Puuzeni Uzushi. Mimi Sijateuliwa Popote Pale

Puuzeni Uzushi. Mimi Sijateuliwa Popote Pale

Badili strategy yako ya uchawa mkuu, JF huku wapo chawa wenzio hawapo watu wa connection. Endelea na uchawa ipo siku utatoboa mkuu.

Nakuunga mkono kwenye uchawa wako huu, wakupe hata UDAS utulize fuvu.
Mimi siyo chawa
 
Ndugu zangu Watanzania,

Nimeona andiko la Mwana jukwaa Mwenzetu afahamikae kama Johnthebaptist akitoa pongezi na kusema kuwa nimepata Uteuzi.

Ningependa kusema ya kuwa habari hiyo ni ya uongo na uzushi tu na haina ukweli wa aina yoyote ile.View attachment 3381166

Kazi iendelee, Mama Ametufikia na kuwafikia watanzania kwa utumishi wake uliotukuka wa kugusa Maisha ya watanzania wanyonge wasio na Sauti.

Lucas Hebel Mwashambwa, Mama ANATOSHA kuendelea kuliongoza Taifa letu kwa muhula wa pili.
Una akili finyu, umeshindwa kujua kwamba watu wanakupiga kijembe, sio kila jambo ni la kutolea ufafanuzi jaoa, unajichoresha
 
We chomwa na jua huko mashambani wakati unaowaandikia magazeti marefu ya kusifu wanafisadi nchi huku wakiwa ndani ya viyoyozi...umesahau huyo mamako aliwaambia mawaziri wake wanakula sana hadi wanavimbiwa?!.
Rais wetu Mpendwa ni mzalendo sana.
 
Lucas inabidi aanze kulipia server anapoandika hizo nyuzi zake
 
Ndugu zangu Watanzania,

Nimeona andiko la Mwana jukwaa Mwenzetu afahamikae kama Johnthebaptist akitoa pongezi na kusema kuwa nimepata Uteuzi.

Ningependa kusema ya kuwa habari hiyo ni ya uongo na uzushi tu na haina ukweli wa aina yoyote ile.View attachment 3381166

Kazi iendelee, Mama Ametufikia na kuwafikia watanzania kwa utumishi wake uliotukuka wa kugusa Maisha ya watanzania wanyonge wasio na Sauti.

Lucas Hebel Mwashambwa, Mama ANATOSHA kuendelea kuliongoza Taifa letu kwa muhula wa pili.
Nani akuteue Mwashambwa
Njoo tusongeshe gurudumu la kilimo Mbozi😃
 
Back
Top Bottom