwenzetu afahamikae kama Johnthebaptist akitoa pongezi na kusema kuwa nimepata Uteuzi.
Ningependa kusema ya kuwa habari hiyo ni ya uongo na uzushi tu na haina ukweli wa aina yoyote ile.View attachment 3381166
Kazi iendelee, Mama Ametufikia na kuwafikia watanzania kwa utumishi wake uliotukuka wa kugusa Maisha ya watanzania wanyonge wasio na Sauti.
Lucas Hebel Mwashambwa, Mama ANATOSHA kuendelea kuliongoza Taifa letu kwa muhula wa pili.
Tukuulize kazi ya uchawa unaendelea nayoNdugu zangu Watanzania,
Nimeona andiko la Mwana jukwaa Mwenzetu afahamikae kama Johnthebaptist akitoa pongezi na kusema kuwa nimepata Uteuzi.
Ningependa kusema ya kuwa habari hiyo ni ya uongo na uzushi tu na haina ukweli wa aina yoyote ile.View attachment 3381166
Kazi iendelee, Mama Ametufikia na kuwafikia watanzania kwa utumishi wake uliotukuka wa kugusa Maisha ya watanzania wanyonge wasio na Sauti.
Lucas Hebel Mwashambwa, Mama ANATOSHA kuendelea kuliongoza Taifa letu kwa muhula wa pili.
Na ya 'Kudinywa' pia.Tukuulize kazi ya uchawa unaendelea nayo
Mama itabidi akukumbukeNdugu zangu Watanzania,
Nimeona andiko la Mwana jukwaa Mwenzetu afahamikae kama Johnthebaptist akitoa pongezi na kusema kuwa nimepata Uteuzi.
Ningependa kusema ya kuwa habari hiyo ni ya uongo na uzushi tu na haina ukweli wa aina yoyote ile.View attachment 3381166
Kazi iendelee, Mama Ametufikia na kuwafikia watanzania kwa utumishi wake uliotukuka wa kugusa Maisha ya watanzania wanyonge wasio na Sauti.
Lucas Hebel Mwashambwa, Mama ANATOSHA kuendelea kuliongoza Taifa letu kwa muhula wa pili.
Kumbe anadinywa 🤣🤣🤣bas kazi anayoNa ya 'Kudinywa' pia.
Hawana akili hao ,nyota mbaya,damu ya kungunijamii forum kuna wewe alafu Twitter (x) kuna sufian matravota. hamteuliki kwasababu ni wendahazimu
Amkumbuke kwa lipi uchawa auMama itabidi akukumbuke
Bado hajachanganyikiwa😹😹😹 Ila sis basi msameheni kaka Luca ni maisha yanamchanganya..!!