johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 104,319
- 183,600
Moyoni mwake ukweli anaujuajohnthebaptist umesema/umeandika uongo, unaitwa huku.
Moyoni mwake ukweli anaujuajohnthebaptist umesema/umeandika uongo, unaitwa huku.
lkn kwenye list hayumo huko kwingine hakutuhusuMoyoni mwake ukweli anaujua
Unadhani wanateua kwa fake Id?lkn kwenye list hayumo huko kwingine hakutuhusu
Watu wanakusanifu tu, uteuliwe na nani sasa? we endelea kurusha mate na kububujikwa na machoziNdugu zangu Watanzania,
Nimeona andiko la Mwana jukwaa Mwenzetu afahamikae kama Johnthebaptist akitoa pongezi na kusema kuwa nimepata Uteuzi.
Ningependa kusema ya kuwa habari hiyo ni ya uongo na uzushi tu na haina ukweli wa aina yoyote ile.View attachment 3381166
Kazi iendelee, Mama Ametufikia na kuwafikia watanzania kwa utumishi wake uliotukuka wa kugusa Maisha ya watanzania wanyonge wasio na Sauti.
Lucas Hebel Mwashambwa, Mama ANATOSHA kuendelea kuliongoza Taifa letu kwa muhula wa pili.
Sijateuliwa bado. Na kama ningekuwa nimeteuliwa ungepewa taarifa na mdogo wako ephen_ ili mshone kabisa sare kwa ajili ya kunisindikiza katika kura kiapo. Kwa hakika mpaka muda huu ephen na wewe mngekuwa mnabubujikwa na machozi ya furaha tu.Sisi tunaamini umeteuliwa, labda jamiichek waje waseme tofauti.
Hongera sana
Acha uzushi wako hapaMoyoni mwake ukweli anaujua
Baiskeli ipo wapi.Hongera kwa kupewa Baiskeli.
Huyu shetani naye anataka uteuziTulijua tu ni utani hivi kuna mtu anaweza kuteua punguani kama wewe,halafu acha kunajisi maandiko,mtu anayeshabikia mauaji na utekaji anapo quote maandiko anayanajisi,kwa dhambi hiyo utagalagazwa kwenye ziwa la moto mpaka unye mavi yenye rangi ya chama chenu cha kichawi
Sidhani,nadhani ni njaa tu inamsumbua,uchawa unamhakikishia mlo wa siku,huwa analipwa 7800 kila mwisho wa mweziHuyu shetani naye anataka uteuzi
Uchawa umemlipa sahivi ni VEO na ana pikipikiSidhani,nadhani ni njaa tu inamsumbua,uchawa unamhakikishia mlo wa siku,huwa analipwa 7800 kila mwisho wa mwezi
mwashambwa is not fake IDUnadhani wanateua kwa fake Id?
Acha ubwege bwashee 😂😂
Utasubiri sana 😂😂mwashambwa is not fake ID
Sasa itakuaje Luka, nimebubujikwa na machozi ya furaha kwa wewe kuteuliwa, alafu unakanisha? Machozi yangu yameenda bure kweli Lucas! Naomba fidia siyo kwa mbubujiko ule. Jua kali sana kupoteza chozi tafadhali fidia Luka.Sijateuliwa bado. Na kama ningekuwa nimeteuliwa ungepewa taarifa na mdogo wako ephen_ ili mshone kabisa sare kwa ajili ya kunisindikiza katika kura kiapo. Kwa hakika mpaka muda huu ephen na wewe mngekuwa mnabubujikwa na machozi ya furaha tu.
sasa kwa yale majina ..bwana lucas umeona ungeweza toboa kweli...wewe level zako ni tisheti kofia na buku 5....Ndugu zangu Watanzania,
Nimeona andiko la Mwana jukwaa Mwenzetu afahamikae kama Johnthebaptist akitoa pongezi na kusema kuwa nimepata Uteuzi.
Ningependa kusema ya kuwa habari hiyo ni ya uongo na uzushi tu na haina ukweli wa aina yoyote ile.View attachment 3381166
Kazi iendelee, Mama Ametufikia na kuwafikia watanzania kwa utumishi wake uliotukuka wa kugusa Maisha ya watanzania wanyonge wasio na Sauti.
Lucas Hebel Mwashambwa, Mama ANATOSHA kuendelea kuliongoza Taifa letu kwa muhula wa pili.
Acha uzushi wako hapa weweSidhani,nadhani ni njaa tu inamsumbua,uchawa unamhakikishia mlo wa siku,huwa analipwa 7800 kila mwisho wa mwezi
SawaDah ila wewe jamaa wahi mirembe .Iddi Amini Mama pamoja na ukiazi wake hawezi kuteua mwehu kama wewe