PUNYETO: Je ni dhambi, Kosa kisheria?

PUNYETO: Je ni dhambi, Kosa kisheria?

Hivi ufikiria unaweza kukamatwa n.a. Polisi kwa kupiga ponyeto no huwezi ila nisambi tu
 
Context is everything. Ni bora kupiga nyeto kuliko kwenda kubaka kitoto au hata mtu mzima.

Punyeto ni bora mara milioni moja kuliko kwenda kununua malaya na kuweka afya yako hatarini.

Punyeto ni bora kuliko kwenda kumchiti mkeo au mumeo.

Mind you, context is everything. Kwa hiyo sehemu na mazingira apigiayo mtu punyeto yanahusika sana.

Hivyo, kulingana na muktadha, wewe kwa kutumia akili yako utaamua kama ni good decision na/au reasonable behavior.

Hapo tuko pamoja, ndio maana nikakuuliza common sense ni kitu gani na behave in a reasonable way and to make good decision, tunatumia standard gani? reasonable way/good decision kwako huenda ikawa na maana nyingine kwangu au kwa mwingine.

Bujibuji ameuliza Punyeto kwa standard za Biblia na Kisheria. Kibiblia naungana na LIKUD, kwamba punyeto ni dhambi, na hayo uliyoyataja hapo juu (Kununua malaya, kumchit mke) ni dhambi regardless of context. Bible is everything, context is nothing.
 
bandug co kila dhambi. iandikwe kweny kitabu chadini. acha iyo mambo kama una do!
 
Hapo tuko pamoja, ndio maana nikakuuliza common sense ni kitu gani na behave in a reasonable way and to make good decision, tunatumia standard gani? reasonable way/good decision kwako huenda ikawa na maana nyingine kwangu au kwa mwingine.

Bujibuji ameuliza Punyeto kwa standard za Biblia na Kisheria. Kibiblia naungana na LIKUD, kwamba punyeto ni dhambi, na hayo uliyoyataja hapo juu (Kununua malaya, kumchit mke) ni dhambi regardless of context. Bible is everything, context is nothing.

Still, kuifanya punyeto kuwa unlawful ni ujinga.

Kwanza sijui utaitekelezaje hiyo sheria? Ili uweze kuitekeleza lazima utaingilia faragha za watu. Na kuingilia faragha za watu ni kosa kwenye uso wa sheria na wa busara/hekima/na akili za kawaida.

Hayo mambo ya kibiblia na dini mimi huko siko. Lakini tukija kwenye mambo ya sheria zinazowahusu watu wote walio kwenye himaya basi nina tatizo na sheria hiyo kama kweli ipo.

Acha watu wapige nyeto bana.
 
it IS. niliposoma law books iliandikwa, "acts against the 'order of nature' are illegal". if i translate using my st. kayumba english inamaanisha, "no bj, hj, kabang, cun------gus" etc.

edit: added link. soma page 12, replacement of section 154 .......

http://https://www.google.com/url?sa=t&rct=j&q=&esrc=s&source=web&cd=4&ved=0CE0QFjAD&url=http%3A%2F%2Fwww.hsph.harvard.edu%2Fpopulation%2Ftrafficking%2Ftanzania.sexoffenses.98.pdf&ei=9blvUovEKpHWsgbBt4HQAQ&usg=AFQjCNHjzCI_aJqzjdR757rKknwcg9Ib-Q&sig2=o68VOv-Z2MekFHidHy1j6g&bvm=bv.55123115,d.Yms

hamna sheria yoyote ya Tz inayokataza punyeto...
Hivyo in TZ punyeto is legal.
 
katika sheria za uislam, punyeto ni dhambi kwani ALLAH SW anasema *na wala usiikurubie zinaa* lakini pia Mtume saw ametufundisha kufunga kama njia ya kukabiliana na matamanio kwa wale ambao hawaja oa au kuolewa.
Njia nyingine yeyote kinyume na hiyo ni haram na ni dhambi.
 
So the law is written without defining what 'against the order of nature' is? Who wrote that law? Some schmucks called lawmakers?

hiyo inamaanisha sex nje ya vagina, e.g. Mdomon, sehemu ya haja kubwa, etc.
 
hiyo inamaanisha sex nje ya vagina, e.g. Mdomon, sehemu ya haja kubwa, etc.

Wapi imeandikwa kwamba inamaanisha fellatio na cunnilingus? Na titty *** je? Nayo inakatazwa?

