Mother Confessor
JF-Expert Member
- Jan 7, 2016
- 18,682
- 45,597
Ana misimamo kama kiongozi.Kwanini unamkubali ??
Ana misimamo kama kiongozi.Kwanini unamkubali ??
kazi ya hatari sanaHaina haja ya kuoa/kuolewa ama kuwa na mtoto ukishakuwa jasusi hasa hasa ukiwa ni double agent.. mwisho wa siku utaishia kulia tu kwa kuangamiziwa familia
Unalazimisha kulazimishwa?Kafie mbele huko.Niblock tenaNani kakulazimisha tufanane mawazo ??
Mbona unajihami hivyo aisee ??
Kwanini nikublock ?? you are awfully too small to be hugely irritating!Unalazimisha kulazimishwa?Kafie mbele huko.Niblock tena
Watu wa design yake wanajisahau sana. Badala ya kuweka mfumo ambao utasimama kwa muda mrefu kwa manufaa ya taifa huwa busy kukomalia misimamo yao. Siku wakitoweka hali huwa mbaya....Utadhani yeye ataishi milele
Urusi ilisambaratika kwasababu gani haswa ???
UVAMIZI WA AFGHANISTAN
Hahahahaaa!Nilikushangaa ulivyowahi niblock.Maisha ni changamoto.Ukiogopa utaitwa GufulizzzKwanini nikublock ?? you are awfully too small to be hugely irritating!
Watu wa design yake wanajisahau sana. Badala ya kuweka mfumo ambao utasimama kwa muda mrefu kwa manufaa ya taifa huwa busy kukomalia misimamo yao. Siku wakitoweka hali huwa mbaya.
Hahahahaaa!Nilikushangaa ulivyowahi niblock.Maisha ni changamoto.Ukiogopa utaitwa Gufulizzz
KGB ipo inafanya kazi usiku na mchana lazima kiongozi calibre ya Putin atakuwepo na kiongozi asiye eleweka atakuwa eliminated na KGB tu .Hawatomvumilia.Watu wa design yake wanajisahau sana. Badala ya kuweka mfumo ambao utasimama kwa muda mrefu kwa manufaa ya taifa huwa busy kukomalia misimamo yao. Siku wakitoweka hali huwa mbaya.
Time will tell.KGB ipo inafanya kazi usiku na mchana lazima kiongozi calibre ya Putin atakuwepo na kiongozi asiye eleweka atakuwa eliminated na KGB tu .Hawatomvumilia.
NimeachaAcha kujisifia wewe.
Lini nimeku-block mimi ??
Watu wa design yake wanajisahau sana. Badala ya kuweka mfumo ambao utasimama kwa muda mrefu kwa manufaa ya taifa huwa busy kukomalia misimamo yao. Siku wakitoweka hali huwa mbaya.
...mpaka 1991?! Kwanini isiwe mpaka mwaka huu 2018 mkuu?Mbona walivyokufa Lenin na Stalin USSR iliendelea mpaka 1991 ??
Misimamo ya kiongozi ndiyo ipi hiyo ??
🙂🙂
...mpaka 1991?! Kwanini isiwe mpaka mwaka huu 2018 mkuu?
Mkuu are you this gullible ??
Mambo yanabadilika kutokana na muda.Urusi hii siyo USSR.