MALCOM LUMUMBA
JF-Expert Member
- Jul 26, 2012
- 21,765
- 71,801
- Thread starter
-
- #141
Lakini putin anakosa heshima, anashindwa kuheshimu mipaka ya nchi iweje utume watu kwenda kuua nchi nyingne Tena kwa dharau baada ya kunyamaza anaendelea kujibizana
Mbona maspy wa west waliokimblia urusi hawafatiliwi
Sijapenda hii kitu ya huyu mzee putin
We ni nani na hata usipende? Whether you like or not, utaifa ndio kitu cha msingi kwa hawa jamaa!! Huwezi ukacheka na spy mwenye siri za nchi halafu yuko upande wa mahasimu.Nilikuwa sijafatilia hili mkuu and I will go through
Lakini putin anakosa heshima, anashindwa kuheshimu mipaka ya nchi iweje utume watu kwenda kuua nchi nyingne Tena kwa dharau baada ya kunyamaza anaendelea kujibizana
Mbona maspy wa west waliokimblia urusi hawafatiliwi
Sijapenda hii kitu ya huyu mzee putin
Mkuu huwezi kurudia kosa kwa kusingizia mbna nyie mlifanyaC.I.A walikuwa wanakuja kuteka watu wa Wazanzibar hapa Tanzania,
Ilifika kipindi walijazana pale Iringa wakiwa wanawafuatilia Masheikh na kudai wanahusika na Ugaidi.
Mbali na hapo walikuwa wanateka raia wa nchi mbali mbali halafu wanawapeleka kwenye magereza yao ili kuwatesa.
MOSSAD ndiyo usiseme wanaingia Iran na kuua maprofesa wa Nyuklia mbona haya huyaoni mkuu ???
Mkuu huwezi kurudia kosa kwa kusingizia mbna nyie mlifanya
Tujikite kwenye maantiki
Alichokifanya putin kwenda kuua ndani ya nchi isiyo yake Ni sahihi?
Halafu kitu Kibaya zaidi anamfanyia uhuni uingereza
Uingereza huyu mwenye ushawishi wa robo Tatu ya Dunia
Fikiria uingereza akiamua kumuwekea Urus vikwazo kupitia nchi washirika?
Urusi duniani kote anaushawish kwa nchi zisizozidi tano
Je uingereza akitumia uzoefu wake kumuwekea mrusi vikwazo itakuwa Sawa?
Kuwa na adabu mwanamtoka pabaya lissu kahusianaje haposiyo kuishi milele aisee alichofanya huyo duble agent ni kibaya sana namfananisha na lissu kwenye issue ya Acacia
Boris amesema, putin ndiye aliyewatuma maspy kuja kumaliza kaziInternational Politics knows very little of morality.
Wewe kama unafanya kwanini hutaki mwenzako asifanye ??
Hivi unadhani Wamarekani na Waingereza wakipata nafasi ya kumdhuru Snowden watamuacha ??
NB: Ila yote tisa haya madai hayana ushahidi wowote ule.
Namkubali sana jamaa Waingereza wanaweweseka tu now
Boris amesema, putin ndiye aliyewatuma maspy kuja kumaliza kazi
Wenzetu hawana siasa kutajana bila sababu
Mkuu angalau nchi za magharibi zinaheshimu mtu kupewa ukimbizi
Ndio maana Kuna mmoja ameomba ukimbizi ndani ya ubaloz wa Venezuela uliopo uingereza km sikosei na USA hawashughuliki nae wanaafuata proper ways kumpata na sio kumuua
OooohMWISHO wa maisha ya USPY unapogundulika na counter-intelligence ni MAUTI isiyokuwa ya kawaida ( yaweza kuwa ya kulishwa sumu ,kugongwa na gari maeneo yasiyomithilika kama ONE WAY DODOMA ,ya kunyongwa ama kupigwa risasi) na hilo wanafunzwa mara 10000 hukooo kwenye academy zao.Na ndiyo maana undercover agents wanalipwa GHALI kuliko diplomatic spies the world over!Ukipoteza muda kumwombolezea SPY ambaye ana-graduate kwenye kazi zake shauri yako!
OP lumumbaKama zinaheshimu haki ya Ukimbizi kwanini Julian Assange wa Wiki-Leaks amejificha kwenye Ubalizi wa Ecuador hadi leo ?? Yote haya ni chuki kwasababu anawaambia Ukweli na kuwakosoa. Mbona haya huyaoni mkuu ???
That ain't jusfy to make assassination out of your empireMWISHO wa maisha ya USPY unapogundulika na counter-intelligence ni MAUTI isiyokuwa ya kawaida ( yaweza kuwa ya kulishwa sumu ,kugongwa na gari maeneo yasiyomithilika kama ONE WAY DODOMA ,ya kunyongwa ama kupigwa risasi) na hilo wanafunzwa mara 10000 hukooo kwenye academy zao.Na ndiyo maana undercover agents wanalipwa GHALI kuliko diplomatic spies the world over!Ukipoteza muda kumwombolezea SPY ambaye ana-graduate kwenye kazi zake shauri yako!
Uko sahihi ila under cover anafanya kazi nje ya sheria,na atakufa nje ya sheria pia.That ain't jusfy to make assassination out of your empire
Hakuna sheria inayoruhusu kuua, Tena kuua nje ya mpaka wako
J.K na Magu tuuHujajibu swali.
