Putin: Siwezi kusamehe usaliti

Putin: Siwezi kusamehe usaliti

putin ana roho mbaya.......huyu jasusi alikamatwa russia akiisaliti urusi kwa kutuma siri uingereza, kuna majasusi wengine walikamatwa marekan wakifanya ujasusi na kutuma info urusi Sergei V. Skripal, so mataifa haya yakakaa na kukubaliana wabadilishane hawa double agents waliowakamata na hilo likafanyika kila mtu akabeba double agents wake akapeleka vienna ambako mabadilishano yalifanyika kila mtu akaondoka na double agent wake.....sasa leo hii russia kumake move against huyu jamaa tena ni ucoward wa hali ya juu,mke wake alikufa mwaka jana kwe mazingira tata, mwanae wa kiume akaja kufa kwe mazingira hayohayo wakabaki yeye na binti yake ambao nao ndo hao wako hoi ICU.......PUTIN ana roho ya kipekee sana jaribu kurecall kilimchopata aliekuwa rafiki yake mkubwa bwn mikhail khordokovorsky billionea wa zamani wa russia alipojaribu kujihusisha na siasa kunyatia urais.......leo hii yupo uhamishoni uswisi amefilisika mpk mwsho hataki kabisa kusikia kuhusu siasa za urusi
Haina haja ya kuoa/kuolewa ama kuwa na mtoto ukishakuwa jasusi hasa hasa ukiwa ni double agent.. mwisho wa siku utaishia kulia tu kwa kuangamiziwa familia
 
Back
Top Bottom