Puff Daddy(P.Diddy) ndiye aliemuua Tupac Shakur

am certain us government ilikuwa na mkono wake kwa kifo cha tupac....alishawahi sema "am afraid of what i become" kwa maana ya kuwa aliteka hisia ya vijana wengi mno kiasi kwamba wengi walikuwa tayari kufanya chochote ambacho tupac angesema.......chriss rock once alisema iweje serikali iweze kumsakanya sadam na osama mpaka wakawapata na washindwe kumpata muuaji wa tupac ndani ya marekani?
kweli yawezekana ndgu mana the used to go white kwa utumbo unaofnywa na nchi yake sikiliza CHANGES
 
Diddy ni MSOMALI kabisa huyu (hebu muangalie vizuri nywele na sura).

Ninaweza kuamini kwa sababu jamaa kuuwa si tatizo kubwa sana. Yaani unaweza kusema iko kwenye damu.

Al Shaabab in RAP, BAD BOY KILLER..........................
 
juzi juzi tu the real killer alikiri, jamaa yuko jela n he got none to loose akaona tu aseme ukweli
 
simpendi P.dady
lakini namtetea..

sababu hii habari sioni ukweli ndani yake..

Hopeful umenielewa.. kwa kifupi si lazima umpende
mtu kumtetea...

..Nimekuelewa. Ukweli wa hio habari utaupata ndani ya hiko kitabu cha huyo mpelelezi.
 
Diddy ni MSOMALI kabisa huyu (hebu muangalie vizuri nywele na sura).

Ninaweza kuamini kwa sababu jamaa kuuwa si tatizo kubwa sana. Yaani unaweza kusema iko kwenye damu.

Al Shaabab in RAP, BAD BOY KILLER..........................
..May Be.
 
kivumah huyo mtu anataka kukuza jina coz pd is a big time celebrity and things are getting better as time goes by.... I love tupac... Loved him ile mbaya when he was alive.... Kipindi tupac yupo juu in conjuction with notorious pd hakua na that big a name or that big influence compared to sasa... Hivo my stand ni kua jamaa anataka kukuza jina.... Kama hivi mie nilikua simfahamu sasa nisha mfahamu....

wakipatikana wenye mawazo kama yako watano
mungu lazima aairishe kifo dunian
 
Njaa ikiuma sana, unaweza kujikuta unautafuna hata upepo pacpo kujua!!
 
...mambo mengi yanasemwa kuhusu 2pac na kicfo chake ni vigumu kujua nini/nani anasema ukweli. kwangu, 2PAC atabaki kuwa the besthip hop artis (lyrically0. jamaa alikuwa na umri mdogo lakini alikuwa na uelewa mpana sana wa maisha ya mmarekani kijana mweusi. Nimesikiliza interviews zake; (ingia you tube search Tupac uncut and uncesored prison interview) utaona jinsi jamaa alivyokuwa conscious na kinachotokea kwenye jamii yake. Dhana ya T.H.U.G L.I.F.E (The Hate U Gave Little Infants Fuck Everyobody) ilidhaniwa jamaa anaprpagate uhalifu nk lakini ukimsikiliza vizuri utaona jamaa alikuwa ana kichwa kizuri; Leo nikiwaona watoto wa mitaani nikipita manzese, tandale Buguruni n.k na kutazama vijana walivyopoteza matumaini inaogopesha kufikiria watakuwa aki nani baadae.....hali hii inapandikiza chuki ambay bbaadae haitachagua kila mwenye nafuu ya maisha ataoneekana ndio chanzo cha matatizo yao..... they will **** everyobody!
 
Kuishi kwa upanga ni kufa kwa upanga. 2pac alikuwa very violent rapper hata usiku aliouawa alimpiga mtu mateke so kufa kifo cha namna hiyo haishangazi. Hata marapa wengine waliokuwa violent wamekufa kwa namna hiyo pia mfano Proof wa D12. Didy anahusika ama hahusiki hilo ni fumbo tu.
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom