Watu kweli hamjui kuangalia mambo kwa kina, huo ni mtego kama hujuiPutin atishike na icc!,nani kwanza wa kumshika ampeleke uko icc?
Watu kweli hamjui kuangalia mambo kwa kina, huo ni mtego kama hujuiPutin atishike na icc!,nani kwanza wa kumshika ampeleke uko icc?
Sikia kama lengo ni kuingia na kumkamata basi wangekuwa wameshaingia na kumuua ili kumaliza vita, hapo kuna mtego mkuuPutin atishike na icc!,nani kwanza wa kumshika ampeleke uko icc?
Sasa hii umeandika ndiyo nini?Nlikua naona urusi atashinda ila kwa hii stage aisee marekan n dubwan kubwa kabisa ambalo huwezi kushindana nalo kabisa wao wamemuwekea vikwazo yeye hajaweka kuonesha bado anawahitaji jana ICC wametoa amri akamatwe yaan anaishi kama digidigi biden alienda had uwanja wa vita ila putin hajaenda hii inaonesha jamaa hata watu wake hawamkubal aisee jamaa amegusa pabaya
Na huo ndiyo mtego ulipo, wanataka anguko la Putin litoke ndani ya nchi yake.Sawa lakin sasa Putin anaishi kwa wasiwasi haamin kiumbe chochote ulinzi umeongezeka yaan hata nchini kwake pia hapapo salama kwake just imagine yaan wamempa mzgo wa matatizo ili mwisho aanguke
Putin ategeki watanasa wenyewe.Watu kweli hamjui kuangalia mambo kwa kina, huo ni mtego kama hujui
China hawez kupigana hii vita mkuu fuatilia sera za China mkuuUkraine atapigwa tu ndugu yangu, hiyo ICC haiwezi kumfanya chochote Putin.
We unadhani nani anaweza kumkamata Putin? Hizo ni mind games za NATO baada ya kuona kichapo kule Bakhmut.
Next week Xi Jinping atamuona Putin, kumbuka kwamba China ana capacity kubwa sana ya kutengeneza silaha.
Nato na Ulaya wanahofia kwamba China akitia mguu itakuwa ngumu sana kwa Ukraine kushinda. Ila ndo kitu kinaenda kutokea, China lazima ampe silaha mrusi na Ukraine mwisho wa siku atadundwa tu
Mkuu urusi hajaanza kutumia silaha zake. Alikuwa anatumia silaha za kizamani zilizobakia ww2, hakuna mwanajeshi mzoefu wa urusi aliyeenda front hata mmoja, kyv anahangaika na madogo wa mtaani na wale wa weigner.Sasa ameishiwa silaha 2yrss kumbuka kawekewa vikwazo wenzake bado wanafanya vizur kiuchumi yeye anadidimia hata wananchi wake watamchukia
Vita imekuea ngumu kwa puttin sababu anapiga kwa kuvizia coz wanajeshi wa kyv wamejichanganya kwa raia na wanapambana wakiwa na ngao ya civillians, wameweka makombora shuleni, hospitali na sehem za watu. Vinginevyo vita ingeshaishaYaan putin alitakiwa kumaliza vita ndan ya muda mfupi sana hii long term anajitengenezea shimo
Puttin hana wasiwasi wenye easiwasi ni hao mnaowaona wanawewesekaSawa lakin sasa Putin anaishi kwa wasiwasi haamin kiumbe chochote ulinzi umeongezeka yaan hata nchini kwake pia hapapo salama kwake just imagine yaan wamempa mzgo wa matatizo ili mwisho aanguke
Kwanza nchi itakayomkamata putin ni nchi gani labda marekani pekee na kamwe hawezi kwenda hukoyaani na akili zako za kunyolea nywele unaamini kabisa porojo za ICC,haya tuambie sasa nani ataenda kumkamata huyo gwiji, kama sio unataka another ww,
wamarekani wa kona ya bwiru kwenye issu serious mmeanza kuleta propaganda zenu
ICC ni kwa ajili ya nchi za africa tuAise hivi Kuna mtu dunia hii bado anaitilia manani ICC. Teh teh teh, hiyo Mahakama ishajifia kitambo baada ya watu kugundua haina maana.
Ilitolewa hati dhidi ya Bashir mpaka anatoka madarakani hakuna kilichokuwa kimetokea. Hivi Ni Nchi ipi inaweza kumkamata Rais wa Urusi kwa mfano. Mnachekesha kweli. Kwa wenye akili hizo ni dalili za Urusi kuwashika tako, sasa wanakamata Kila kilicho mbele yao
Acha kuandika Kwa muhemko, Et kanyaga pabaya.Nlikua naona urusi atashinda ila kwa hii stage aisee marekan n dubwan kubwa kabisa ambalo huwezi kushindana nalo kabisa wao wamemuwekea vikwazo yeye hajaweka kuonesha bado anawahitaji jana ICC wametoa amri akamatwe yaan anaishi kama digidigi biden alienda had uwanja wa vita ila putin hajaenda hii inaonesha jamaa hata watu wake hawamkubal aisee jamaa amegusa pabaya
Umkamate Putin 🤣🤣🤣🤣 utakua hulitakii mema Taifa lakoKwanza nchi itakayomkamata putin ni nchi gani labda marekani pekee na kamwe hawezi kwenda huko
.Sasa ameishiwa silaha 2yrss kumbuka kawekewa vikwazo wenzake bado wanafanya vizur kiuchumi yeye anadidimia hata wananchi wake watamchukia
.Maskini!
.duh aiseee
Kabla ya Kuandika Chochote Fanya Utafiti , Hivi Ndani Ya Mwezi Huu Bank Ngap Ulaya Na Marekani Zinakaribia Kufilisika ...! Ulaya Uchumi UmeyumbaaSasa ameishiwa silaha 2yrss kumbuka kawekewa vikwazo wenzake bado wanafanya vizur kiuchumi yeye anadidimia hata wananchi wake watamchukia