PUNYETO: Je ni dhambi, Kosa kisheria?

PUNYETO: Je ni dhambi, Kosa kisheria?

Hata ukiwa na mke si mbegu zote zinatunga mimba. Zingine zinaharibika, na moja pekee ndo inatunga mimba. Pia kumbuka mtoto hawi kiumbe hai mpaka mbegu za kiume zikutane na yai la mwanamke.

Upande wa pili, Punyeto ni dhambi katika mantiki ya kwamba"HUWEZI kupiga punyeto BILA YA KUWAZA UKO NA BINTI (GRACE, AMINA) kitandani. Ni kwa msingi huo Biblia inasema katika Mathayo 5: 27 "Na Kila amtazamaye mwanamke kwa kumtamani amekwisha kuzini naye moyoni mwake"
Sawa na wapiga nyeto kumbuka hawaishii kupiga nyeto mara moja, sasa sijui hapo unadhani wapiga nyeto wanapiga mara moja tu au mimba inakuja siku moja tu, kama mimba inakuja kwa sikumoja tu hata ukipiga nyeto siku moja itakuwa pia inawezekana kuwa vile.
 
Ok..labda nyie mnaosema ni dhambi labda mnatakaje sasa.....maana nina mashaka na uwezo wenu wa kufikiri...WET DREAMS....ni natural thing na nikuwa naota na sex na mwanamke kabisa...na ni ndoto inayopelekea mwanaume kuejaculate...hii nayo ni dhambi??? hebu semeni mnatakaje sasa..watu wasipige punyeto afu hizi body wastes zitokaje? (hormones ziko listed among the waste products za mwili next to urine etc. etc).
Hoja zenu na mapungufu:
..wale wanaofananisha punyeto na kitabu cha mwanzo: kufanya tendo la ndoa na mwanamke na kumwaga mbegu chini ni dhambi kubwa...na kibibilia adhabu yake ni kifo,hii ni sawa kabisa na wanaotumia kondom/na mtakuwa mashahidi wa hili/ usifananishe punyeto na hili suala,anaepiga punyeto yuko peke yake.

kufikiria ni dhambi: kuna watu nimeona wakifikiria chakula flani basi mdomo hujaa mate...aidha wengine wakifikiria mambo flani macho hutoka machozi/ je tuseme na hawa wanafanya dhambi??? jaribu kutumia akili (ndo maana kila mtu amepewa kichwa). suala la kufikiri na p.e.n.i.s kuwa erect ni typical body mechanism..ni chemical stimulations called hormones!!! kha!

Lust : wako wanao piga punyeto simply kwa kujishikashika bila kuvuta hisia za mwanamke au ngono..aidha kama kuvuta hisia ya tendo la ngono nililoona kwenye movie flani ni dhambi..basi hata kuwaza kuhusu vita ni dhambi..au kuwaza kuhusu jinsi gay wanavo sex ni dhambi..kuwaza kuhusu wezi ni dhambi pia,,bibilia inachosema kwenye kitabu cha mathayo ni suala la kumtazama mwanamke na kumtamani...sio mimi kukaa na kufikiria kuhusu movie ya 'the notebook' sex scene yake.
 
Kisheria je?
Hapo tuko pamoja, ndio maana nikakuuliza common sense ni kitu gani na behave in a reasonable way and to make good decision, tunatumia standard gani? reasonable way/good decision kwako huenda ikawa na maana nyingine kwangu au kwa mwingine.

Bujibuji ameuliza Punyeto kwa standard za Biblia na Kisheria. Kibiblia naungana na LIKUD, kwamba punyeto ni dhambi, na hayo uliyoyataja hapo juu (Kununua malaya, kumchit mke) ni dhambi regardless of context. Bible is everything, context is nothing.
 
Ni Dhambi kubwa tu. Ushahidi wa maandishi ulisha pewa hapo juu.
 
