Putin kakanyaga pabaya

Putin kakanyaga pabaya

Next time kabla hujaandika fanya homework kwanza

A recent poll reveals 70% of Russians support the ‘special military operation’

Kuhusu ICC Urusi sio signatory wa hiyo kitu na hakuna wa kumkamata zaidi ya Nchi signatory wa ICC… kiuhalisia nambie nchi gani inaweza jaribu hilo

NB: Marekani sio signatory wa ICC either!
kura za ki ccm unaziamin? kwamba warusi wangeunga mkono ile mobilisation ingeleta impact ila bado mnaamin tu siass chafu za kiafrika zinazofanywa na Putin
 
Waliahindwa kumkamata yule wa Sudan wataweza kumkatmata Putin? Kuweni serious wakuu.

Hata hivyo, Ukraine amekuwa uwanja wa majaribio ya silaha kwa warusi, NATO na , its very unfortunate kwamba Zelencky aliamua kuuza watu wake in the expense of War ambayo kiuhalisia hata sio yeye anayepigana, silaha zote ni za Nato na usa.
 
Mkuu jisomee kidogo kwanza kabla ya kuleta uzi jf huku kunawatu wanafikiri kwa kutumia vichwa


Baada ya kutolewa kwa Hati ya kukamatwa kwa rais wa Urusi Vladimir Putin watu wengi wamekuwa na shahuku ya kujua hati hii itafanyaje kazi? Na je raisi huyu anawezaje kukamatwa huku akiwa madarakani tena nchi yake (Urusi) pamoja na nchi aliyotuhumiwa kuifanyia uharifu (Ukraine) zikiwa sio wanachama wa ICC?

Tuanze na swala la uanachama, ICC ni mahakama ya kimataifa inayoshughulikia makosa ya kivita(War crime), uharifu dhidi ya binadamu( Crime against humanity), Mauaji ya Kimbali (Genocide) na Uvamizi (Act of Agression) Mahakama hii ilianzishwa Julai 1, 2002 huku ikiwa na wanachama 60 kufuatia Mkataba wa Roma wa Mahakama ya Jinai ya Kimataifa (Rome Statute) wa mwaka 1998. Baadhi ya mataifa ambayo hayakukubali kuwa wanachama wa Mahakama hii ni Marekani, China, Iran, Israel, Qatar, na Libya.
asign asisign watamshika tu , yeye ni sehem ya dunia na matendo yake ni sehem ya uhalifu hapa dunian , atakamatwa tu hata na raia wake kisha wampeleke akajibu kesi zake
 
yaani na akili zako za kunyolea nywele unaamini kabisa porojo za ICC,haya tuambie sasa nani ataenda kumkamata huyo gwiji, kama sio unataka another ww,
wamarekani wa kona ya bwiru kwenye issu serious mmeanza kuleta propaganda zenu
wew na ICC nan tumsikilize ? pambana utambulike Tz kwanza ndo uanze biashana na walemwengu
 
Putin anaizamisha Urusi shimoni....labda wampindue au afe mapema ndio pona yao.
Nlikua naona urusi atashinda ila kwa hii stage aisee marekan n dubwan kubwa kabisa ambalo huwezi kushindana nalo kabisa wao wamemuwekea vikwazo yeye hajaweka kuonesha bado anawahitaji jana ICC wametoa amri akamatwe yaan anaishi kama digidigi biden alienda had uwanja wa vita ila putin hajaenda hii inaonesha jamaa hata watu wake hawamkubal aisee jamaa amegusa pabaya
 
Aise hivi Kuna mtu dunia hii bado anaitilia manani ICC. Teh teh teh, hiyo Mahakama ishajifia kitambo baada ya watu kugundua haina maana.

Ilitolewa hati dhidi ya Bashir mpaka anatoka madarakani hakuna kilichokuwa kimetokea. Hivi Ni Nchi ipi inaweza kumkamata Rais wa Urusi kwa mfano. Mnachekesha kweli. Kwa wenye akili hizo ni dalili za Urusi kuwashika tako, sasa wanakamata Kila kilicho mbele yao
ttzo mna pupa , hamuna mipango ya long-term ndio maana huelew ICC
 
Jeshi la Urusi limerudi kambini kuwasubiri rasmi NATO

sasa hivi Vitani wapo Wagner wakisaidiwa Silaha na mbinu tu za kupambana

sasa hivi kinachoendelea huko Ukraine ni mapambano ya utangulizi tu

Russia iligundua mbinu kongwe ya Marekani ya kupiganisha vita kwa miaka mingi na wakishachoka adui ndio anaingia mwisho mwisho kuchukua point 3 kama alivyofanya kwny 1 and 2 WW

hii vita huenda ikaisha 2024 baada ya uchaguzi Mkuu wa Marekani
keep dreaming
 
Mkuu urusi hajaanza kutumia silaha zake. Alikuwa anatumia silaha za kizamani zilizobakia ww2, hakuna mwanajeshi mzoefu wa urusi aliyeenda front hata mmoja, kyv anahangaika na madogo wa mtaani na wale wa weigner.
wale majenero ni wa mtaani?
 
Vita imekuea ngumu kwa puttin sababu anapiga kwa kuvizia coz wanajeshi wa kyv wamejichanganya kwa raia na wanapambana wakiwa na ngao ya civillians, wameweka makombora shuleni, hospitali na sehem za watu. Vinginevyo vita ingeshaisha
duh had Kherson peny warusi wengi?
 
ttzo mna pupa , hamuna mipango ya long-term ndio maana huelew ICC
Ha ha ha ha ha ha sielewi ICC. Nikueleze tu mkuu International Criminal Law imelala hapa. Hiyo kitu imebaki takataka tu kama takataka zingine. Hao mbwa Putin siyo Level yao babu!
 
Nlikua naona urusi atashinda ila kwa hii stage aisee marekan n dubwan kubwa kabisa ambalo huwezi kushindana nalo kabisa wao wamemuwekea vikwazo yeye hajaweka kuonesha bado anawahitaji jana ICC wametoa amri akamatwe yaan anaishi kama digidigi biden alienda had uwanja wa vita ila putin hajaenda hii inaonesha jamaa hata watu wake hawamkubal aisee jamaa amegusa pabaya
Wewe Umesoma Kweli mambo ya Kimataifa?
 
kwamb ww na akili yako ya BRN ndo uwazid ICC?
Mnaoshabikia wote hiyo kitu ni kwa vile ni mbumbumbu. Hamjui chochote kuhusu Hilo jambo. Taja Nchi yoyote duniani yenye uwezo wa kumkamata Putin. Hata hao US nakuhakikishia hawana uwezo wa kumkamata Mwamba
 
Sawa lakin sasa Putin anaishi kwa wasiwasi haamin kiumbe chochote ulinzi umeongezeka yaan hata nchini kwake pia hapapo salama kwake just imagine yaan wamempa mzgo wa matatizo ili mwisho aanguke
Seems we ni mgeni sana kwenye hii vita maana unachambua vitu visivyoeleweka
 
Back
Top Bottom