JAYJAY
JF-Expert Member
- Oct 31, 2008
- 8,795
- 9,153
Hiyo poll uliyoitaja hapo, alifanya nani!? Maana utakuwa mpumbavu wa kwanza duniani kuamini poll aliyoifanya mrusi mwenyewe. Haya naomba jibu, hiyo poll nani kaifanya!? Uje na source pia.Next time kabla hujaandika fanya homework kwanza
A recent poll reveals 70% of Russians support the ‘special military operation’
Kuhusu ICC Urusi sio signatory wa hiyo kitu na hakuna wa kumkamata zaidi ya Nchi signatory wa ICC… kiuhalisia nambie nchi gani inaweza jaribu hilo
NB: Marekani sio signatory wa ICC either!