PUNYETO: Je ni dhambi, Kosa kisheria?

PUNYETO: Je ni dhambi, Kosa kisheria?

ni dhambi kama mchangiaji alivyoinukuu biblia. Kimaadili ni vibaya kwa vile utapoteza fursa ya kuwa karibu na kuwapenda dada zetu, hivyo utasababisha baadhi kufikiri hawana bahati ya kupendwa; kumbe ni wewe tu na yeto lako.

Ushauri (si wa kisayansi lakini) nyeto kibinafsi yako si mbaya ila iwe na kiasi....
 
ni kosa kisheria umevunja katiba ya jamhur wa muungano kifungu 268 usiue we umeua

ni dhamb umevunja amri ya mungu usizin na usiue

Nakataa hajaua maana mbegu haijakutana na yai la mwanamke,

nakataa hajazini maana hakuna mke wa mtu hapo,

nakataa hajafunja sheria ya nchi hakuna ushahidi unaojitosheleza
 
ni dhambi kama mchangiaji alivyoinukuu biblia. Kimaadili ni vibaya kwa vile utapoteza fursa ya kuwa karibu na kuwapenda dada zetu, hivyo utasababisha baadhi kufikiri hawana bahati ya kupendwa; kumbe ni wewe tu na yeto lako.

Ushauri (si wa kisayansi lakini) nyeto kibinafsi yako si mbaya ila iwe na kiasi....

Nyeto inasaidia kupunguza maambukizi ya ukimwi na kuchepuka pindi wife ameenda kwao...na pia wale ambao wapo vitani inawapunguzia ugumu..wale boko haram walikuwa hawapigi nyeto na matokeo yake wakajikuta wanateka watoto wa watu na kuwafanya wake zao....
 
Ni dhambi yesu anasema hivi:
Torati inawaambia kuwa msizini lakini mimi yesu nawambia hivi.:-ukimtazama tu mwanamke na kumtamani umekwisha zini naye moyoni:kwahiyo mpaka upige punyeto tayari umeshavuta hisia ya mwanamke atakaye sisimua hisia ili mjomba aamke then umsugue ndipo alie!!!ni dhambi acha mchezo huo!!!

mwingine hahitaji kuona mwanamke, yeye akiona kipande cha sabuni chooni tu mnara hewani...hana dhambi huyo
 
Dhambi kubwa hiyo na huwezi samehewa .kwani umetumia mkono ktk kujistarehesha kwani mungu ameumba wanawake.ili tuoe na sio kutumia mkono na vitu vinayofanana.
 
Punyeto ni dhambi. Soma Mwanzo 38: 8-10 "......... alipoingia kwa mke wa nduguye, akamwagia chini asimpe nduguye uzao. Neno hili alilifanya likawa baya machoni pa Bwana, basi akamwua yeye naye."
 
Punyeto ni dhambi. Soma Mwanzo 38: 8-10 "......... alipoingia kwa mke wa nduguye, akamwagia chini asimpe nduguye uzao. Neno hili alilifanya likawa baya machoni pa Bwana, basi akamwua yeye naye."

umepotea...tunajadili punyeto siyo kuichomoa toka kwenye k na kumwagia nje

hiyo unayosema wewe inafanana na kupiga show kwa kutumia ndom
 
Asante nimejifunza kitu hapa

Mkuu mie nafikiri maoni yako ni yakufikirika zaidi ya uhalisia.... mbona sie wengine tulizipiga sana tu shule! Lakini vizibo tushavitungua nyingi tu vilevile!!?? Mita inasoma hata ukipita karibu tu na chombi cha uhakika..then bomba la Dawasco lina presha kali sana tu!

Kuhusu Punyeto waambieni ukweli vijana wa sasa kwamba ni bora aitumie mara 100 kuliko kujiingiza kwenye mapenzi yanayoweza kumuingiza kwenye kupata UKIMWI na mimba zisizotarajiwa hivyo kusababisha watoto wa mitaani, wanafunzi wa kushindwa kuendelea na masomo n.k.......
 
ni dhambi na moja ya sababu ni kuwa ubinafsi ni dhambi,kupiga punyeto ni ubinafsi maana raha na matunda ya kujamiiana inahusisha watu wawili wa jinsia tofauti.pia punyeto huchochea mawazo ya ngono haramu jambo ambalo mara nyingi hushawishi fikra kuwaza zinaaa na watu wasio wako
 
Mkuu mie nafikiri maoni yako ni yakufikirika zaidi ya uhalisia.... mbona sie wengine tulizipiga sana tu shule! Lakini vizibo tushavitungua nyingi tu vilevile!!?? Mita inasoma hata ukipita karibu tu na chombi cha uhakika..then bomba la Dawasco lina presha kali sana tu!

Kuhusu Punyeto waambieni ukweli vijana wa sasa kwamba ni bora aitumie mara 100 kuliko kujiingiza kwenye mapenzi yanayoweza kumuingiza kwenye kupata UKIMWI na mimba zisizotarajiwa hivyo kusababisha watoto wa mitaani, wanafunzi wa kushindwa kuendelea na masomo n.k.......

Kwa upande wangu imeniepusha sana na ngono zembe
 
Back
Top Bottom