Putin: Siwezi kusamehe usaliti

Putin: Siwezi kusamehe usaliti

Mwingereza anataka kumlipua baada ya kuwapa sumu Spyer wake huko UK
vp MKUU bado hajamripua tu

Siku UK atakayothubutu kujaribu kuufanya huo upunguani atajuta maishani mwake mpaka DUNIA inamalizika


(Najua hawawezi hata kujaribu kujaribu)
 
Ha ha ha ha ha ha ha ha, Rudi kwenye vyanzo Tena! Hao ni mabepari wakubwa!
Nini maana ya Ubepari ???
Nini maana ya Ujamaa ???
Je, kila Ujamaa ni Umaksi (Marxism) ???

NB: Tuanzie hapa, maana nisije nikawa nafanya mjadala na mtu anayeamini kwamba kila aina ya Ujamaa hapa duniani ni Umaksi. Hebu tujadili....
 
Back
Top Bottom