Puuzeni Uzushi. Mimi Sijateuliwa Popote Pale

Lucas Mwashambwa

JF-Expert Member
Joined
Jul 28, 2022
Posts
36,358
Reaction score
23,760
Ndugu zangu Watanzania,

Nimeona andiko la Mwana jukwaa Mwenzetu afahamikae kama Johnthebaptist akitoa pongezi na kusema kuwa nimepata Uteuzi.

Ningependa kusema ya kuwa habari hiyo ni ya uongo na uzushi tu na haina ukweli wa aina yoyote ile.
Screenshot_20240702-020232_1.jpg

Kazi iendelee, Mama Ametufikia na kuwafikia watanzania kwa utumishi wake uliotukuka wa kugusa Maisha ya watanzania wanyonge wasio na Sauti.

Lucas Hebel Mwashambwa, Mama ANATOSHA kuendelea kuliongoza Taifa letu kwa muhula wa pili.
 
Ndugu zangu Watanzania,

Nimeona andiko la Mwana jukwaa Mwenzetu afahamikae kama John akitoa pongezi na kusema kuwa nimepata Uteuzi.

Ningependa kusema ya kuwa habari hiyo ni ya uongo na uzushi tu na haina ukweli wa aina yoyote ile.View attachment 3381166

Machozi hayajabubujika tena?
 
HAUTEULIKI
 
Ndugu zangu Watanzania,

Nimeona andiko la Mwana jukwaa Mwenzetu afahamikae kama Johnthebaptist akitoa pongezi na kusema kuwa nimepata Uteuzi.

Ningependa kusema ya kuwa habari hiyo ni ya uongo na uzushi tu na haina ukweli wa aina yoyote ile.View attachment 3381166

Kazi iendelee, Mama Ametufikia na kuwafikia watanzania kwa utumishi wake uliotukuka wa kugusa Maisha ya watanzania wanyonge wasio na Sauti.

Lucas Hebel Mwashambwa, Mama ANATOSHA kuendelea kuliongoza Taifa letu kwa muhula wa pili.
Hongera kwa kuteuliwa uchawa unalipa aisee
 
Honestly wewe huwezi kuteuliwa coz unajikomba to the extent ya kuandika kama huna kichwa na hiyo inakuharibia kwa sbb

1)Wakuteue wakupachike wapi na wewe unajipotray kama li jinga?

2)Unatumia nguvu kubwa kupata attention yao na hiyo inaweza kuwaogopesha kuwa wewe ni adui anayetafuta namna ya kumkaribia mama yetu

Anywayz,endelea kupiga domo who knowz🙏
 
Ndugu zangu Watanzania,

Nimeona andiko la Mwana jukwaa Mwenzetu afahamikae kama Johnthebaptist akitoa pongezi na kusema kuwa nimepata Uteuzi.

Ningependa kusema ya kuwa habari hiyo ni ya uongo na uzushi tu na haina ukweli wa aina yoyote ile.View attachment 3381166

Kazi iendelee, Mama Ametufikia na kuwafikia watanzania kwa utumishi wake uliotukuka wa kugusa Maisha ya watanzania wanyonge wasio na Sauti.

Lucas Hebel Mwashambwa, Mama ANATOSHA kuendelea kuliongoza Taifa letu kwa muhula wa pili.
IMG-20250624-WA0042.jpg

Don't give up
 
Tulijua tu ni utani hivi kuna mtu anaweza kuteua punguani kama wewe,halafu acha kunajisi maandiko,mtu anayeshabikia mauaji na utekaji anapo quote maandiko anayanajisi,kwa dhambi hiyo utagalagazwa kwenye ziwa la moto mpaka unye mavi yenye rangi ya chama chenu cha kichawi
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom