Hawa ni warusi lakini kwa sasa ni raia wa uingereza!!! Krispal aliisaliti urusi wakati akifanya kazi KGB kama jasusi lakini akarubuniwa na uingereza akawa anatoa siri za urusi kwa waingereza!! Walimgundua wakamkamata! Alishitakiwa na akakutwa na hatia na akafungwa!! Lakini kuna majasusi wa urusi waliokuwa wamekamatwa uingereza na kuhukumiwa kufungwa huko!Spy wa Uingereza? Krispal na bintiye Yuria ni raia wa Russia sio wa Uingereza.
Hahahahahaaa!Hatari sana.Mpike,Leo zamu yenu.Wewe ngumbaru wa kichagga upo ??
😀😀😀😀😀😀
Hahahahahaaa!Hatari sana.Mpike,Leo zamu yenu.
Mbona ninazo tatu tu MWALIMU wangu wa vicoba?Acha wivu mwalimu!Sasa mbona unatumia ID nyingi kama jambazi bwana ???
Unamwogopa nani wew Ngumbaru ??
Wee dada bwana, nikuonee wivu wakati huna hata shepu ??Mbona ninazo tatu tu MWALIMU wangu wa vicoba?Acha wivu mwalimu!
Hahahahahaa!Dah,kweli kabisa.Leo nashukuru sijaamka na hangover ya balimi.Wee dada bwana, nikuonee wivu wakati huna hata shepu ??
😀😀😀😀😀😀
Halafu kwanini unakunywa bia za bei ndogo, Magufuli amekuvuruga sana eehh ??Hahahahahaa!Dah,kweli kabisa.Leo nashukuru sijaamka na hangover ya balimi.
Hahahahaaa!Bia za kunywa wakati unataka kwenda shamba kulima hizo.Hivi weye uliacha kula maandazi mawili yalopakwa chilisosi kama lunch yako?Halafu kwanini unakunywa bia za bei ndogo, Magufuli amekuvuruga sana eehh ??
Teh teh teh teh teh na bado ngumbaru lazima unyoke mwaka huu.
Mimi nakula viazi na ndizi huku Kagera,Hahahahaaa!Bia za kunywa wakati unataka kwenda shamba kulima hizo.Hivi weye uliacha kula maandazi mawili yalopakwa chilisosi kama lunch yako?
Ndizi na viazi vililiwa na kuvu.Weye Sema upo Dodoma unakazia saumu kwa kubugia viwavijeshi na maji ya madimbwini.Mimi nakula viazi na ndizi huku Kagera,
Chilisosi tumewaachia nyie watoto laini laini.
Bwahahahahaha, basi leo usiku uje na ile ID yako ya kishambwaaa ile.Ndizi na viazi vililiwa na kuvu.Weye Sema upo Dodoma unakazia saumu kwa kubugia viwavijeshi na maji ya madimbwini.
Mkuu,unajua kucheka .Nitakuja nayo. Leo,hata hivyo angles zako naenda nazo kwa kitumia kamasi.Sinasi!Hahahahaaa.Bwahahahahaha, basi leo usiku uje na ile ID yako ya kishambwaaa ile.
Ila BAVICHA mnakutamani sana DODOMA lakini ndiyo hamuwezi kuingia.
Naona unahisi siku CHADEMA wakichukua nchi utapiga BALIMI za Bure
😀😀😀😀😀😀😀😀
Umekwisha kupika?
Upupu mwingine hautakiwi kuwemo kwenye uzi kama huusiyo kuishi milele aisee alichofanya huyo duble agent ni kibaya sana namfananisha na lissu kwenye issue ya Acacia
Nzuri kabisa dj, za siku