Ni Raisi gani wa taifa kubwa ambaye haogopi kuuwawa, kutolewa madarakani au kusalitiwa ??
ahahah nangoja mashabiki wa timu ya taifa ya Uingereza watakaoenda Russia wakikutana na warusi mitaani patachimbikana timu yao wangeitoa wolrd cup.....kama inawauma ana mkuu......
Umekwisha kupika?Hujui kama hii ni thread au?
Au unasomaga peke yako labda?
OP lumumba
Twende kwenye jicho la Tatu
Je urusi Ni nchi ikiyostaarabika na kuheshimiana km nchi za ulaya na Marikani?
Kwanini wakimbizi wengi wanaotorekea vita middle east na Arab world wengi wanarefaa kwenda Europe na amerika na sio Russia
Angalia Syria kwa mfano mfadhili mkuu wa Assad Ni serkali ya bwana putin
Lkn hana Habari na wakimbizi
Unafikiri Urus imestaarabika kweli au kwa kuwa ipo ulaya tu
Ustaarabu Ni pamoja na kuheshimiana, kuheshimu maoni ya wengneMkuu,
Mosi, Ustaarabu is a Relative Term.
Wanadamu hatuwezi kulingana, na kama unaamini kwamba mfumo wa maisha wa Warumi na Wagiriki ndiyo Ustaarabu. Basi ni dhahiri kwamba kila ambacho sicho cha Mzungu utakiona ni kitu cha kishenzi, hata kama ni dhahabu.
Pili, Wakimbizi wa Syria kukimbilia Ulaya haimaanishi wao ndiyo wamestaarabika kuliko wengine.
Huu mfano hauna mashiko kabisa kwasababu Wakimbizi hata Tanzania, Congo DRC na Uganda wapo wengi tu,
Wala hili halimaanishi kwamba sisi Watanzania tumestaarabika sana kuliko Wanyarwanda, Warundi au Wakongo.
Tatu, neno mkimbizi kilatini chake ni "fugere" ambalo linamaanisha mtu mkimbiaji.
Ukisoma vizuri UNITED NATIONS REFUGEE CONVENTION 1951 wanasema A refugee is a person who runs away from his home country, and seek asylum in another foreign state due to the fear of persecution which can result out of War, Ethnic Violence, Religious Persecution, Natural Calamities etc. Mpaka hapa utakuja kugundua kitu kimoja cha muhimu kwamba, mkimbizi huwa hana uchaguzi wa wapi aelekee. Yeye hukimbilia popote pale ambapo atapata usalama wake kwa muda tu. Ukiona mkimbizi anachagua kwa kwenda huyi siyo mkimbizi bali ni muhuni tu anaganga njaa.
Mifano hai:
1. Wakimbizi tokea Syria hawakimbilii Ulaya peke yake kama unavyoamini, wengi wako Jordan na Lebanon.
2. Wazungu wengi sana wakati wa vita ya pili ya dunia walikimbilia Africa na India (Hapa una la kusema ?)
3. Watanzania wengi baada ya Mkapa kuwavuga Zanzibar mwaka 2001 walikimbilia Somalia (teh teh teh)
NB: Hapa hoja yako ya Ulaya mkuu wangu inakosa mashiko kabisa.
Kwasababu hata Somalia ishawahi kutunza Wakimbizi wa kipemba japo kule kuna vurugu kuliko hapa kwetu.
Nne, ukweli mchungu ambao unaufumbia mambo ni kwamba,
Watu wengi wanakimbilia Ulaya kutafuta maisha na walu hakuna jingine la maana sana.
Takwimu zinasema siku hizi mambo yanabadilika sana, watu wakishchuma mapesa huko Ulaya huwa wanarudi kwao.
Hapa suala la kustaarabika au kutostaarabika halina mashiko kabisa kwasababu watu wanaangalia Maslahi kwanza.
Hivyo kama Urusi ingekuwa bado ina nguvu kubwa kiuchumi kama zamani basi leo hii wangekuwa wanapata wageni sana kama ilivyokuwa miaka ya 60's, 70's na 80's. Kukuhakikishia hili tembea hata hapo Afrika Kusini uone jinsi ambavyo Watanzania, Waethipia na Wakenya wamezamia kutafuta maisha. Hili halimaanishi kwamba wao ndiyo wastaarabu kuliko Afrika nzima, la hasha. Ila tu wana mapesa mengi na madili kuliko sehemu yoyote ya kusini mwa jangwa la sahara.
NB:Ustaarabu ambao wewe unauongelea kuhusiana na Ulaya siuelewei ni upi,
Hebu dadavua kwanza kisha tuendelee na mjadala.
Kwa hiyo mkuu,Ustaarabu Ni pamoja na kuheshimiana, kuheshimu maoni ya wengne
Nikijikita kwenye demokrasia kwa ufupi sana nchini Russia
Putin hana tofauti na dikteta
Anaua na kuwafunga wapinzani wake kisiasa kwa kifupi Ni mtu asiyeamini katika demokrasia
Kiongozi kama huyu hatuwezi kumuita mtu aliyesttaarabika Ni mtu ambaye yupo kwa maslahi yake na kundi lake
Umekwisha kupika?