Art
JF-Expert Member
- Nov 13, 2015
- 611
- 88
Je kama unayemvutia hisia alishafariki,mfano aaliah inakuaje hapo
Dhambi hapo ni kumtamani na kutamani ni dhambi,awe ni mzima au mfu.
Je kama unayemvutia hisia alishafariki,mfano aaliah inakuaje hapo
sijawahi
ekotitee... ekotitee... ekotitee...
Viol na wewe unafanya punyeto?nakupongeza! Halafu na yeye mwulize ina maana wewe unafanya!
Tusaidia na vifungu vya biblia basiNi dhambi kubwa sana na huo ndo mwanzo wa ushoga watu wa pwan hasa waisilam wanapenda sana ushoga
Huyo mleta post ni mwanamke.Samahani hivi mwanaume rijali unawezaje kuangalia video za mashoga ili kupata stimu ya kupiga nyeto? Ukiona umedinda jijue tayari we ni bisexual
Mungu akusamehe sana kuhusisha uisilamu na ufirauniNi dhambi kubwa sana na huo ndo mwanzo wa ushoga watu wa pwan hasa waisilam wanapenda sana ushoga
We msaada hautaki??Hi everyone.Wapendwa poleni na michakato,nina maswali please nisaidie majibu. Je kumusturbate ni dhambi kwa Mungu cuz unaweza musturbate bila kumuwaza mwanaume yeyote ila tu unataka kupunguza tu nyege then unaamua kufanya hivyo.Je ni dhambi kwa Mungu?
Na kingne mtu mwingne ana musturbate mpka aangalie porn hiyo nayo ni dhambi kuangalia porn wakat unataka kufanya yako? La mwisho hizi porn za GAY pia ni dhambi kuzitazama? Cuz wengne wanaanglia kusikiliza milio ya wanaume ili na yeye aridhike lkn siyo kwamba anasupport gay,
All in all ni mambo ya nyege tu afu unakuta mtu ni single hana wakumsaidia.Please naomba msaada.Maswali nimeyachukua sehem hope yatatusaidia wengi .
Huyo mleta post ni mwanamke.
Kabisa.unaanza kujutanadhani sio dhambi maana hakuna uchafu wowote unaoupata kimwili.ila sijui kwanini mtu ukimaliza kupiga punyeto unakosa amani