Pumzika kwa amani mdogo wangu

Pumzika kwa amani mdogo wangu

Jaman alikuwa mzuri sana binti huyu, apumzike kwa Amani na Mungu akipenda aione pepo
 
Dah Kifo kimetuondolea wake zetu watarajiwa...
RIP Sabrina.
Poleni wote mliofikwa na msiba, ama kwa hakika huu ni msiba wetu sote
 
May her soul rest in eternal peace in heaven. Nyuma yake mbele yetu.
 
Pole sana sweetheart. Mimi mwenyewe sielewi nini kinaendelea. Ila najua tu Mungu anatuwazia MEMA siku zote.
Inauma sana ni kheri kukaa kimya kwa sasa.
 
Pole sana kwa msiba mzito mkuu.
Mwenyezi Mungu anayosababu juu ya hili nae atatutia faraja ya kudumu. Amina
 
Poleni sana, Mungu awape wepesi.. R.I.P Subrinah
 
Back
Top Bottom