Kivumah
JF-Expert Member
- Jan 7, 2008
- 2,428
- 1,050
Tangu Miaka 15 baada ya kifo cha West Coast rapper Tupac Shakur,Mpelelezi wa zamani wa LAPD,Greg Kading amemtaja Sean 'diddy' Combs kwenye kitabu chake cha Murder Rap,kuwa alihusika na alifadhili mauaji ya Rapper Tupac Shakur .
Kitabu cha mpelelezi huyo kimetoka mitaani leo Oct 4,2011 na amekusanya ushahidi wa kutosha toka kwenye kaseti na kumbukumbu toka kwa watu muhimu waliohojiwa kuhusiana na mauaji ya 2Pac Shakur na Biggie Smalls
P.Diddy THE LATE - 2 PAC SHAKUR
source: chini ya carpet blog