okonkwo jr
JF-Expert Member
- Jun 14, 2015
- 2,419
- 1,739
Dhambi kitu gani,mi napiga tu,tena kutwa mara tatu kama dozi ya mseto,
Kwa upande wangu imeniepusha sana na ngono zembe
Inategemea na dini yako! kama wewe ni Muisilamu kamuulize mkuu wa dini yako. kama wewe ni mkristo kamuulize padre au mchungaji wako. Kama wewe ni Hindu muulize God Ganesh wako. Etc.
Ila ki science hakuna madhara yoyote wala ushahidi wowote uliotangazwa kua Punyeto ina madhara. Mara nyingi wana saikilojia wanausisha Punyeto na upungufu wa nguvu za kiume huku wakiusisha na mawazo , hisia ETC. kitu ambacho hakina evidence. nakama ni vyo wanandoa wengi wasingekua na nguvu za kiume maana kila siku wanakutana.
Kama ni mawazo tendo la ndoa ni mawazo tosha, au ni swala nzima la kisaikolojia. Je Mbona babu zetu kila siku wanafanya tendo la ndoa na hawajawai kupungukiwa na nguvu za kiume? Kama ni mazoezi, basi tungesema kua kupiga punyeto ni kuimarisha uume maana kutokana kanuni unapofanya mazoezi ya mara kwa mara uume lazima uimarike. Mfano unapofanya mazoezi ya mwili, mwili unabaki kua katika hali nzuri.
Kimsingi ni bora mtu apige nyeto kuliko kutembea hovyo, ni moja kati ya njia ya kujikinga na maradhi yanoayo ambukiza kupitia dhinaa. Nakumbuka FEMA kipindi fulani waliamasisha wanafunzi na kuwashauri wasijiusishe na maswala ya ngono zembe badala yake wapige punyeto.
Mwisho kabisa; Dini( wa kristo) wanakataza punyeto kwa sababu tu inachoche hisi. Ila watu wengi wanapiga punyeto iwe kwa wanandoa, iwe kwa mabachela. wengine kabla ya kufanya tendo la ndoa, mke au mume lazima afanye oral sex. Oral sex ni haina ya punyeto na kila mtu ufuraia.
Je mke wako akiwa kwenye siku zake na wewe unajisikia kufanya tendo ua unafanyeje? lazima akushikeshike ili ujisikie vizuri.
Inawezekana hujuwi haina za Punyeto. wala usiwashawishi watu watende dhambi ya dhinaa kwa kutumia miili yao. ni bora mtu ajizuie mwenyewe kwa njia raisi anayo ijua.
So punyeto ipo aina nyingi na watu wanafanya wengine kwa kujua au bila kujua.
Chaputa-chama cha punyeto tanzania kwa kimombo masterbration association of tanzania[mat] haa!nakumbuka mbali
Anakuwa ameua nini? Amua sperm? Kwani ukikutana na mke wako unaua wangapi? Au unafikiri kila mbegu unayomwaga hata kama ni kwa mke wako inakuwa kiumbe? Hayo mamilioni ya mbegu sijui mwanamke angewakuza kwenye uterus kubwa kiasi gani...ni kosa kisheria umevunja katiba ya jamhur wa muungano kifungu 268 usiue we umeua
ni dhamb umevunja amri ya mungu usizin na usiue
Pole ya nini?
Mkuu utakuwa ulisoma boyz ...maana unakumbushia
hizi mambo wakati tuko maskonga ya wagumu watupu
"Boyz " ndo zilikuwa zetu hizo.
Kwenye swala la kimaadili na imani je ni dhambi wakuu?
Shkamoo mama.
Nyeto iko nyoka.