Halafu ningependa kuiona hiyo sheria jinsi ilivyoandikwa verbatim. Unayo hapo?
 
Haya bwana ngoja tuone maoni ya dini nyingine na wapagani pia

Ni dhambi ndio
Kwasbb unapofanya unakuwa una hisia kabisa km vile upo na mwenza!!!!

Pia ni roho hizo.
Cjui kuapload video hapa frm u tube ningekuwekea hapa uone/ uckikize
 
Still, kuifanya punyeto kuwa unlawful ni ujinga.

Kwanza sijui utaitekelezaje hiyo sheria? Ili uweze kuitekeleza lazima utaingilia faragha za watu. Na kuingilia faragha za watu ni kosa kwenye uso wa sheria na wa busara/hekima/na akili za kawaida.

Hayo mambo ya kibiblia na dini mimi huko siko. Lakini tukija kwenye mambo ya sheria zinazowahusu watu wote walio kwenye himaya basi nina tatizo na sheria hiyo kama kweli ipo.

Acha watu wapige nyeto bana.

Hali kadhalika na mimi kwenye sheria sipo ndio maana unaona sijatia neno hata kidogo, mambo ya sheria yananichanganya sana, kwanza naichukia kwa sababu sio suala la haki ila ni jinsi gani unaweza kushawishi watu. Eti unaambiwa hajaua kwa kukusudia, kweli? ulikua kwenye mawazo ya huyo mtu? Unaweza usiwe na kosa ila usipojua vifungu vya sheria au ukakosa wakili wa kukutetea utaishia jela.......

Ndio maana nimeegemea zaidi upande wa Biblia kwenye hili suala. Thanks mkuu
 
Hili ni swali muhimu kwa kuwa linagusa tatizo sugu linalowakabili vijana wengi wa Kiislam, ambao bado hawajaoa, na wanaokabiliana kwa hali ya juu kabisa na vishawishi vilivyowazunguka katika jamii mbalimbali wanazoishi ndani yake. Kujichua wanaume au kujisaga wanawake ni jambo linalokubalika na kufanyika sana katika jamii zisizo za Kiislam kwa idadi kubwa ya watu: vijana wa kiume na kike, makapera, wazee na hata waliooa/kuolewa.

Lakini hali hiyo katika Uislam ni kinyume. Kwani katika Uislam kujichua au kujisaga (punyeto) ni haraam kwa mwanamme na mwanamke, kwa dalili zifuatazo:

Kwanza, dalili kutoka katika Qur’aan:

((َنوُداَعْلا ُمُه َكِئَلْوُأَفَكِلَذ ءاَرَو ىَغَتْباِنَمَف ((

))َنيِموُلَمُرْيَغ ْمُهَّنِإَف ْمُهُناَمْيَأْتَكَلَماَمْوأْمِهِجاَوْزَأ ىَلَع اَّلِإ((

))َنوُظِفاَح ْمِهِجوُرُفِلْمُهَنيِذَّلاَ&#1608😉)

((Na ambao wanazilinda tupu zao))

((Isipokuwa kwa wake zao au kwa iliyowamiliki mikono yao ya kulia. Kwani hao si wenye kulaumiwa))

((Lakini anayetaka kinyume cha haya, basi hao ndio warukao mipaka)) [Al-Muuminuun:5-7]

Aayah hii inakataza waziwazi vitendo vyote vya tendo la ndoa (ikijumuisha punyeto) isipokuwa kwa wake, na yeyote anayejipelekea kwenye matendo kinyume na hayo yaliyoruhusiwa, basi ni katika warukao mipaka.

ِهِلْضَف نِمُهَّللاْمُهَيِنْغُي ىَّتَح اًحاَكِن َنوُدِجَياَلَنيِذَّلاِفِفْعَتْسَيْلَو

((Na wajizuilie na machafu wale wasiopata cha kuolea, mpaka Mwenyezi Mungu Awatajirishe kwa fadhila Yake)) [An-Nuur:33]

Ayah hii vilevile inaamrisha wazi kwa yule asiye na uwezo wa kimali kwa ajili ya kuoa, basi anatakiwa ajiweke katika hali ya kujidhibiti na machafu na kujihifadhi kimwili na awe na subira ya kuweza kukabiliana na vishawishi mbalimbali ikiwemo kupiga punyeto, hadi Mwenyeezi Mungu Atakapomruzuku kwa fadhila Zake.

