911sep11
JF-Expert Member
- Jan 7, 2018
- 2,469
- 4,306
aisee kumbe. sante kwa taarifaUingereza imewafurusha wanadiplomasia wa Urusi nchini mwake na Urusi imesema itawafurusha wanadiplomasia wa Uingereza nchini mwake kama kulipiza kisasi
aisee kumbe. sante kwa taarifaUingereza imewafurusha wanadiplomasia wa Urusi nchini mwake na Urusi imesema itawafurusha wanadiplomasia wa Uingereza nchini mwake kama kulipiza kisasi
Lumumba kuna kitu nakiona tangu nikiwa kijana wa Tanu youth league. Kama si u king'ang'anizi wa chama basi ni wa mtu. eg Cuba, China, Tz , North Korea etc. Mfumo huu wa kina Putin hauruhusu mawazo mbadala . Na ndicho kinachoisumbua Tz ktk kuendesha nchiUnadhania ujamaa ni U-Marxist peke yake??
Teh teh teh teh teh!
![]()
thubutuuu!!McCain:"Nikimtizama Putin machoni ninaona herufi 3 ,K G B
Putin angekuwa TZ ,aah akina chahali ,Da Ma kitambo sana
Umemuuliza swali zuri sana mkuuUrusi ilisambaratika kwasababu gani haswa ???
Hapo mwisho mkuu nimecheka mubasharaputin ana roho mbaya.......huyu jasusi alikamatwa russia akiisaliti urusi kwa kutuma siri uingereza, kuna majasusi wengine walikamatwa marekan wakifanya ujasusi na kutuma info urusi Sergei V. Skripal, so mataifa haya yakakaa na kukubaliana wabadilishane hawa double agents waliowakamata na hilo likafanyika kila mtu akabeba double agents wake akapeleka vienna ambako mabadilishano yalifanyika kila mtu akaondoka na double agent wake.....sasa leo hii russia kumake move against huyu jamaa tena ni ucoward wa hali ya juu,mke wake alikufa mwaka jana kwe mazingira tata, mwanae wa kiume akaja kufa kwe mazingira hayohayo wakabaki yeye na binti yake ambao nao ndo hao wako hoi ICU.......PUTIN ana roho ya kipekee sana jaribu kurecall kilimchopata aliekuwa rafiki yake mkubwa bwn mikhail khordokovorsky billionea wa zamani wa russia alipojaribu kujihusisha na siasa kunyatia urais.......leo hii yupo uhamishoni uswisi amefilisika mpk mwsho hataki kabisa kusikia kuhusu siasa za urusi

Kwahiyo unalinganisha siasa za kimataifa na ufugaji mbwa ???

Wakisharudi hao wanadiplomasia wapimwe wasije? Wakawa wamepewa sumu ya kufa mdogo mdogoUrusi nao wanasema watawafurusha watu wa balozi ya Uingereza
Wakisharudi hao wanadiplomasia wapimwe wasije? Wakawa wamepewa sumu ya kufa mdogo mdogo
ndo hvyo mkuu katulia kbisa kama haexistHapo mwisho mkuu nimecheka mubashara![]()
![]()
Kama sijakosea mwaka 2007 Vladimir alienda marekani kukutana na Bush walipiga picha ya pamoja na walienda pamoja nyumba ya Bush wakapiga story,kula na mengi kama unavyojua Putin hakubaliki marekani waandishi wa habari wakamuuliza Bush unamuamini Vladimir Bush akajibu nimemtizana Vladimir machoni nikaona roho yake.Sasa John McCain kwenye kipindi alikuwa anahojiwa na akaulizwa kuhusu statement ya Bush ndipo akajibu akimtizima Vladimir Putin machoni anaona herufi 3 K G BHii aliitoa wapi mkuu
urusi mbn haijawahi kusambaratika iko vilevileNi Li i Urusi Ilisambaratika ???
Jamaa ataitawala russia mpk mwisho wa maisha yakeMpuuzi tu.Abadili katiba atawale milele
80% ya warusi wanamkubali ile mbaya PutinJamaa ataitawala russia mpk mwisho wa maisha yake
USA wamekuwa na historia ya kutaka kubadili viongozi wa nchi kadhaa mara nyingi mfano kuanzia 1945-1989 marekani walijaribu kubadilisha serikali za nchi 73Lumumba kuna kitu nakiona tangu nikiwa kijana wa Tanu youth league. Kama si u king'ang'anizi wa chama basi ni wa mtu. eg Cuba, China, Tz , North Korea etc. Mfumo huu wa kina Putin hauruhusu mawazo mbadala . Na ndicho kinachoisumbua Tz ktk kuendesha nchi
Nchi hizo zinajali sana haki za binadamuSpy wa Uingereza? Krispal na bintiye Yuria ni raia wa Russia sio wa Uingereza.
Double agent... Acha ale pesheni yakeputin ana roho mbaya.......huyu jasusi alikamatwa russia akiisaliti urusi kwa kutuma siri uingereza, kuna majasusi wengine walikamatwa marekan wakifanya ujasusi na kutuma info urusi Sergei V. Skripal, so mataifa haya yakakaa na kukubaliana wabadilishane hawa double agents waliowakamata na hilo likafanyika kila mtu akabeba double agents wake akapeleka vienna ambako mabadilishano yalifanyika kila mtu akaondoka na double agent wake.....sasa leo hii russia kumake move against huyu jamaa tena ni ucoward wa hali ya juu,mke wake alikufa mwaka jana kwe mazingira tata, mwanae wa kiume akaja kufa kwe mazingira hayohayo wakabaki yeye na binti yake ambao nao ndo hao wako hoi ICU.......PUTIN ana roho ya kipekee sana jaribu kurecall kilimchopata aliekuwa rafiki yake mkubwa bwn mikhail khordokovorsky billionea wa zamani wa russia alipojaribu kujihusisha na siasa kunyatia urais.......leo hii yupo uhamishoni uswisi amefilisika mpk mwsho hataki kabisa kusikia kuhusu siasa za urusi
“brain wash” wanaamini nchi yao chini ya putin itaisumbua usa,ukija upande wa kimaisha kwa kule east europe baada ya moldova ni russia kwa watu wake kuwa maskini zaidi80% ya warusi wanamkubali ile mbaya Putin
Alikuwa in spy wa Uingereza
Yah ni RAIA wa Urusi maana yake ni "double agent"Ila ni raia wa Urusi.