melusine8
JF-Expert Member
- Aug 2, 2022
- 6,299
- 7,748
Next time kabla hujaandika fanya homework kwanza
A recent poll reveals 70% of Russians support the ‘special military operation’
Kuhusu ICC Urusi sio signatory wa hiyo kitu na hakuna wa kumkamata zaidi ya Nchi signatory wa ICC… kiuhalisia nambie nchi gani inaweza jaribu hilo
NB: Marekani sio signatory wa ICC either!
Yaani mleta mada ni jitu zima ovyooooo hajui hii vita hata kitone
