Puff Daddy(P.Diddy) ndiye aliemuua Tupac Shakur

Kivumah

JF-Expert Member
Jan 7, 2008
2,425
2,000
Tangu Miaka 15 baada ya kifo cha West Coast rapper Tupac Shakur,Mpelelezi wa zamani wa LAPD,Greg Kading amemtaja Sean 'diddy' Combs kwenye kitabu chake cha Murder Rap,kuwa alihusika na alifadhili mauaji ya Rapper Tupac Shakur .

Kitabu cha mpelelezi huyo kimetoka mitaani leo Oct 4,2011 na amekusanya ushahidi wa kutosha toka kwenye kaseti na kumbukumbu toka kwa watu muhimu waliohojiwa kuhusiana na mauaji ya 2Pac Shakur na Biggie Smalls

P.Diddy THE LATE - 2 PAC SHAKUR
source: chini ya carpet blog
 
jacjaz

JF-Expert Member
Sep 7, 2011
439
250
Jus move on,mbona wapo wengi tu katika gem ila bado umeshikilia huyo!? hata B.O.B na Madee wazuri tu...
 
Laurel421

Member
Jun 28, 2011
23
0
kuingiza pesa
us.jpg
 
AshaDii

Platinum Member
Apr 16, 2011
16,227
1,500
Kivumah huyo mtu anataka kukuza jina coz Pd is a big time Celebrity and things are getting better as time goes by.... I love Tupac... loved him ile mbaya when he was alive.... Kipindi Tupac yupo juu in conjuction with Notorious Pd hakua na that big a name or that big influence compared to sasa... Hivo my stand ni kua jamaa anataka kukuza jina.... Kama hivi mie nilikua simfahamu sasa nisha mfahamu....
 
afrodenzi

Platinum Member
Nov 1, 2010
18,152
2,000
simpendi P.daddy...
sina uhakika kama alifanya hilo..
sababu skuwepo na ni mara ya kwanza kusia hii tarifa leo..
ingawa sina uhakika na hii habari lakini nam tetea..
 
maishapopote

JF-Expert Member
May 28, 2009
2,447
2,000
Kivumah huyo mtu anataka kukuza jina coz Pd is a big time Celebrity and things are getting better as time goes by.... I love Tupac... loved him ile mbaya when he was alive.... Kipindi Tupac yupo juu in conjuction with Notorious Pd hakua na that big a name or that big influence compared to sasa... Hivo my stand ni kua jamaa anataka kukuza jina.... Kama hivi mie nilikua simfahamu sasa nisha mfahamu....
unajua kitu kweli ww tuulize sie
 
....Nakubaliana na wewe AD, kwamba kwa sasa P.Diddy mambo yake ni Super, big time celebrity, he makes money kupitia muziki na biashara zake nyingine, mie naamini hata jina lake lishakuwa sana baada tu ya kufa kwa Biggie. Sijasikia comments zake kuhusu hizi taarifa za kumhusisha na kifo cha Tupac, but all in all vifo hivi vya hawa ma-celeb ni mambo ya Beef za kibiashara.
 
AshaDii

Platinum Member
Apr 16, 2011
16,227
1,500
....Nakubaliana na wewe AD, kwamba kwa sasa P.Diddy mambo yake ni Super, big time celebrity, he makes money kupitia muziki na biashara zake nyingine, mie naamini hata jina lake lishakuwa sana baada tu ya kufa kwa Biggie. Sijasikia comments zake kuhusu hizi taarifa za kumhusisha na kifo cha Tupac, but all in all vifo hivi vya hawa ma-celeb ni mambo ya Beef za kibiashara.

Namsubiri Maisha popote aje adadafue kwanza....
 
hashycool

JF-Expert Member
Oct 2, 2010
6,574
2,000
am certain us government ilikuwa na mkono wake kwa kifo cha tupac....alishawahi sema "am afraid of what i become" kwa maana ya kuwa aliteka hisia ya vijana wengi mno kiasi kwamba wengi walikuwa tayari kufanya chochote ambacho tupac angesema.......chriss rock once alisema iweje serikali iweze kumsakanya sadam na osama mpaka wakawapata na washindwe kumpata muuaji wa tupac ndani ya marekani?
 
Nimeisikia sana hii story ya uhusiana wa US government na 2pac..
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom