Victor wa happy
JF-Expert Member
- Apr 24, 2013
- 11,660
- 11,659
Shululu huyu yupo vizur uku Sema anapoteaMkuu shululu habari yako ndugu yangu.
Shululu huyu yupo vizur uku Sema anapoteaMkuu shululu habari yako ndugu yangu.
Swadakta mkuuWe ni nani na hata usipende? Whether you like or not, utaifa ndio kitu cha msingi kwa hawa jamaa!! Huwezi ukacheka na spy mwenye siri za nchi halafu yuko upande wa mahasimu.
Safi Putin!!
Uliuliza swali la kipuuzi unapewa jibu la kipuuzi zaidi unavuta mdomo kama unaonja chumvi kwenye mboga?Namna gani vipi?Kwa hiyo baada ya maneno yako ya shombo nini unapata?
We nawe poyoyo kweli! Kwanini usijibu swali kama ulivyoulizwa? Yaan unazunguuka kama kichaa bwana.Kwenye uwindaji ukishamwambia mbwa "shika". Bila shaka sifa si za mbwa
Mbona hujamtaja Dr. Shika?putin ana roho mbaya.......huyu jasusi alikamatwa russia akiisaliti urusi kwa kutuma siri uingereza, kuna majasusi wengine walikamatwa marekan wakifanya ujasusi na kutuma info urusi , so mataifa haya yakakaa na kukubaliana wabadilishane hawa double agents waliowakamata na hilo likafanyika kila mtu akabeba double agents wake akapeleka vienna ambako mabadilishano yalifanyika kila mtu akaondoka na double agent wake.....sasa leo hii russia kumake move against huyu jamaa tena ni ucoward wa hali ya juu,mke wake alikufa mwaka jana kwe mazingira tata, mwanae wa kiume akaja kufa kwe mazingira hayohayo wakabaki yeye na binti yake ambao nao ndo hao wako hoi ICU.......PUTIN ana roho ya kipekee sana jaribu kurecall kilimchopata aliekuwa rafiki yake mkubwa bwn mikhail khordokovorsky billionea wa zamani wa russia alipojaribu kujihusisha na siasa kunyatia urais.......leo hii yupo uhamishoni uswisi amefilisika mpk mwsho hataki kabisa kusikia kuhusu siasa za urusi
ni dikteta lkn anaeleta maendeleo co kupandisha kodi mpk biashara znafungwaYakitokea kwenu inakuwa dictatorship.
huu mchezo anaucheza muingereza mwenyeweputin ana roho mbaya.......huyu jasusi alikamatwa russia akiisaliti urusi kwa kutuma siri uingereza, kuna majasusi wengine walikamatwa marekan wakifanya ujasusi na kutuma info urusi , so mataifa haya yakakaa na kukubaliana wabadilishane hawa double agents waliowakamata na hilo likafanyika kila mtu akabeba double agents wake akapeleka vienna ambako mabadilishano yalifanyika kila mtu akaondoka na double agent wake.....sasa leo hii russia kumake move against huyu jamaa tena ni ucoward wa hali ya juu,mke wake alikufa mwaka jana kwe mazingira tata, mwanae wa kiume akaja kufa kwe mazingira hayohayo wakabaki yeye na binti yake ambao nao ndo hao wako hoi ICU.......PUTIN ana roho ya kipekee sana jaribu kurecall kilimchopata aliekuwa rafiki yake mkubwa bwn mikhail khordokovorsky billionea wa zamani wa russia alipojaribu kujihusisha na siasa kunyatia urais.......leo hii yupo uhamishoni uswisi amefilisika mpk mwsho hataki kabisa kusikia kuhusu siasa za urusi
Uliuliza swali la kipuuzi unapewa jibu la kipuuzi zaidi unavuta mdomo kama unaonja chumvi kwenye mboga?Namna gani vipi?
Mkuu, Urusi gani iliyosambaratika? Au unamaanisha USSR?Kwani huko kwa putin ni usamaria au udikteta ule ule.
Nchi zenye vichwa vya namna hii lazima zisambaratike tu kama urusi ilivyosambaratika.
Kwani maandiko yanasemaje kuhusu wapuuzi kama weye?Kipuuzi zaidi sio?
Kwani maandiko yanasemaje kuhusu wapuuzi kama weye?
Mkuu, Urusi gani iliyosambaratika? Au unamaanisha USSR?
Yameisha mkuu.Nisamehe.Halafu wewe ndie wa maana sana sio?
Yameisha mkuu.Nisamehe.
Wathubutu tu kumchokoza kwanza,Urusi imesharudisha heshima yake.Mwingereza anataka kumlipua baada ya kuwapa sumu Spyer wake huko UK
HahahaAliyeuwawa ni jasusi mkuu!! Na sio mwana siasa!
Alafu acha kumfananisha putin na mambo ya kipuuzi!
AiseeAm not a woman ,I don't have bad days-- Putin. Jamaa anajua sana kuwajibu wabaya wake.
Dmark, Sweden Finland ni wajamaa? We ng'ata ulimiKagame, Musseveni, Nkhurunzinza na huyu wetu ni Wajamaa ???
Halafu mbona nchi za Kijamaa kama Denmark, Finland na Sweden siyo madikteta ??