Bujibuji Simba Nyamaume
Platinum Member
- Feb 4, 2009
- 78,155
- 166,095
Punyeto ni kitendo cha mtu mume au mke kujichezea via vyake vya uzazi hadi kufikia mshindo au kilele cha raha.
Punyeto ina mazuri yake na mabaya yake mengi, lakini leo nina swali la tofauti kidogo:
Wajuzi wa mambo, naomba mnijulishe kama punyeto ni dhambi au ni kosa kisheria za duniani. Kama ni dhambi, je ni kitabu gani cha dini kinakataza. Na kama ni kosa kisheria je ni kifungu gani kina maelezo ya kuanisha kosa hilo na adhabu zake?