Vilevile Wanachoni wa Fiqh (Fuqahaa) wamechukulia hukumu kutoka katika ayah hii kuwa ni haraam kupiga punyeto kwa sababu mbili: Ya kwanza: Katika ayah hii, Allaah ىلاعتو هناحبس Anaamrisha kujizuia na machafu, na kutokana na kanuni za ki-Fiqh, maamrisho yanaashiria ulazima (uwajibu) wa jambo. Hivyo kubaki katika hali ya usafi (kujizuia na machafu) ni wajibu na panapokuwa kujizuia na machafu ni wajibu, basi kujizuia na yale yote yanayopelekea kufanya machafu ni wajibu zaidi. Hii inatokana na ukweli kwamba kujizuia na machafu au kubaki safi kutapatikana pale mtu anapojizuia na vile vyenye kusababisha hayo machafu.

Sababu ya pili, kwamba katika ayah hiyo Allaah ىلاعتو هناحبس Ameamrisha Usafi (kutofanya machafu) kwa wale wasio na uwezo wa kuoa. Hapa Allaah ىلاعتو هناحبس Hajadhihirisha uhusiano wa kujizua na machafu na ule wa kuoa. Hivyo kunahesabika kuwa kujichua ni haraam. Na kama kungekuwa ni halaal, basi hapa ndipo pahala pake palipokuwa panatakikana kutajwa. Kwa kutotajwa uhalali wa kujichua katika ayah hii ambapo ndipo pahali muwafaka wa kuelezwa hilo, kunadhihirisha kuwa jambo hilo ni haraam, Kwani ‘kunyamazwa katika sehemu ya kuelezwa kunaashiria makatazo.’ Tazama pia tafsiri ya Imaam Qurtubiy katika ayah hiyo.

Pili, dalili kutoka katika Sunnah:

Anasema ‘Abdullaah ibn Mas’uud هنع هللا يضر, “Tulikuwa na Mtume ملسو هلآو هيلع هللا ىلص na hali bado ni vijana na hatuna uwezo wa mali. Basi Mtume ملسو هلآو هيلع هللا ىلص akatuambia: ((Enyi vijana! Mwenye kuweza kuoa na aoe, kwani kuoa kunamsaidia yeye kuinamisha macho yake (kutotazama ya haraam) na kuhifadhi tupu yake (kutofanya zinaa na uchafu mwingine), na yule asiye na uwezo wa kuoa, afunge, maana funga hupunguza matamanio ya kimwili)) Al Bukhaariy

Hadiyth hii inamuamrisha mtu asiye na uwezo wa kuoa, afunge, japokuwa kuna ugumu wa kufanya hivyo kila wakati anapozidiwa na matamanio, ili asitumbukie katika vitumbukizo vikiwemo punyeto, pamoja na urahisi na mvuto wa kulifanya jambo hilo. Na kama kungekuwa ni halali kupiga punyeto, basi hapa Mtume ملسو هلآو هيلع هللا ىلص angeliruhusu kwa sababu ni jambo rahisi na lenye kustarehesha na asingesema watu wafunge kwani hilo ni jambo gumu na zito kulifanya. Na kama tunavyofahamu, Mtume ملسو هلآو هيلع هللا ىلص hakuletwa kutufanyia ugumu na uzito.

Wema waliopita kama Sa’iyd ibn Jubayr هنع هللا يضر anasema kuhusiana na punyeto, “Mwenyeezi Mungu Atawaadhibu watu kwa sababu walikuwa wakichezea sehemu zao za siri.” Naye ‘Atwaa هللا همحر anasema, “Baadhi ya watu watafufuliwa na hali mikono yao ina mimba, Nadhani ni wale waliokuwa wakipiga punyeto.”

Ingawa baadhi ya Maimam wanalijuzisha jambo hilo kwa sababu mbalimbali, kama; ikiwa mtu anaogopa kutumbukia katika zinaa, au kufanya huko ni kwa sababu tu ya kutoa matamanio yaliyozidi na wala si kwa ajili ya kujistarehesha n.k.. Hata hivyo, rai hizo hazina dalili yoyote zilizoambatana nazo, kwa hivyo ni bora mtu kujiepusha na tendo hilo kutokana na dalili zilizotangulia kutajwa.

