Extrovert
JF-Expert Member
- Feb 29, 2016
- 72,120
- 190,521
🤣 Hawawez Putin ni mbabe kuanzia Urusi hadi Marekani. Hakuna wa kumbabaisha ni sawa leo hii useme eti kuna mtu wa kumnyoosha Jakaya bongo 😀!!!Mkuu lengo siyo kumpeleka kama hujajua, huo ni mtego tu, kama wangekuwa na lengo/uwezo wa kumkamata na kumpeleka huko basi kwenye hii vita wangekuwa washamvizia na kumuua. Hapo kuna kitu wanachochea kama siyo kuwachonganisha Warusi ndani kwa ndani.