Putin kakanyaga pabaya

Putin kakanyaga pabaya

Jeshi la Urusi limerudi kambini kuwasubiri rasmi NATO

sasa hivi Vitani wapo Wagner wakisaidiwa Silaha na mbinu tu za kupambana

sasa hivi kinachoendelea huko Ukraine ni mapambano ya utangulizi tu

Russia iligundua mbinu kongwe ya Marekani ya kupiganisha vita kwa miaka mingi na wakishachoka adui ndio anaingia mwisho mwisho kuchukua point 3 kama alivyofanya kwny 1 and 2 WW

hii vita huenda ikaisha 2024 baada ya uchaguzi Mkuu wa Marekani

Sema umewaza kitu kwann wagner waende hata marekani asaiv anaokoteza tu ili baadae aie amle vizur urusi ila jamaa nae kashtuka
 
Vita imekuea ngumu kwa puttin sababu anapiga kwa kuvizia coz wanajeshi wa kyv wamejichanganya kwa raia na wanapambana wakiwa na ngao ya civillians, wameweka makombora shuleni, hospitali na sehem za watu. Vinginevyo vita ingeshaisha

Duuh aisee kwann urusi anashindwa kupiga bomu moja la nyuklia marekani alipewa ridhaa na nan kutupa bomu japani
 
Acha kuandika Kwa muhemko, Et kanyaga pabaya.

Bush alimuua Sadam, licha ya kushindwa kuthibitisha madai ya Silaha sumu, alipeleka ICC??.


Ukishakua na Silaha za Nyukilia, Wamagharibi wanabaki kua kama Mbwa Koko tu wanabweka huku wameufyataaa mkia.

Aisee marekani yeye muda wote yuko sahihi nan alimuwekea vikwazo marekani usijifariji kabisa putin kawekewa bunchs of problem ambazo ztamuua baada ya miaka 10
 
Nasubiri kumwona Putin kizimbani siku moja, najua sio siku za karibuni sana. Unajua Wamarekani na Wazungu kwa ujumla wanafanya mambo kwa process sana. Wakianzisha kitu wanaacha processes and procedures zifanye kazi. Putin atajikuta pabaya taratibu tu kwani watamwondoa systematically. Pia upinzani unazidi kukua ndani ya Urusi na hilo ndio baya zaidi, atajikuta anakataliwa ugenini na nyumbani na mwishowe kukamatwa chini ya makalvati kama Saadamu Hussein na Muamar Gaddafi. Ni yale yale tu.
Hayo mambo wanayaweza kwa makapuku, urusi alichofanyiwa kipindi cha vita baridi na bado kafufuka anawasumbua mahasimu wake,,,,, hao wamagharibi ndo walijisahau wakajua kazi wameimaliza kumbe ndo kwanza inaanza
 
Kabla ya Kuandika Chochote Fanya Utafiti , Hivi Ndani Ya Mwezi Huu Bank Ngap Ulaya Na Marekani Zinakaribia Kufilisika ...! Ulaya Uchumi Umeyumbaa

Saw ila
Urusi kapoteza vitu vingapi bomba lake la mafuta marekani kakili kalipasua yeye na urusi hana cha kumfanya jamaa
 
Aisee marekani yeye muda wote yuko sahihi nan alimuwekea vikwazo marekani usijifariji kabisa putin kawekewa bunchs of problem ambazo ztamuua baada ya miaka 10
Tunachokiona wamagharibi ndo kila kitu kinakufa kuanzia uchumi mambo yapo ovyo, mrusi anakula kuku kwa mrija
 
nchi gani inayofanya vizuri kiuchumi maana marekani hadi mabenk yanafirisika

Marekan kumbuka anafanya biashara tena kwa faida kubwa anauzia ulaya hapo
Hapo
Ulaya wameacha kutumia mafuta ya urusi na gas
 
Tunachokiona wamagharibi ndo kila kitu kinakufa kuanzia uchumi mambo yapo ovyo, mrusi anakula kuku kwa mrija

Sawa muda tu utaongea marekani n dude kubwa sana dunian yaan lenye mikono mingi
 
Yaan putin alitakiwa kumaliza vita ndan ya muda mfupi sana hii long term anajitengenezea shimo
Vita na Ukraine alishamaliza muda! Sasa hivi anapambana na NATO ndani ya Ukraine.Na US n NATO wameshaona ni mziki mzito kwa hiyo lazima watafute gia nyingine.
 
ICC ni kwa ajili ya kina Bosco Ntaganda na vibaka wengine wa aina hiyo wanaovamia vijiji na kuacha wamechoma mashamba na kubaka wanyama sio watu design ya Putin. Hivi nani wa kumkamata ampeleke ICC?
 
Nlikua naona urusi atashinda ila kwa hii stage aisee marekan n dubwan kubwa kabisa ambalo huwezi kushindana nalo kabisa wao wamemuwekea vikwazo yeye hajaweka kuonesha bado anawahitaji jana ICC wametoa amri akamatwe yaan anaishi kama digidigi biden alienda had uwanja wa vita ila putin hajaenda hii inaonesha jamaa hata watu wake hawamkubal aisee jamaa amegusa pabaya
Hao ICC walishindwa kumkamata Omar al-Bashir akiwa raisi wa Sudan ndio wataweza kumkamata Putin. Hizo ni ngonjera tu za kujifurahisha mahakama yenyewe ambayo ilishindwa hata kuwakamata wanajeshi wa marekani iliyowatuhumu kufanya makosa ya kivita trump akataka iwekea vikwazo akafyata mkia nani anaweza kuisikiliza.
Itasumbua huko Afrika ila si kumkamata Putin
 
Hapo naona US na NATO ni kama bondia aliyeshindwa pambano na sasa anaokota mawe kumpiga mpinzani wake! US n NATO wameshafeli Ukraine kilichobaki wanatafuta njia nyingine za kujivua aibu. ICC haiana cho chote kabisa.
 
Broo!!!wewe endelea kubwia K vant haya mambo ni makubwa si kawaida kuliko uwezo wako wa fikra unazojitahidi kuwasilisha hapa!!!Kwani ukikaa kimya utapungukiwa nini,,,kuliko kuja kijidhalilisha humu jukwaani kwa stori ulizookota kwa vijana wenzako mnao shinda nao saluni kunyoana viduku,,kuweka blichi na kujivunza kudansi mkiwa na mademu wenu wa visendo manyoya na waimba,,,"""Kwikwiii Kwikwii,,,,Jifunze kujifunza zaidi na kuelewa zaidi kabla ya kukurupuka na kujidhalilisha humu,,,Ujue Mh Rais Dr Samia Suluhu Hassan anakatizaga humu,,,jitahidi usionekane wa hovyo!!
 
Nlikua naona urusi atashinda ila kwa hii stage aisee marekan n dubwan kubwa kabisa ambalo huwezi kushindana nalo kabisa wao wamemuwekea vikwazo yeye hajaweka kuonesha bado anawahitaji jana ICC wametoa amri akamatwe yaan anaishi kama digidigi biden alienda had uwanja wa vita ila putin hajaenda hii inaonesha jamaa hata watu wake hawamkubal aisee jamaa amegusa pabaya
Yaani unadhani PUTIN ni bosco ntaganda ao?😂😂😂😂
 
Back
Top Bottom