Tunawanasihi ndugu zetu wenye kukabiliwa na vishawishi hivyo, wafuate nukta hizi ili ziwasaidie kupambana na hali hiyo inayowasumbua wale walio katika hali ya ukapera (kutokua na mke/mume):

1- Jambo la mwanzo na muhimu kuliko yote ili kuepukana na mtihani huu wa kutumbukia katika tabia hiyo, ni kujitahidi kufuata maamrisho ya Allaah ىلاعتو هناحبس na kuogopa adhabu Zake.

2- Kuwa safi na machafu (Kujizuia na machafu), kwa kujiweka daima katika hali ya kufikiria adhabu ya moto, na kuamini kuwa kujihifadhi huko kwa kufanya machafu ni sababu ya kuipata pepo.

4- Kuinamisha macho yako (kutotazama yale ya haraam kama picha za uchi, sinema, au kukaa majiani na kutazama maumbo ya wanawake wapitao). Kujizuia huko kutazama ya haraam, kutakusaidia sana kutoamsha hamu zilizorundikana ambazo zikishaamka, basi kufanyika haraam kunakuwa ni jambo lisiloepukika kirahisi. Mwenyezi Mungu ىلاعتو هناحبس Ameamrisha wanaume na wanawake katika ayah mbili zifuatazo:

((َّنُهَجوُرُف َنْظَفْحَيَو…(( َّنِهِراَصْبَأ ْنِم َنْضُضْغَي ِتاَنِمْؤُمْلِّل لُقَو((

))َنوُعَنْصَي اَمِبٌريِبَخ َهَّللا َّنِإ ْمُهَل ىَكْزَأَكِلَذ ْمُهَجوُرُفاوُظَفْحَيَو ْمِهِراَصْبَأْنِم اوُّضُغَي َنيِنِمْؤُمْلِّل لُق

((Waambie Waumini wanaume wainamishe macho yao, na wazilinde tupu zao. Hili ni takaso bora kwao. Hakika Mwenyezi Mungu Anazo khabari za wanayoyafanya))

((Na waambie Waumini wanawake wainamishe macho yao, na wazilinde tupu zao….)) [An-Nuur:30-31]

Naye Mtume ملسو هلآو هيلع هللا ىلص anasema: ((Usifuatilize mtazamo (kuangalia kwa kutokusudia (vile vilivyoharamishwa) kwa mtazamo mwingine))[At-Tirmidhiy]

Huu ni mwongozo kutoka kwa Mtume wetuملسو هلآو هيلع هللا ىلص wa kujizuia na yale yote yanayoweza kuchochea matamanio ya kimwili ambayo yanaweza kumpelekea mtu kufanya yaliyokatazwa.

5- Ufumbuzi wa kudumu wa tatizo hilo ni kukimbilia kuoa haraka pale tu unapokuwa tayari kiuwezo, kama tulivyoona katika hadiyth ya Mtume 6

ملسو هلآو هيلع هللا ىلص- Kufunga. Jizoeshe kufunga kila unapohisi matamanio yanaanza kufumuka. Nako huko kufunga kunasaidia sana kwa mengi zaidi ya hilo. Jizoeshe kufunga kila Jumatatu na Alkhamiys, masiku meupe (tarehe 13, 14 na 15 za Kiislam, kila mwezi), na ukiona matamanio yako ni mengi na ya mara kwa mara basi funga Swawm ya Nabii Dawuud مالسلا هيلع ya kila baada ya siku moja.

Mtume ملسو هلآو هيلع هللا ىلص amesema:

يراخبلا ملسمو ٌءاَجِوُهَلُهَّنِإَفِمْوَّصلاِب(( ِهْيَلَعَفْعِطَتْسَيْمَلْنَمَوِجْرَفْلِل ُنَصْحَأَوِرَصَبْلِلُّضَغَأُهَّنِإَفْجَّوَزَتَيْلَف ))ِباَبَّشلاَرَشْعَماَي َةَءاَبْلاَعاَطَتْساْنَم

((Enyi vijana, anayeweza kuoa basi na aoe kwani ni kuinamisha macho na ni stara ya uchi, Na asiyeweza basi afunge (Swawm) kwani ni kinga (ya matamanio).[Al-Bukhaariy na Muslim]

7. Kuutumia muda wako usio na la kufanya, kwa kufanya ibada zaidi na kujisomea na kutafuta elimu ya dini; kwa kusikiliza mawaidha au kutazama.

