Putin kakanyaga pabaya

Putin kakanyaga pabaya

Vikwazo vilivyowekwa na EU, US. & washirika wake bado wanaoumia ni wao na dunia kwa ujumla. RF malengo yake yakufifisha ushawishi wa USA na washirika wake yanaendelea kama yalivyokusudiwa.
 
Wamarekani wa buza mna akili ndogo sana, so unazani Putin ni mwenyekiti wako wa kijiji unachoishi.?
 
Nlikua naona urusi atashinda ila kwa hii stage aisee marekan n dubwan kubwa kabisa ambalo huwezi kushindana nalo kabisa wao wamemuwekea vikwazo yeye hajaweka kuonesha bado anawahitaji jana ICC wametoa amri akamatwe yaan anaishi kama digidigi biden alienda had uwanja wa vita ila putin hajaenda hii inaonesha jamaa hata watu wake hawamkubal aisee jamaa amegusa pabaya
ICC ni mahakama iliyoundwa kwa ajili ya nchi masikini za kiafrica na huko uswekeni mwingine...Marekani na western wenyenye hawaitambui hiyo mahakama kama Ina jurisdiction oven then..sasa. Vipi iwahusu Urusi..huo ni ulaghai tu kwa ajili ya watu wasiojielewa
 
Tuliwa wambia kuwa usicheze na state ya washngton ni hatari.Urusi inaenda kufilisika mdogo mdogo wenzake ndio wanasonga mbele maana vita sio vyao.Siku ikifilisika ndio kugawanyika kwa urusi

Huu ndo ukweli urusi amalize vita haraka afanye mambo mengine
 
Tuliwa wambia kuwa usicheze na state ya washngton ni hatari.Urusi inaenda kufilisika mdogo mdogo wenzake ndio wanasonga mbele maana vita sio vyao.Siku ikifilisika ndio kugawanyika kwa urusi
unajua mpaka sasa Russia ameshapigana vita ngapi? na marekani vita ngapi ndani na nje?
 
Back
Top Bottom