Putin: Siwezi kusamehe usaliti

Putin: Siwezi kusamehe usaliti

Urus anatawala Dunia kwa Sasa anafanya chochot anachojckia kufanya haogop
 
Kaulizwa swali,
Mwandishi: Je, Unaweza kusamehe ??
V. V. Putin: Ndiyo, lakini siyo vitu vyote.
Mwandishi: Kitu gani huwezi kusamehe ??
V.V. Putin: Siwezi kusamehe usaliti hata siku moja.

Sasa hivi anashughulika na kampeni ya uchaguzi jumapili.

Matamko yote muhimu amemwachia mtaalam, Sergey Lavrov.

Na muda si mrefu Russia inawafukuza wanadiplomasia wa UK kule Moscow.
 
Sasa hivi anashughulika na kampeni ya uchaguzi jumapili.

Matamko yote muhimu amemwachia mtaalam, Sergey Lavrov.

Na muda si mrefu Russia inawafukuza wanadiplomasia wa UK kule Moscow.
Ngoja uchaguzi wa Jumapili upite.
Atakachokuja kufanya sitaki hata kukiwaza.
 
Spy wa Uingereza? Krispal na bintiye Yuria ni raia wa Russia sio wa Uingereza.
Uwe unaelewa na wewe. Ndiyo maana mnafeli mitihani maana hamuelewi maswali mnaanza kukimbilia kujibu..
 
Kama sijakosea mwaka 2007 Vladimir alienda marekani kukutana na Bush walipiga picha ya pamoja na walienda pamoja nyumba ya Bush wakapiga story,kula na mengi kama unavyojua Putin hakubaliki marekani waandishi wa habari wakamuuliza Bush unamuamini Vladimir Bush akajibu nimemtizana Vladimir machoni nikaona roho yake.Sasa John McCain kwenye kipindi alikuwa anahojiwa na akaulizwa kuhusu statement ya Bush ndipo akajibu akimtizima Vladimir Putin machoni anaona herufi 3 K G B
Putin aliwah kumwambia j mccain kuw Alikuwa mateka wa vita ya vietnam..hivyo akili zake aliziacha huko.
 
Putin aliwah kumwambia j mccain kuw Alikuwa mateka wa vita ya vietnam..hivyo akili zake aliziacha huko.
Kwa jinsi alivyoambiwa Mc Cain haya maneno na huyu KGB inajidhihirisha kuwa huyu Putin si mtu wa kubabaishwa.
 
putin mzeee wa misimamo

Huyu PUTIN ndiye role model wangu kwa kiongozi...Waingereza wanaipatapata...wametimua wanadiplomasia 23 wa Urusi na yeye amerudishia kwa idadi kama hiyo na pia kufunga British Council na kuondoa kibali cha ubalozi mdogo pale St. Petersburg...wakiendeleakuleta fyoko fyoko atarusha TU-160, moja ya madege makubwa ya Russia kuvinjari karibu na bahari ya UK..pale ndipo utaona Royal Airforce inavyopanick...
 
The guy was a double agent and was in prison in Russia for 8 + , why now would Russia want to kill him now ? Wouldn't it make more sense for Mi6 or CIA to use the ex double agent to discredit Russia , kill two birds with 1 stone. As the saying goes , John snow

USA wants the UK to parrot its insane anti-Russia line with this false flag incident.

Nobody should trust the Anglo-Saxon imperialists for a second. This is all drama to make Russia look bad, especially in this upcoming presidential elections.
4 days

If Russia want them dead, they would be dead by now and there would be no trace to Russia. What a bullshit story. But they are alive and there is an obvious trace to Russia, really ?

Fack you ! All Western governments! Have pity on your people too much lies I remember how the starting a war with Saddam Hussein/ bastard USA NATO UK and they are slave master's Zionist!!!
 
Putin anaiwaza USA baada ya kupambana na China ambaye ameshampiga dole karibu kwenye kila kitu

Urusi anamfahamu Uchina vizuri kuliko ambavyo nchi yoyote inaifahamu Uchina.
Uchina siyo tishio kwa Urusi kabisa kwasababu Urusi ndiye anayezuia Marekani na NATO wasimfanyie umafia kule Pasifiki. Uchina angekuwa peke yake kwenye hii vita basi angeumia sana tokea miaka ya 1990's huko. Nguvu kubwa ya Kidiplomasia, Kijeshi na Kiteknolojia ya Urusi ndiyo inamfanya Uchina awe na kiburi kwa namna moja au nyingine; Hivyo hivyo nguvu kubwa ya Uchumi ya Uchina inamfaidisha Urusi kwa namna moja au nyingine (Sidhani kama itakuwa ni busara kutaka kugombana na mtu mnayetegemeana naye na mbaya zaidi ni jirani yako ambaye mna mpaka moja)
 
Habari za asubuh mkuu

Lakini hebu jiulize Russia atafaidika nini na uchumi wa uchina wakati yeye Russia akiendelea kutembea kwa mwendo wa kinyonga?
 
Habari za asubuh mkuu

Lakini hebu jiulize Russia atafaidika nini na uchumi wa uchina wakati yeye Russia akiendelea kutembea kwa mwendo wa kinyonga?

Anafaidika sana sana,
Anauza gesi na mafuta (Nishati) ambalo ni tatizo kubwa sana nchini Uchina na India.
Anawauzia silaha na tafiti za kiteknolojia ambazo Wachina hawana kabisa. Au hujafuatilia takwimu za dili la Uchina na kampuni la nishati la GAZPROM ?
 
Nilikuwa sijafatilia hili mkuu and I will go through

Lakini putin anakosa heshima, anashindwa kuheshimu mipaka ya nchi iweje utume watu kwenda kuua nchi nyingne Tena kwa dharau baada ya kunyamaza anaendelea kujibizana

Mbona maspy wa west waliokimblia urusi hawafatiliwi
Sijapenda hii kitu ya huyu mzee putin
 
Back
Top Bottom