Puuzeni Uzushi. Mimi Sijateuliwa Popote Pale

Ndugu zangu Watanzania,

Nimeona andiko la Mwana jukwaa Mwenzetu afahamikae kama Johnthebaptist akitoa pongezi na kusema kuwa nimepata Uteuzi.

Ningependa kusema ya kuwa habari hiyo ni ya uongo na uzushi tu na haina ukweli wa aina yoyote ile.View attachment 3381166

Kazi iendelee, Mama Ametufikia na kuwafikia watanzania kwa utumishi wake uliotukuka wa kugusa Maisha ya watanzania wanyonge wasio na Sauti.

Lucas Hebel Mwashambwa, Mama ANATOSHA kuendelea kuliongoza Taifa letu kwa muhula wa pili.
Sisi tunakuteua kuanzia leo wewe ndio raisi wa members wote wa jamiiforums mwenye pingamizi aweke.
 
Ndugu zangu Watanzania,

Nimeona andiko la Mwana jukwaa Mwenzetu afahamikae kama Johnthebaptist akitoa pongezi na kusema kuwa nimepata Uteuzi.

Ningependa kusema ya kuwa habari hiyo ni ya uongo na uzushi tu na haina ukweli wa aina yoyote ile.View attachment 3381166

Kazi iendelee, Mama Ametufikia na kuwafikia watanzania kwa utumishi wake uliotukuka wa kugusa Maisha ya watanzania wanyonge wasio na Sauti.

Lucas Hebel Mwashambwa, Mama ANATOSHA kuendelea kuliongoza Taifa letu kwa muhula wa pili.
Huna bahati mwana wane
 
Back
Top Bottom