8. Kujiepusha na kutumia baadhi ya vyakula, vinywaji n.k. ambavyo vinachochea hamu na kusababisha mshawasha na muibuko wa matamanio.

9. Daima fikiria madhara yanayoweza kusababishwa na tendo hilo; kama ya kudhoofisha nguvu za macho, nguvu za mishipa, nguvu za uume (kwa mwanamme) au uti wa mgongo. Na muhimu zaidi, ni kule kuwa na hisia za dhambi na usumbufu utakaopatikana baada ya kufanya kitendo hicho kama vile, kuweza kupoteza Swalah ya faradhi kwa kukubidi kuchukua muda wa kwenda kuoga kila baada ya tendo hilo.

10. Fanya Tawbah, muombe Allaah ىلاعتو هناحبس msamaha kila wakati, kufanya hivyo na pia kutenda matendo mema na kutokata tamaa na Rahma za Allaah ىلاعتو هناحبس kunaweka karibu zaidi na Allaah ىلاعتو هناحبس na kukufanya kumuogopa zaidi na kufikiria kila tendo unalotaka kulifanya kwanza.

11. Jua kuwa Allaah ىلاعتو هناحبس ni Mwingi wa Kusamehe na daima Humkubalia du’aa za yule anayemtaka msaada. Hivyo basi, kumuomba Allaah ىلاعتو هناحبس msamaha ni jambo lenye kupokelewa Naye, na hilo linatupa nguvu kumuomba Yeye daima na kutaraji msamaha Wake.

12. Kujishughulisha na mambo ya muhimu na ya faida; yakiwa ni ya akhera au ya kilimwengu ili usipate nafasi ya kuwa na faragha na ukaanza kufikiria kufanya tendo hilo ambalo hakika ni ada iliyo ngumu kuepukika.

13. Fanya mazoezi mbalimbali ya kukuchosha, mwili ukishachoka matamanio yanazama.

14. Usile sana, au kula kila wakati. Kwani unaposhiba mambo mengine yanachemka na kutaka haki zake.

Hayo ndio machache katika mengi ambayo yanaweza kumsaidia mtu kujiweka mbali na tendo hilo linalowasumbua wengi haswa vijana na wajane.

Wa Allaahu A’alam
 
Hiyo ni starehe ya mtu binafsi bhana,iwe ni dhambi isiwe dhambi vyote poa tu mana hata kufanya tendo la ndoa pasipo ndoa ni dhambi pia
So punyeto nikama ujasiliamali tu,one man army unamaliza mambo yako unakuwa mwepesiiiiiiiiiiii

tendo la ndoa ni kwa wanandoa tu. kwa wasiowanandoa ni UZINZI
 
Ni dhambi kutokana na Uislam, inasemekana unanyoga kimya kimya viumbe.

Quran; And those who do not find the means to marry should remain chaste until Allah gives them resources by His Grace." (Surah Al Mu'minoon : Verse 32)

Hata ukiwa na mke si mbegu zote zinatunga mimba. Zingine zinaharibika, na moja pekee ndo inatunga mimba. Pia kumbuka mtoto hawi kiumbe hai mpaka mbegu za kiume zikutane na yai la mwanamke.

Upande wa pili, Punyeto ni dhambi katika mantiki ya kwamba"HUWEZI kupiga punyeto BILA YA KUWAZA UKO NA BINTI (GRACE, AMINA) kitandani. Ni kwa msingi huo Biblia inasema katika Mathayo 5: 27 "Na Kila amtazamaye mwanamke kwa kumtamani amekwisha kuzini naye moyoni mwake"
 
Punyeto ni kitendo cha mtu mume au mke kujichezea via vyake vya uzazi hadi kufikia mshindo au kilele cha raha.

Punyeto ina mazuri yake na mabaya yake mengi, lakini leo nina swali la tofauti kidogo:
Wajuzi wa mambo, naomba mnijulishe kama punyeto ni dhambi au ni kosa kisheria za duniani. Kama ni dhambi, je ni kitabu gani cha dini kinakataza. Na kama ni kosa kisheria je ni kifungu gani kina maelezo ya kuanisha kosa hilo na adhabu zake?



Mkuu kama ulivyosema kuwa punyeto in raha zake na raha mtu unajipa mwenyewe, sasa kwanini huogope kujichua? Nakushauri nenda kajifungie chooni na ujifurahishe. Usione haibu.
 
Back
Top Bottom