Buji buji here are some insights to your query.

The moment you consider doing masturbation, its a series of actions that precedes it. It must have involved lust and exposure to nudity or fantasizing sexual activities.

Matt 5:28-29 says [Jesus:] "But I tell you that anyone who looks at a woman lustfully has already committed adultery with her in his heart. If your right eye causes you to sin, gouge it out and throw it away. It is better for you to lose one part of your body than for your whole body to be thrown into hell."

Also, Eph 5:3 prohibits sexual immorality
Bible says "But among you there must not be even a hint of sexual immorality, or of any kind of impurity, or of greed, because these are improper for God's holy people."

In case not clear, I will clarify further. Understood?
 
hivi wanawake woote walivyojaa humu duniani bado watu wanafikia punyeto jamani eeeeh,mhhhh ila wataalamu wanadai ni safe sexy ila madhara yake ndio hayo jogoo kugoma kuwika siku za mbeleni.
 
jombaa we piga tu, maandiko ushapata sasa unataka nini?? kwani ulikua hujui kua haimpendezi mungu!!??
 
Kisheria je?
Mkuu mambo ya sheria siko vizuri sana. Ila nadhani hilo litakua lipo kimaadili zaidi na sidhani kama kuna kipengele kinachohisika moja kwa moja na hicho kitendo.

Si unaona mfano ndoa za jinsia moja zinapingwa na serikali nyingi kwa sababu suala la ndoa lipo kisheria japo sheria hiyohiyo haiongelei kitendo cha watu wa jinsia moja kutenda kitendo hicho....
 
Ahaaa...if that's how the law is written, then it is too vague to mete out any kind of sensible punishment and I would win that case on any given day.

Are acts against the order of nature clearly defined and enumerated in those law books that you've read? If they are, what are they? And why would masturbation be against the order of nature and per who?

The whole idea of masturbation being unlawful flies in the face of logic, reason, and basic common sense.

Why? Well, check this out...I'm in the comfort of my own bedroom and I decide to watch some ebony porn flicks. I get horny and there is no female around to give me a happy ending. So I decide to give myself one.

So why would me giving myself a happy ending be unlawful? That's just so stupid and dumb and it reeks of invasion of privacy.

I can understand if masturbation in public is unlawful. But masturbation in the comfort and privacy of your own home....no..no..no.



Huyu ndo Nyani Ngabu naemjua.................


Ila Nyani, hebu nambie.....hii masturbation ni kwa wanaume tu,

naona mtizamo wa wengi hapa umeelemea upande mmoja!
 
Wakuu,PUNYETO NI DHAMBI.Angalia Biblia kitabu cha MWANZO 38:1-10 kwamba kumwaga mbegu chini ni jambo ya baya mbele ya Mola!:help:
 
Mtu hawezi kupiga punyeto bila kujaa mawazo kuwa anafanya zinaa na mtu fulani moyoni mwake;hivyo ni dhambi kupiga punyeto kama Yesu Kristo anasema katika injili ya MATHAYO 5:27-28.:help:
 
Thanks god nipo clean MWEZI WA TATU SASA sijapiga nyeto...
 
Ni dhambi kutokana na Uislam, inasemekana unanyoga kimya kimya viumbe.

Quran; And those who do not find the means to marry should remain chaste until Allah gives them resources by His Grace." (Surah Al Mu'minoon : Verse 32)
Yaani uislamu unaamini kila mwanaume anapotoa shahawa mimba inatungwa?
 
Wakuu,PUNYETO NI DHAMBI.Angalia Biblia kitabu cha MWANZO 38:1-10 kwamba kumwaga mbegu chini ni jambo ya baya mbele ya Mola!:help:

Kwa hiyo kosa ni kumwaga chini usipomwaga au ukamwaga ndani ya perhaps kondom?
 
Kwenye swala la kimaadili na imani je ni dhambi wakuu?
 
Back
Top Bottom