Pumzika kwa amani mdogo wangu

Pumzika kwa amani mdogo wangu

Inauma ila haina budi kuendelea kuwaombea maana sote tuu mavumbi na mavumbini tutarudi bwana Ametoa na yy ametwaa jina la bwana libarikiwe
 
Miongoni mwa wanafunzi Walio tangulia mbele zahaki Ni my Young Sister Sabrinah
Daaah allah akujalie uwe miongoni mwa watakao iyona pepo inshaallah

Pole dhazati na kwa wanafunzi wenzio walio tutoka na Walimu wao

Daaah 6/5/2017 sitahi sahau hii siku
e7486b1cab15ab6671476e2fcb14de35.jpg

Kifo Kifo Kifo Nisikufuru Mdogo wangu ulikuwa Nandoto zakuja kuwa Raisi Zime zima ghafla

Eemungu fariji moyo wangu moyo wangu daaah
Kila nafsi itaonja mauti, ... Innalillah wainailaih rajiun alichopanga Allah hakuna wa kupangua poleni sana
 
Dah pole sana ndugu Mungu (Allah) yupo pamoja na sisi na yule aliyetangulia mbele ya haki
 
Inasikitisha sana MUNGU awape ujasiri
 
Miongoni mwa wanafunzi Walio tangulia mbele zahaki Ni my Young Sister Sabrinah
Daaah allah akujalie uwe miongoni mwa watakao iyona pepo inshaallah

Pole dhazati na kwa wanafunzi wenzio walio tutoka na Walimu wao

Daaah 6/5/2017 sitahi sahau hii siku
e7486b1cab15ab6671476e2fcb14de35.jpg

Kifo Kifo Kifo Nisikufuru Mdogo wangu ulikuwa Nandoto zakuja kuwa Raisi Zime zima ghafla

Eemungu fariji moyo wangu moyo wangu daaah
Dah!nacheck clouds tv live asee machozi yananitoka huwezi amini!
 
Back
Top Bottom