Puuzeni Uzushi. Mimi Sijateuliwa Popote Pale

Ndugu zangu Watanzania,

Nimeona andiko la Mwana jukwaa Mwenzetu afahamikae kama Johnthebaptist akitoa pongezi na kusema kuwa nimepata Uteuzi.

Ningependa kusema ya kuwa habari hiyo ni ya uongo na uzushi tu na haina ukweli wa aina yoyote ile.View attachment 3381166

Kazi iendelee, Mama Ametufikia na kuwafikia watanzania kwa utumishi wake uliotukuka wa kugusa Maisha ya watanzania wanyonge wasio na Sauti.

Lucas Hebel Mwashambwa, Mama ANATOSHA kuendelea kuliongoza Taifa letu kwa muhula wa pili.
Acha ujinga wewe 🤣🤣🤣 yaan unajipa mileage kua upo kweny category za teuzi, wewe utabaki kupiga zumari mitandaon tu na kulamba nyayo za viongoz wako, over!!!
 
S
Ndugu zangu Watanzania,

Nimeona andiko la Mwana jukwaa Mwenzetu afahamikae kama Johnthebaptist akitoa pongezi na kusema kuwa nimepata Uteuzi.

Ningependa kusema ya kuwa habari hiyo ni ya uongo na uzushi tu na haina ukweli wa aina yoyote ile.View attachment 3381166

Kazi iendelee, Mama Ametufikia na kuwafikia watanzania kwa utumishi wake uliotukuka wa kugusa Maisha ya watanzania wanyonge wasio na Sauti.

Lucas Hebel Mwashambwa, Mama ANATOSHA kuendelea kuliongoza Taifa letu kwa muhula wa pili.
Sawa ndoto NJEMA hiyo,nilitaka kububujikwa na machozi ya furaha na ningehamia huko kwenye eneo la uteuzi wako ili tupiganie no reforms no election pamoja!
 
Ndugu zangu Watanzania,

Nimeona andiko la Mwana jukwaa Mwenzetu afahamikae kama Johnthebaptist akitoa pongezi na kusema kuwa nimepata Uteuzi.

Ningependa kusema ya kuwa habari hiyo ni ya uongo na uzushi tu na haina ukweli wa aina yoyote ile.View attachment 3381166

Kazi iendelee, Mama Ametufikia na kuwafikia watanzania kwa utumishi wake uliotukuka wa kugusa Maisha ya watanzania wanyonge wasio na Sauti.

Lucas Hebel Mwashambwa, Mama ANATOSHA kuendelea kuliongoza Taifa letu kwa muhula wa pili.
Uzushi kivipi kwani kuteuliwa ni kubaya?
 
Back
Top Bottom